Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,973
- 9,572
Hii ndio namna serikali inataka kumaliza mgomo wa madaktari?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Inasikitisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio namna serikali inataka kumaliza mgomo wa madaktari?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwa hili utakuwa ni ulimbukeni wa mawazo na upotofu mkubwa kwa JF members kulihusisha na serikali. Watu wengi hivi sasa wan a hasira sana hawa madaktari, kwani watu wanakufa kwa ajili yao na kujali pesa kuliko utu wa mtu. Na hili la ulimboka laonyesha ni dhahiri watu wan a hasira nao, hata mie pia na hasira nao, ndugu yangu juzi amekufa kwa ajili ya mgomo wao usio na mashiko.
Hajatekwa kakamatwa kwa ajili ya kuhojiwa kwa vyovyote vile atakuwa ni kikwazo kwa serikali.
Sasa uchokozi umefikia pabaya na hii sasa ni vita!!
Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na kumpeleka kusikojulikana! Inasemekana alipigiwa simu na jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la 'Abeid' ambaye tangu mwanzo amekuwa akiwasiliana naye na kujiita afisa wa serikali na kudai kuwa alitaka aonane naye face to face kwa ajili ya reconciliation.
Taarifa zimekwisha fikishwa polisi na sehemu zingine kwa ajili ya ufuatiliaji. (source chanzo cha kuaminika).
UPDATE:
Inaelekea waliomteka si watu wema kabisa, Dr. Ulimboka kaokotwa sehemu akiwa katika hali mbaya sana!
Tutaendelea kutoa updates kadiri muda unavyoruhusu.
![]()
![]()
![]()
PICHANI: Dkt. Ulimboka akiwa katika hali mbaya mara baada ya kuokotwa akiwa hajitambui.
Ulimboka alitekwa jana usiku mida ya saa 6 usiku baada ya kupigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Abeid na alitekwa na watu wawili waliokuwa na silaha. Kufuatia hali hii wafanyakazi wa chumba cha maiti Muhimbili nao wamegoma na mgomo huenda ukawa mkubwa zaidi!
Watu wa usalama std 7 unatarajia wafikiri nini zaidi ya hilo. Wao walijua hii ndo suluhisho shame on the fu.ck govt and your security forces
Kuna umuhimu wa wao kujitenga na kuwa nchi kamili manake hawawataki , wanawaacha vilema mwangalie mwakyembe kama kimbulu vile,mwandosya kwishnye,huyu kumvunja mbavu na mikono ili asifanye kazi yeyoteMbona watu wa mbeya wakiwagusa watawala wanaadhibiwa kuliko binadamu wengine? Dr Mwakyembe,profesor mwandosya? Uwiii
OOOh My GOD, I feel tears shed my eyes
Sidhani kama itatokea maishani mwangu nikaipenda tena SERIKALI YA CCM!
Kama Mungu yupo pamoja nasi atakuponya Dr. Ulimboka. Our prayers are with you
Watu wa usalama std 7 unatarajia wafikiri nini zaidi ya hilo. Wao walijua hii ndo suluhisho shame on the fu.ck govt and your security forces
Sasa nimesha-confirm JK anajiandalia mazigira ya kujipeleka mwenyewe ICC...