Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
alikuwa amefungwa kamba miguu na mikono... it is sad; sijui kama atasurvive maana alishindwa kuzungumza kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama habari hii ni ya kweli, Suluhisho la ukweli halitokani na kuteka watu, ni kwa kuwapa madaktari haki yao.
Serikali badala ya kuteka mafisadi inateka wanaodai maslahi yao. Aibu!. Baadhi ya madai ya madaktari ni ya Msingi, wanataka huduma ziboreshwe hospitalini, wanataka wasiwaandikie watu aspirini wakati wanahitaji dawa ya malaria isiyokuwepo.
Haya ni madai ya haki, hayatatatuliwa kwa kuteka watu.
Naunga Mkono Hoja "Tunataka Dr Ulimboka awe huru"
Na kwa nini akamatwe usiku wa manane; mnaohusika na haki za binaadam hebu tujuzeni, hii ni sawa kweli?
kiswahili kinakusumbua wewe? angekuwa amekamatwa ungejua yuko wapi na ni nani kafanya hivyo
alikuwa amefungwa kamba miguu na mikono... it is sad; sijui kama atasurvive maana alishindwa kuzungumza kabisa
Mkuu itafaa ukituambia kapatikanaje,kapatikana wapi,mmeanzaje kupata taarifa zake,alikuwa ndani au alikuwa ametupwa vichakani,njiani au wapi mmemkuta?na je anapelekwa hospitali gani?