Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Sasa uchokozi umefikia pabaya na hii sasa ni vita!!

Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na kumpeleka kusikojulikana! Inasemekana alipigiwa simu na jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la 'Abeid' ambaye tangu mwanzo amekuwa akiwasiliana naye na kujiita afisa wa serikali na kudai kuwa alitaka aonane naye face to face kwa ajili ya reconciliation.

Taarifa zimekwisha fikishwa polisi na sehemu zingine kwa ajili ya ufuatiliaji. (source chanzo cha kuaminika).

UPDATE:
Inaelekea waliomteka si watu wema kabisa, Dr. Ulimboka kaokotwa sehemu akiwa katika hali mbaya sana!


Tutaendelea kutoa updates kadiri muda unavyoruhusu.

250995_412575955460231_1315467396_n.jpg

PICHANI: Dkt. Ulimboka akiwa katika hali mbaya mara baada ya kuokotwa akiwa hajitambui.
Ulimboka alitekwa jana usiku mida ya saa 6 usiku baada ya kupigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Abeid na alitekwa na watu wawili waliokuwa na silaha. Kufuatia hali hii wafanyakazi wa chumba cha maiti Muhimbili nao wamegoma na mgomo huenda ukawa mkubwa zaidi!



Wana JF,

This is terrible!!!!!!!!!!!!

Juzi Gerrald Hando kwa Kipindi chake cha JICHO LA NG'OMBE aliongea sana kuhusu swala la mgomo wa ma dr. yeye kama yeye kwa mtazamao wake na lakini kwa upande wa pili mtu utoapo hoja kwa media wakati mwingine pia ujue kuwa kuna Negative na Positive ideals na madhara yake.

Kwa nini nasema haya me niliwatumia ujumbe nikawaambia jamani swala la huu mgogoro wa ma dr na Serikali ni mzito sana na ni unaupunguvu wa kuuongozi (Utawala) katika Sector ya Afya kunahitajika maamuzi ya makini sana kwani hili linawagusa sana wananchi wa chini.

Matokeo yake sasa imekuwa ni uhasama kati ya serikali na ma dr na hii inaiweka sasa serikali yetu kati sura mpya sasa kutoka kule waliko zoea kuita kisiwa cha AMANI na kuwa Chimbuko la umwagaji DAMU, na ndiko tunako elekea nchi inaenda kuchafuka muda si mrefu ni kwa ajili ya kuwa na Viongozi wabovu dhaifu, Sera mbovu, Siasa za majitaka na raia walisha pigika na hali ya kiuchumi hawajui mbele wala nyuma ni wapi pa kutokea maana kuanzi Rais mpaka mlala hoi wa chini wote kilio chao ni kimmoja shida shida maisha magumu humo ni ugonjwa mbaya kabisa.

Katiba ya nchi inasema hivi Serikali itawajibika kwa wananchi leo hii serikali inataka iingie marumbano na wananchi nini maana ya free democracy nini maana ya kwenda kwenye kura za kuchangua viongozi

Sasa tumeanza kuwa kama kenya sasa twaviziana huu ni uchu wa uongozi au ni baadhi ya raia wanataka kuwepo na usawa na wengine hawataki usawa uwepo?

 
The man who smiles when things go wrong has thought on some one to blame on it
 
Hakika tulipofikia ni pabaya lakini watanzania tuanaelewa why dr.ulimboka stephen katika kipindi hiki cha mgomo wa madaktari???serikali ipo nyuma ya hiii kitu ndio mtuhumiwa namba moja katika hili,
 
wengi watasema alitoka ili apate rushwa na kusitisha mgomo, wengine alikuwa mjinga! lakini anaejua alichukuliwaje ni yeye na mnaojifanya kujua alitokaje labda mlilala nae kitandani.....swala la msingi ni Serikali kutatua matatizo ya madaktari na siyo kubadilika kuwa magaidi mithili ya Al-kaida
 
Hii ndio namna serikali inataka kumaliza mgomo wa madaktari?

attachment.php
attachment.php
attachment.php


attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • IMG0089A.jpg
    IMG0089A.jpg
    7 KB · Views: 15,969
  • IMG0090A.jpg
    IMG0090A.jpg
    6.4 KB · Views: 16,003
  • IMG0092A.jpg
    IMG0092A.jpg
    14.2 KB · Views: 558
  • IMG0094A.jpg
    IMG0094A.jpg
    6.9 KB · Views: 549
ama kweli kima akimaliza miti huingia maungoni! hii ndio hali ilipofika ! inauma lakini nawashauri madaktari waliogoma waache kazi! kwanini wafanye kazi katika mazingira ysowafaa? na nyinyi serikali acheni uonevu ajirini madaktari wenye uzalendo na imani kwa raia! MADAKTARI MUSIGOMOKE! muone tutakufa? na nyinyi serikali achenani nao ! acheni kujiaibisha. kwa watu wenye tamaaa! chunga tamaaa mbayaaaa.!
 
hatuna independent media mkuu, ukichapisha hizo makala utakuwa hujipendi!! Wao ni propaganda na kupindisha ukweli kutokana na shinikizo la serikali. Lakini ukienda kwenye hospitali zetu utasikitika then huyoo!! Angalia hapa chini
548736_386131041448435_1466428808_n.jpg
yametuchosha maisha haya . Kuna tofauti gani na wakimbizi. bwana yesu urudi.

 
sijui nikutukaneje?
k**u__m**a wewe
matusi ya kutukana kwa kutumia kiungo ulichopitia kuja duniani ni kumtukana na kumdhalilisha mama yako mwenyewe mzazi...mtafutie huyo mpuuzi tusi jingine lakini siyo hilo...inakera
 
TUWEKE USHABIKI WA VYAMA PEMBENI .! haya waliyoyafanya si haki kabisa ... nakumbuka prof. jay alisema tanzania si kisiwa cha amani bali kuna utulivu tu! ... kama kweli serikali ndio wameyafanya haya basi wa expect utulivu tulionao kupotea nataka nimsikie kibonde ataongea nini leo.
 
Tena tunaomba kilaza kibondo usiwe msemaji wa hili hapo redioni leo maana unakumbuka ulivyoumbuka pindi kile!!
 
Huyu nae naanza kumuona ni mpumbavu tu, je yeye anauhakika gani kama ndio serikali imehusika, hizi statement mchwara ndio zina kuja kuwaponza hawa wanasiasa mchwara.

Tumia ubongo kufikiri.! Wapi aliposema serikali inahusika.?ni wajibu wa serikali kulinda raia wake,hata wewe ukivamiwa au kuuwawa ni lazima serikali itolee maelezo.!!
 
Inatisha sana. Tunamuombea apate nafuu mapema na kupona ili atueleze yaliyotokea kiuhalisia. Bado ni vigumu kuingia akilini kwa watu wengi kama ni kweli serikali/ watu wa usalama waliona hii ndiyo njia sahihi ya kushughulikia mgogoro wa madaktari.
 
bora kuishi na vvu utatumia arv kuliko kuwa na serikali ya kipuuzi,dhaifu,mafia ,majambazi,kama hii.

pole kwa dr ulimboka na familia yake.Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Huyu Bw. tangu mwanzo nili dought uwezo wake na leo hisia zangu zimethibitika. Kwa mtu yeyote makini na mpiganaji wa kweli hawezi kufanya kosa kubwa kama hilo la kutoka usiku peke yake kwenda kuonana na mtu asiyemjua. He deserves to surfer his stupidity.


hata mimi na doubt uwezo wako
 
Back
Top Bottom