Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina hakika na ukweli wa habari hii!
Kwa uhusiano alionao na serikali hii, saa sita ya usiku anaenda kufanya 'reconciliation' na 'mtu' wa serikali? Tena peke yake bila viongozi wenzie? Atakuwa wa ajabu basi!
JK afe!!!!!!!!!
mkuu huyo ni kichaa wachana naye ana pepo wachafu kabisa i cannot explain him kabisa huwa anashabikia dhambi na umwagaji damu ,never talk to a full like him ull lost yo time mkuunakushangaa sana, leo unaona sheria zinavunjwa heee?
Mbona kwenye sakata la uamsho haukuse wana vunja sheria?
Serikali , TISS siyo wajinga kumteka Ulimboka na kumfanya hicho na kumuchia. Wamefanya mengi bila hata kujilikana. Wangetaka kumteka na kumpiga wangefanya hivyo wakati mgomo haupo.
MAT ina viongozi / kamati , kwa hiyo siyo rahisi kwa Ulimboka kwenda peke yake kwenye mkutano wowote ule.
Lazima tuseme ukweli kuwa wanaopata madhara ni wananchi .
Kama kuna mtu kapoteza mpenzi wake, mzazi wake atakuwa na hasira gani?
Acha ndoto za mchana kujifariji hapa JF wakati unaishi chini ya dola moja kwa siku...ten times kitu gani wewe
Bunge limesemaje baada ya kupata hiyo taarifa?
Hope jamaa wa JF wapo fit na server zao, zisijekuelemewa kama kwenye ile issue ya rich monduli.There are currently 2047 users browsing this thread. (375 members and 1672 guests)