Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kama habari hii ni ya kweli, Suluhisho la ukweli halitokani na kuteka watu, ni kwa kuwapa madaktari haki yao.

Serikali badala ya kuteka mafisadi inateka wanaodai maslahi yao. Aibu!. Baadhi ya madai ya madaktari ni ya Msingi, wanataka huduma ziboreshwe hospitalini, wanataka wasiwaandikie watu aspirini wakati wanahitaji dawa ya malaria isiyokuwepo.

Haya ni madai ya haki, hayatatatuliwa kwa kuteka watu.


Ni kweli mkuu, madai ya haki ni kwa kusikilizana. Lakini suluhisho pia hujalisema mkuu, ni kuiondoa serikali ya magamba tu. Hiyo ndo suluhisho la kwanza lenye hatua kubwa sana
Vipi mbona wewe hujapigwa beji ya VERIFIED USER? Au mods hawaamini kama ni wewe mkuu?
 
Wanaacha kukamata watu walioficha pesa zetu uswisi za kutatulia mgomo wa ma DR wanamkamata ulimboka? jamani haya mambo wanatakiwa kufanya zekomedi sio SERIKALI.
 
Naunga Mkono Hoja "Tunataka Dr Ulimboka awe huru"

Na kwa nini akamatwe usiku wa manane; mnaohusika na haki za binaadam hebu tujuzeni, hii ni sawa kweli?

Serikali ina haki ya kukumata na kukuhoji wakati wowote ule.
 
This is typically Idd Amin's type of administration. Dictatorship in all aspects.
Mwandishi Shafi A Shafi alisema katika kitabu cha KULI kuwa YANA MWISHO.
Mwisho unakuja kwa kasi sana.
Pole dr Ulimboka
 
"Mliyemsifu kwa kalamu! Ikitokea mkamkosoa, atawanyamazisha kwa risasi", nakumbuka kauli hii kutolewa na jamaa mmoja wakati wa mbio za kuwania urais miaka ya 2000:ear:
 
Jeshi la polisi na CCM ni wauwaji rejea mauwaji ya vijana wanne walikutwa wameuwawa huko Arumeru.....
 
Kutokana na Kwamba mgomo wenyewe ni wakusua sua, silikali inadhani ni wachache wakina Ulimboka ndio wanashinikiza, Ile kamati ya madaktari wangetumia kwanza vyombo vya habari ili kuonyesha wananchi jinsi gani selikali haijashughulikia kuimarisha huduma hospitalini
 
State terrorism at work.Hivi wanatumia nini kufikiri,this will stirr up the situation,it is like putting salt to an injury.
 
Madaktari hmtakiwi nchi hiii............hameni kuna nchi zinawatafuta kwa udi na uvumba mfano kama Canada mkiomba VISA wanawapa hapo hapo ..fanyeni fasta msepe......tuachieni nchi yetu tutabiwa na miti shamba....kalumanzila wapo wa kutosha
 
alikuwa amefungwa kamba miguu na mikono... it is sad; sijui kama atasurvive maana alishindwa kuzungumza kabisa

Jamani tunaomba a coherent report, hii kitu inagusa emotion za watu wengi. Algeria ilipinduliwa hivi hivi! I still pray hii habari sio ya kweli, kama ni kweli this will be grave mistake kwa serikali na CCM, make no mistake.
 
Rais DHAIFU na serikali DHAIFU ndo wamefikia ukomo wao wa kufikiri - hili litachochea hasira za hata watu ambao walikuwa wamejiweka pembeni kabisa!
FREE DR. ULIMBOKA NOW!!!!
 
Tena wasije jaribu kumdhuru Dr. wetu coz wao wakiumwa mafua tu waenda zao
Apollo! Niko tayari kufa kwa niaba ya madaktari kama watamdhuru!
 
Mkuu itafaa ukituambia kapatikanaje,kapatikana wapi,mmeanzaje kupata taarifa zake,alikuwa ndani au alikuwa ametupwa vichakani,njiani au wapi mmemkuta?na je anapelekwa hospitali gani?

swali la msingi sana amepatikanaje na wapi?
 
Back
Top Bottom