Kiongozi wa kiafrika, Mzalendo kama Nyerere, Thomas Sankara na Magufuli asingekubali wananchi wao wanyonywe kupitia tozo

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Tozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi.

Kodi gani ambayo haina huruma kwa raia wanyonge kama kukatwa miamala ya simu na kutoa pesa benki?

Huku ni kuumiza raia kisa tu taifa lina kiongozi ambaye hana sauti na madaraka yake.
 
1. Tozo zimepitishwa bungeni
2. Mlisema wapinzani sio wazalendo
3. Mkapitisha wagombea wa JPM kwa kishindo.
4. Kivipi tena Leo useme JPM angepinga tozo ilihali wabunge wake ndio wamepitisha!!

5. Tulisema tume huru ni muhimu mkatudhihaki, Samia anajua atashinda 2025 bila kura zenu.

6. Cha kuchekesha kina Polepole au Gwajima wakianzisha chama kuelekea 2025 nao watakua wanalia lia kuwa tume sio huru same to Membe na Lowassa!!

7. Next time jifunzeni kufanya maamuzi kuangalia miaka 10 mbele, imagine sasa kama mngebadili katiba JPM atawale miaka 20 afu paap ndio amefariki Ina maana Samia angetawala mpaka 2040!!
 
Hoja hapa ni mkuu wa nchi kusimama imara na kutetea wanyonge hata kama sheria zinatungwa na bunge.

Rais makini hawezi kusaini miswada inayobariki tozo kama hizi
 
Asingekubali kabisa. Afrika inaumizwa Viongozi wa Afrika ambao kwa hakika wamejaa ubinafsi wa hali ya juu kabisa.

Viongozi wa aina hii huangalia maslahi yao tu, hawana shida na matatizo ya Wananchi wengine.
 
Tozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi.

Kodi gani ambayo haina huruma kwa raia wanyonge kama kukatwa miamala ya simu na kutoa pesa benki?

Huku ni kuumiza raia kisa tu taifa lina kiongozi ambaye hana sauti na madaraka yake.
Ulivyomtaja JP ndipo hapo nilipoona upumbavu wako ulipo!
 
Utakua mtoto wa juzi weye... unaijua kodi ya kichwa?
Mwinyi alikuja na kodi ya kichwa wakafungwa wengi kwa kushindwa kulipa. Gharama ya kuwatunza gerezani ikawa kubwa kuliko kodi waliyoshindwa kulipa.

Ulikuwa uamuzi wa kipumbavu sana.
 
Hoja hapa ni mkuu wa nchi kusomama imara na kutetea wanyonge hata kama sheria zinatungwa na bunge.

Rais makini hawezi kusaini miswada inayobariki tozo kama hizi
Raisi hawezi kupinga bunge lake wakati bunge ndo wananchi wenyewe, kosa lilifanyika awali kwakutaka kuumiza upinzani kumbe tunajiumiza wenyewe, next msione chadema au cuf kama adui wa nchi
 
Hoja hapa ni mkuu wa nchi kusomama imara na kutetea wanyonge hata kama sheria zinatungwa na bunge.

Rais makini hawezi kusaini miswada inayobariki tozo kama hizi
Babu hazina peupe,tuna mikopo ya kiboya ya kulipa chapu...aliyevuruga kakimbia
 
Tozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi.

Kodi gani ambayo haina huruma kwa raia wanyonge kama kukatwa miamala ya simu na kutoa pesa benki?

Huku ni kuumiza raia kisa tu taifa lina kiongozi ambaye hana sauti na madaraka yake.
Usiwaongelee wafu. Hawapo tena.
Pambana na hali yako na hali zenu
 
Hoja hapa ni mkuu wa nchi kusomama imara na kutetea wanyonge hata kama sheria zinatungwa na bunge.

Rais makini hawezi kusaini miswada inayobariki tozo kama hizi
Hali ya kipesa ingekuwa inaruhusu asingekuwa wa kwanza kuisaini. Miradi iliyoachwa na hayati ni mikubwa na yenye kuhitaji pesa nyingi.

Na hizi sio enzi za awamu ya pili au ya kwanza ya kutegemea pesa za wazungu.
 
Tozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi.

Kodi gani ambayo haina huruma kwa raia wanyonge kama kukatwa miamala ya simu na kutoa pesa benki?

Huku ni kuumiza raia kisa tu taifa lina kiongozi ambaye hana sauti na madaraka yake.
True naunga mkono hoja
 
Kwani tatizo ni wananchi kutoa tozo ? Au tozo kutokujulika zinatumiwa vipi na serikali kwa mustakabali wa maendeleo ya taifa letu ?
 
Back
Top Bottom