Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #21
NonsenseUtakua mtoto wa juzi weye... unaijua kodi ya kichwa?
Halafu huyo Mwendazake ndiye muasisi wa huu unyonyaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NonsenseUtakua mtoto wa juzi weye... unaijua kodi ya kichwa?
Halafu huyo Mwendazake ndiye muasisi wa huu unyonyaji.
Huna ubongoKiongozi bora ni yule anayetengeneza mfumo imara. Hata asipokuwepo mambo yanaenda.
#deadmen give no tales
Usiwachanganye Mwalimu Nyerere, Thomas Sankara na wezi.Tozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi.
Kodi gani ambayo haina huruma kwa raia wanyonge kama kukatwa miamala ya simu na kutoa pesa benki?
Huku ni kuumiza raia kisa tu taifa lina kiongozi ambaye hana sauti na madaraka yake.
Ninyi mliotumika kuteka na kuua pamoja na kuiba Awamu iliyopita, mtajitaja sana Awamu hii,Tozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi.
Kodi gani ambayo haina huruma kwa raia wanyonge kama kukatwa miamala ya simu na kutoa pesa benki?
Huku ni kuumiza raia kisa tu taifa lina kiongozi ambaye hana sauti na madaraka yake.
Ungekuwa na akili ungejikita kwenye hoja.Ninyi mliotumika kuteka na kuua pamoja na kuiba Awamu iliyopita, mtajitaja sana Awamu hii,
NonsenseUsiwachanganye Mwalimu Nyerere, Thomas Sankara na wezi.
Tueleze ilikoenda Tshs 1.5 Trillioni.
Acha porojo za kijinga wewe,lipa Kodi na tozo stahiki za Serikali upate maendeleo na huduma Bora..Tozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi.
Kodi gani ambayo haina huruma kwa raia wanyonge kama kukatwa miamala ya simu na kutoa pesa benki?
Huku ni kuumiza raia kisa tu taifa lina kiongozi ambaye hana sauti na madaraka yake.
Akili na kumbukumbu ninazo, ndio maana wajinga wajinga kama ninyi hamtusumbui.Ungekuwa na akili ungejikita kwenye hoja.