Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Utakua mtoto wa juzi weye... unaijua kodi ya kichwa?Tozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi...
Hoja hapa ni mkuu wa nchi kusimama imara na kutetea wanyonge hata kama sheria zinatungwa na bunge.1. Tozo zimepitishwa bungeni
2. Mlisema wapinzani sio wazalendo
3. Mkapitisha wagombea wa JPM kwa kishindo.
4. Kivipi tena Leo useme JPM angepinga tozo ilihali wabunge wake ndio wamepitisha!!
5. Tulisema tume huru ni muhimu mkatudhihaki, Samia anajua atashinda 2025 bila kura zenu.
6. Cha kuchekesha kina Polepole au Gwajima wakianzisha chama kuelekea 2025 nao watakua wanalia lia kuwa tume sio huru same to Membe na Lowassa!!
7. Next time jifunzeni kufanya maamuzi kuangalia miaka 10 mbele, imagine sasa kama mngebadili katiba JPM atawale miaka 20 afu paap ndio amefariki Ina maana Samia angetawala mpaka 2040!!
Ulivyomtaja JP ndipo hapo nilipoona upumbavu wako ulipo!Tozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi.
Kodi gani ambayo haina huruma kwa raia wanyonge kama kukatwa miamala ya simu na kutoa pesa benki?
Huku ni kuumiza raia kisa tu taifa lina kiongozi ambaye hana sauti na madaraka yake.
Mwinyi alikuja na kodi ya kichwa wakafungwa wengi kwa kushindwa kulipa. Gharama ya kuwatunza gerezani ikawa kubwa kuliko kodi waliyoshindwa kulipa.Utakua mtoto wa juzi weye... unaijua kodi ya kichwa?
Halaf acha mara moja kuita watanzania wanyonge! Kauli za kizandiki na kimasikini hizo.Hoja hapa ni mkuu wa nchi kusomama imara na kutetea wanyonge hata kama sheria zinatungwa na bunge.
Rais makini hawezi kusaini miswada inayobariki tozo kama hizi
Raisi hawezi kupinga bunge lake wakati bunge ndo wananchi wenyewe, kosa lilifanyika awali kwakutaka kuumiza upinzani kumbe tunajiumiza wenyewe, next msione chadema au cuf kama adui wa nchiHoja hapa ni mkuu wa nchi kusomama imara na kutetea wanyonge hata kama sheria zinatungwa na bunge.
Rais makini hawezi kusaini miswada inayobariki tozo kama hizi
Babu hazina peupe,tuna mikopo ya kiboya ya kulipa chapu...aliyevuruga kakimbiaHoja hapa ni mkuu wa nchi kusomama imara na kutetea wanyonge hata kama sheria zinatungwa na bunge.
Rais makini hawezi kusaini miswada inayobariki tozo kama hizi
Usiwaongelee wafu. Hawapo tena.Tozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi.
Kodi gani ambayo haina huruma kwa raia wanyonge kama kukatwa miamala ya simu na kutoa pesa benki?
Huku ni kuumiza raia kisa tu taifa lina kiongozi ambaye hana sauti na madaraka yake.
Hali ya kipesa ingekuwa inaruhusu asingekuwa wa kwanza kuisaini. Miradi iliyoachwa na hayati ni mikubwa na yenye kuhitaji pesa nyingi.Hoja hapa ni mkuu wa nchi kusomama imara na kutetea wanyonge hata kama sheria zinatungwa na bunge.
Rais makini hawezi kusaini miswada inayobariki tozo kama hizi
True naunga mkono hojaTozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi.
Kodi gani ambayo haina huruma kwa raia wanyonge kama kukatwa miamala ya simu na kutoa pesa benki?
Huku ni kuumiza raia kisa tu taifa lina kiongozi ambaye hana sauti na madaraka yake.
Kwani tatizo ni wananchi kutoa tozo ? Au tozo kutokujulika zinatumiwa vipi na serikali kwa mustakabali wa maendeleo ya taifa letu ?Tozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi.
Kodi gani ambayo haina huruma kwa raia wanyonge kama kukatwa miamala ya simu na kutoa pesa benki?
Huku ni kuumiza raia kisa tu taifa lina kiongozi ambaye hana sauti na madaraka yake.
Tozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi.
Kodi gani ambayo haina huruma kwa raia wanyonge kama kukatwa miamala ya simu na kutoa pesa benki?
Huku ni kuumiza raia kisa tu taifa lina kiongozi ambaye hana sauti na madaraka yake.