Kiongozi wa Kiroho haihataji jukwaa kumuonya kiongozi wa Kisiasa

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Viongozi wa kidini hutoa matakwa yao kwa viongozi wa kisiasa kwa ujumbe na vikao maalumu ambavyo jamii haiwezi kuvitambua.

Privacy na Confidentiality juu ya maswala yanayoikumba jamii huzingatiwa katika mawasiliano kati ya viongozi wa Siasa ,dini na mila.

Huu ni utamaduni wa enzi na enzi na utaendelea kuwa hivyo.

Kiongozi wa dini hufanya mazungumzo na jambazi lililotoka kuua kwa arm robbery na hutosikia siri imevuja mtaani.

Kiongozi wa dini hashinikizi kwa kelele bali "husema neno moja tu"

Viongozi wa namna hii wapo na wanaendelea kufanya hivyo.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Sisi wenye kutaka ukweli wa haki

Tunaanza novena…. Na kila kitu kitakua sawa

Na aliyefanya haya wala hatahitaji uchunguzi wa polisi

Catholics wengi reaction yao imekua ya kupoteza imani badala ya kuboresha imani
 
Endeleeni kufanya mauaji na kuisingizia Serikali
Una maana kibao nae aliuliwa ili kuisingizia serikali? Na yule Ben sanane aliyeuwawa kwenye kuta za ikulu kwa mikono ya JPM nae aliuwawa kuisingizia serikali?
Serikali hii ya ccm inayovitafuta vyama vya upinzani ili iviuwe si wangeshatangaza mpaka mbinguni?
Wewe basi serikali yako ni dhaifu sana? Kama watu wanauliwa na yenyewe inasingiziwa na imekaa kimya hiyo ni hatar sana
Ni mjinga kama wewe tu ndo anaweza kuwaza na kuandika ujinga huo
 
muhanga wa hizo kashfa ni chadema??usifikiri Watanzania hawajitambui na kura hamptopata
 
Una maana kibao nae aliuliwa ili kuisingizia serikali? Na yule Ben sanane aliyeuwawa kwenye kuta za ikulu kwa mikono ya JPM nae aliuwawa kuisingizia serikali?
Serikali hii ya ccm inayovitafuta vyama vya upinzani ili iviuwe si wangeshatangaza mpaka mbinguni?
Wewe basi serikali yako ni dhaifu sana? Kama watu wanauliwa na yenyewe inasingiziwa na imekaa kimya hiyo ni hatar sana
Ni mjinga kama wewe tu ndo anaweza kuwaza na kuandika ujinga huo
Dr slaa alisema chadwma kuna watekaji na wazee wa kazi

Aliyasema hayo akiwa ccm
 
Viongozi wa kidini hutoa matakwa yao kwa viongozi wa kisiasa kwa ujumbe na vikao maalumu ambavyo jamii haiwezi kuvitambua.
Privacy na Confidentiality juu ya maswala yanayoikumba jamii huzingatiwa katika mawasiliano kati ya viongozi wa Siasa ,dini na mila.
Huu ni utamaduni wa enzi na enzi na utaendelea kuwa hivyo.
Kiongozi wa dini hufanya mazungumzo na jambazi lililotoka kuua kwa arm robbery na hutosikia siri imevuja mtaani.
Kiongozi wa dini hashinikizi kwa kelele bali "husema neno moja tu"
Viongozi wa namna hii wapo na wanaendelea kufanya hivyo.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Waongee privately na confidentiality na Pedeshee Amos Makala na Stephen Wassira ?.
Airhead
 
Sijawahi kumsikia Papa akimshinikiza kiongozi wa nchi yoyote
 
Back
Top Bottom