Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Ibrahim Traore, amemfuta kazi Waziri Mkuu Apollinaire de Tambela na kuvunja serikali ya nchi hiyo.
Tamko lililotolewa na ofisi ya Rais Traore jana, Disemba 6 limesema kuwa wadhifa wa Waziri Mkuu umefutwa, lakini hakuna sababu maalum iliyotolewa kwa uamuzi huo.
Apollinaire de Tambela aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu mwezi Oktoba 2022 baada ya mapinduzi ya kijeshi yaliyomweka madarakani Kapteni Ibrahim Traore. Ingawa serikali ya Tambela imevunjwa, tamko linaeleza kuwa mawaziri wa serikali hiyo wataendelea na majukumu yao hadi serikali mpya itakapoundwa.
Burkina Faso imekuwa katika machafuko tangu mapinduzi ya kijeshi ya Januari 2022, ambapo Luteni Kanali Paul-Henri Damiba alimuondoa Rais aliyechaguliwa, Roch Marc Kabore.
Damiba aliongoza kwa miezi sita kabla ya kupinduliwa na Traore, ambaye sasa ndiye anayeongoza utawala wa kijeshi wa nchi hiyo.
==
Burkina Faso's junta chief on Friday said the prime ministers functions were "terminated" and that the government had been dissolved. No reasons were given for the decision.
Burkina Faso's ruling military leader on Friday dismissed the country's prime minister and dissolved the government, according to a presidential decree transmitted to AFP
The sacked premier had served at the head of three successive governments, surviving each reshuffle.
No reason was given for the dismissal of Apollinaire Joachim Kyelem de Tambela, who was named as premier in October 2022 after the coup that brought Captain Ibrahim Traore to power.
"The prime minister's official functions are terminated," said the decree, adding that members of the dissolved government would "carry out ongoing business until the formation of a new government".
The west African country was plunged into instability by a January 2022 coup in which Lieutenant-Colonel Paul-Henri Sandaogo Damiba seized power.
Little more than eight months later, Damiba himself was overthrown by Traore, 36, who now heads the junta regime.
Damiba, who ousted elected president Roch Marc Christian Kabore, is currently in exile in neighbouring Togo.
Source: france24.com