Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 3,506
- 2,606
Wakafunge na zile hospital zao za PRIVATE. Na kule PART TIME wasiende.
Pamoja na kwamba mnadai haki zenu jaribuni kuwafikiria na wengine hasa walalahoi ambao hawajui hata wafanye nini, waende wapi au wale nini leo! Mnadai haki kwa kupoteza roho zisizo na hatia???!!! Msiifanye migumu mioyo yenu, mwangalieni Mungu anayetoa uhai, jua na mvua bure kwa wote.
Hata kama wakipokelewa halafu hospitali zenyewe hata dripu au panadol mpaka ukanunue nje,wakati kuna watu
wameweka dola 300bil. Uswiss hutumii akili ukaona mantiki ya madaktari.Wewe ndio KILAZA MKUBWA......
Wachawi mnatambulika hata kwa kauli zenu tu!
Nimesikia eti Zembwela wa EA radio anasema huu ni uzushi tu...ni mtu mwingine aliyekuwa anadhaniwa ni usalama wa taifa ndiyo amepigwa na madaktari na yupo chini ya ulinzi wa askari wa muhimbili...katahadharisha na uvumi unaoenea kwenye mitandao ya kijamii...
Jamani mi ndo naingia jamii forum kwa mara ya kwanza na ninasikitika sana kwa hali hii ya mgomo wa madaktari. swali kubwa kichwani mnifungue macho, Dr. anayeanza kazi analipwa shs ngapi? naomba msaada wenu ili nami nichangie objectively.
wewe mtoa maada,yule sio kiongozi wa mgomo.yule ni kiongozi wz umoja wao.
madaktari ndio waloamua kugoma hakuna mtu aliyewaongoza wagome.
Ndio hali halisi. Niko hapa Muhimbili na madaktari, mageti yote ya Muhimbili yamefungwa na Wamesema LIWALO NA LIWE hakuna huduma yoyote inayotolewa, hakuna wagonjwa wala wahudumu wanaowahudumia wagonjwa KAULI YA PINDA na kitendo walichomfanyia OLIMBOKA vinaliangamiza taifa kutokana na UDHAIFU wa serikali ya Kipuuziii.
Mda mfupi uliopita jamaaa mmoja ambaye ni usalama wa taifa kapigwa alipokuwa anaripoti kwa walio mtuma kuangalia madaktari wamepokeaje hari ya Olimboka
Tutasikia mengi sana leoNimesikia eti Zembwela wa EA radio anasema huu ni uzushi tu...ni mtu mwingine aliyekuwa anadhaniwa ni usalama wa taifa ndiyo amepigwa na madaktari na yupo chini ya ulinzi wa askari wa muhimbili...katahadharisha na uvumi unaoenea kwenye mitandao ya kijamii...
Jamani mi ndo naingia jamii forum kwa mara ya kwanza na ninasikitika sana kwa hali hii ya mgomo wa madaktari. swali kubwa kichwani mnifungue macho, Dr. anayeanza kazi analipwa shs ngapi? naomba msaada wenu ili nami nichangie objectively.