Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

hali ya ulimboka ni mbaya sana.....yuko emergence room....anahitaji kuongezewa damu na kifuani inaonekana ameumia sana..
 
kama hii ishu ni kweli basi tungoje itakavokuwa...!!
unajua madaktari wote yani kuazia specialists,registrars,residents,AMO etc mngetoa tamko la pamoja hapo kweli.....ila kama wengine wenu wanaendelea na kazi basi wengine watatolewa kafara na wengine watapona

kwanini hamna ushirikiano basi kati yenu?
 

Ha ha haaaaaaaa kwa kutunga sikuwezi!
Kwanza we nani? Muuaji nani? Ulimboka ama Serekali yako! Mi nafikiri ungesema tutakamata viongozi wote tuwanyonge!
Ndiyo kwa sababu wanaiba mali za watanzania wanajilimbikizia wao! Fedha zinazopatikana kwenye almasi tu zinatosha sana kubadilisha maisha ya Mtanzania! wachilia mbali Tanzanite, Rubby, Green tomarine, Alexanderlite, dhahabu etc! Hii yote iko mikononi mwa wachache. Tungetumia hizi rasilimali kwa ajili ya watanzania wala tusingefikia hapa.
Maumivu ya kichwa huanza polepole! Na wewe ni mmojawapo wa wanaoweweseka na maumivu hayo! Polepole utaanza kujaua tuu!
 
wananchi wenye hasira!! yawezekana waliofiwa na ndugu zao kutokana na mgomo wa madaktari unaoendelea wameamua kumfanzia - madaktari wenzake wamgomee kumtibu basi - natuone.
 
Picha mkuu, huna hata kamchina, Mungu yuko upande wao, watashinda tu.
 
kuna ushahidi gani kama ametekwa na serikali? mbona great thinkers tunakimbilia kuhukumu kabla ya uthibitisho wa kumjua aliyemteka? mm nadhani hiyo ni mbinu ya madokta kuupa attention huu mgomo wao wa sasa hivi maana hauna attention kwenye media kama ile iliyotangulia!
 
Kwa hiyo nyie Chadema ndio mnawatetea madaktari? suala hapa sio vyama vya siasa tunaongelea issue ya madaktari wewe unaleta mambo ya Chadema.

CHADEMA inatetea watanzania wanyonge wote wakiwemo madaktari.......CCM wanatetea mafisadi
 
wananchi wenye hasira!! yawezekana waliofiwa na ndugu zao kutokana na mgomo wa madaktari unaoendelea wameamua kumfanzia - madaktari wenzake wamgomee kumtibu basi - natuone.


acha uongo
 

acha porojo zisizo na maana....
 
Mkuu ingefaa tuendeze post moja zaidi tu iwe inakuwa updated,na muhimi kama mtakuwa mnatupatia picha.
 
Ukiona kiongozi anasema yeye sio dikteta, halafu baada ya kauli yake matendo ya kidikteta kama kuteka wataalam kama Dr Ulimboka na kutaka kuwaua, au polisi kuua raia na kupora maiti mortuary ujue huyo kiongozi ni bonge la dikteta. Kama daktari akifa, watu wengi tu watakaolipia damu yake nchi ikirudi kwa sisi wenye nayo 2015, wa kwanza atakuwa dikteta mwenyewe. Huenda ndo maana Dr Namala Mkopi hataki kabisa kuskia huu mgomo labda ashajua nini kitafuata
 
ss dr ulimboka atatibiwa vp wkt wapo ktk mgomo?au wao kwa wao haina shida. . . .
 
Hili ndili suluhisho ambalo serikali ilikuwa inalitafuta. sasa na mimi potelea mbali naweka silaha zote chini.
Liwalo na liwe
 

Nalichukia sana hili jina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…