Kiongozi wa kiafrika, Mzalendo kama Nyerere, Thomas Sankara na Magufuli asingekubali wananchi wao wanyonywe kupitia tozo

Tozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi.

Kodi gani ambayo haina huruma kwa raia wanyonge kama kukatwa miamala ya simu na kutoa pesa benki?

Huku ni kuumiza raia kisa tu taifa lina kiongozi ambaye hana sauti na madaraka yake.
Usiwachanganye Mwalimu Nyerere, Thomas Sankara na wezi.
Tueleze ilikoenda Tshs 1.5 Trillioni.
 
Tozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi.

Kodi gani ambayo haina huruma kwa raia wanyonge kama kukatwa miamala ya simu na kutoa pesa benki?

Huku ni kuumiza raia kisa tu taifa lina kiongozi ambaye hana sauti na madaraka yake.
Ninyi mliotumika kuteka na kuua pamoja na kuiba Awamu iliyopita, mtajitaja sana Awamu hii,
 
Tozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi.

Kodi gani ambayo haina huruma kwa raia wanyonge kama kukatwa miamala ya simu na kutoa pesa benki?

Huku ni kuumiza raia kisa tu taifa lina kiongozi ambaye hana sauti na madaraka yake.
Acha porojo za kijinga wewe,lipa Kodi na tozo stahiki za Serikali upate maendeleo na huduma Bora..

Hao unaowataja walikuwa failures kwenye uchumi hakuna anaeweza kuwafanyia rejea kwenye uchumi labda porojo na propaganda uchwara.
 
Back
Top Bottom