GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Tanzaniani hakuna upinzani ndani na nje ya bunge, kuna Kibaraka na mercenaries wachache mtaani,Sifahamu mengi kuhusiana na bunge la sasa!
1. Nani kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni?
2. Nani mnadhimu wa kambi ya upinzani?
3. Kuna mawaziri vivuli katika bunge la sasa? Wamepatikanaje?
Akidi haikutumia, sasa mbunge mmoja wa kuchaguliwa upinzani rasmi haiwezekani.Sifahamu mengi kuhusiana na bunge la sasa!
1. Nani kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni?
2. Nani mnadhimu wa kambi ya upinzani?
3. Kuna mawaziri vivuli katika bunge la sasa? Wamepatikanaje?
Mzee Freeman MboweSifahamu mengi kuhusiana na bunge la sasa!
1. Nani kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni?
2. Nani mnadhimu wa kambi ya upinzani?
3. Kuna mawaziri vivuli katika bunge la sasa? Wamepatikanaje?
Karibu Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?Sifahamu mengi kuhusiana na bunge la sasa!
1. Nani kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni?
2. Nani mnadhimu wa kambi ya upinzani?
3. Kuna mawaziri vivuli katika bunge la sasa? Wamepatikanaje?
Inaitwa kambi ya wabunge wachache!Sifahamu mengi kuhusiana na bunge la sasa!
1. Nani kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni?
2. Nani mnadhimu wa kambi ya upinzani?
3. Kuna mawaziri vivuli katika bunge la sasa? Wamepatikanaje?
Kila nchi inao mfumo wake, unataka bunge la nchi gani?Sifahamu mengi kuhusiana na bunge la sasa!
1. Nani kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni?
2. Nani mnadhimu wa kambi ya upinzani?
3. Kuna mawaziri vivuli katika bunge la sasa? Wamepatikanaje?
mercenaries ni hatari kuliko ukoma.Tanzaniani hakuna upinzani ndani na nje ya bunge, kuna Kibaraka na mercenaries wachache mtaani,
wengineo ni washirikina tu π
Mwaka 2020 hakukuwa na uchaguzi bali uchafuzi, Magufuli kwa wendawazimu wake aliamua kujaza vilaza wa CCM bungeni ili awatumie kumsimika kuwa Rais wa milele.Mwaka 2020 Watanzania waliyachagua masisiyemu tu!Haya ni maajabu
Kuna wengine kidogo wa ACT toka Pemba.Akidi haikutumia, sasa mbunge mmoja wa kuchaguliwa upinzani rasmi haiwezekani.