Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahakama imesema mgomo usitishwe na viongozi wa mgomo watangaze kwenye vyombo vya habari watangaze kuwa hakuna mgomo mpaka jambo hili litapomalizwa kusikilizwa na mahakama.
Mwacheni akafundwe adabu huyo mzandik na muuaji wa wagonjwa wetu na watoto zetu wanaoumwa mahospitalini. Na sasa itabidi apewe adabu aseme ni nani wako nyuma yake wakimshindilia kuwa mkaidi.
Tutawajuwa na kila mmoja atachukuliwa hatua na kupewa adhabu kali sana na kama sheria hazina adhabu kali, basi tutatunga sheria ya "dharura" yenye adhabu kali sana iwe fundisho kwake na kwa wengine.
Kwa hiyo nyie Chadema ndio mnawatetea madaktari? suala hapa sio vyama vya siasa tunaongelea issue ya madaktari wewe unaleta mambo ya Chadema.
wananchi wenye hasira!! yawezekana waliofiwa na ndugu zao kutokana na mgomo wa madaktari unaoendelea wameamua kumfanzia - madaktari wenzake wamgomee kumtibu basi - natuone.
kuna ushahidi gani kama ametekwa na serikali? mbona great thinkers tunakimbilia kuhukumu kabla ya uthibitisho wa kumjua aliyemteka? mm nadhani hiyo ni mbinu ya madokta kuupa attantion huu mgomo wao wa sasa hivi maana hauna attention kwenye media kama ile iliyotangulia!
Ndio hali halisi. Niko hapa Muhimbili na madaktari, mageti yote ya Muhimbili yamefungwa na Wamesema LIWALO NA LIWE hakuna huduma yoyote inayotolewa, hakuna wagonjwa wala wahudumu wanaowahudumia wagonjwa KAULI YA PINDA na kitendo walichomfanyia OLIMBOKA vinaliangamiza taifa kutokana na UDHAIFU wa serikali ya Kipuuziii.
Mda mfupi uliopita jamaaa mmoja ambaye ni usalama wa taifa kapigwa alipokuwa anaripoti kwa walio mtuma kuangalia madaktari wamepokeaje hari ya Olimboka