Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

OOOh My GOD, I feel tears shed my eyes

Sidhani kama itatokea maishani mwangu nikaipenda tena SERIKALI YA CCM!

Kama Mungu yupo pamoja nasi atakuponya Dr. Ulimboka. Our prayers are with you
 
Seikali kwa hili inabidi iangalie njia sahihi ya kumaliza mgogoro huu vinginevyo tunaelekea kubaya sana
 
UNAKUMBUKA VIZURI KAULI YA PINDA PALE CPL -MUHIMBILI?

Ulimboka: Tunaomba kusiwe na victimization ya aina yoyote. .

Pinda: Hakutakuwa na victimization lakini mkikuta kapigwa na majambazi au kagongwa na gari msiseme ni serikali'
 
mgomo wa mara hii ulikuwa unaelekea kupotea(kutokuwepo) wakaona ni busara kuchonga mchongo wa kumpiga,na kumchafua zaidi usoni,ili waamshe hisia za ma doctor na kuwafanya wale waliokuwa hawana nia ya kugoma agome.
ushahidi uko wapi kuwa waliomteka ni askari au usalama??!!
hamuoni kuwa yeyote anaweza kujivisha hivyo vyeo tu??!!
kwa nini huyo doctor toka mwanzo asimuulize huyo"abeid au john-ni majina tu-)kitambulisho chake!!
kama watu wangetaka kumuuua wangeshamuua kitambo tu lakini wanajali haki yako kama mtanzania!
huu mchongo umechongwa na wanasiasa kwa kushirikiana na baadhi ya ma doctor wakampigisha mwenzao kwa maslahi yao!
huku ndipo tunapoelekea
 
Hajatekwa kakamatwa kwa ajili ya kuhojiwa kwa vyovyote vile atakuwa ni kikwazo kwa serikali.

Kakamatwa na nani na kuhojiwa nini...?kama kakamatwa na polisi basi angekutwa kituo cha polisi,mtu kakutwa katelekezwa hajitambui....huko ni kumkamata kwa mahojiano au utekaji!!
 
Sasa tutaogopa......ukiwa mwanaharakati wa kupigania hari ya wanyonge shida tupu....!
 
Sasa nimesha-confirm JK anajiandalia mazigira ya kujipeleka mwenyewe ICC...
 
hi hali inatisha tz sasa hapakaliki inavyoonekana vita vinapikwa tayari kwa kupakuliwa.mhhh sijui bwana acha tusikilzie huku tukizidisha dua na sala kwa mola wetu.
 
Watu wa usalama std 7 unatarajia wafikiri nini zaidi ya hilo. Wao walijua hii ndo suluhisho shame on the fu.ck govt and your security forces

Mie watu wenye mawazo kama haya huwa nawaita akili za nyanya chungu !
 
Hii sasani hatari!!!Mungu atamlinda na atapona na kuendelea na mapambano
 
Inasikitisha sana, hope watu waliofanya huo unyama watakamatwa
 
Mbona watu wa mbeya wakiwagusa watawala wanaadhibiwa kuliko binadamu wengine? Dr Mwakyembe,profesor mwandosya? Uwiii
Kuna umuhimu wa wao kujitenga na kuwa nchi kamili manake hawawataki , wanawaacha vilema mwangalie mwakyembe kama kimbulu vile,mwandosya kwishnye,huyu kumvunja mbavu na mikono ili asifanye kazi yeyote
Wannyakyusa jitengeni sasa serikali hii haiwatakii
 
OOOh My GOD, I feel tears shed my eyes

Sidhani kama itatokea maishani mwangu nikaipenda tena SERIKALI YA CCM!

Kama Mungu yupo pamoja nasi atakuponya Dr. Ulimboka. Our prayers are with you

Mbona wengine wanaokufa kwa ajili ya yeye kugoma huwaombei ? huo sio ubaguzi wa binadamu wenzako ?
 
Watu wa usalama std 7 unatarajia wafikiri nini zaidi ya hilo. Wao walijua hii ndo suluhisho shame on the fu.ck govt and your security forces

Kwa picha hizo mbona kama wamemmwagia na tindikali? Hivi akipona atatibu wagonjwa kwa moyo?
 
wananchi wote askari na wanajeshi na usalama munaowaponda ndio hao hao watakao kuwa na jukumu la kuwalinda wakati wa machafuko au wakati wa utawala wa chama chochote kile,mukiwavisha sifa wasizostahiki na mukawachafua kwa wananchi,sijui nani atalinda amani yenu kwa ujumla,sifikirii kama kaka,mama,dada,baba,watoto,wajukuu,zetu wanamazoezi tosha ya kulinda nchi yetu!
tufungue macho na akili zetu vizuri,tamaa za pesa au madaraka na kutafuta njia za mkato ili kufikia malengo ya tamaa zako,kama taifa tamaa hizo zitatupeleka kubaya!
 
mgomo wa mara hii ulikuwa unaelekea kupotea(kutokuwepo) wakaona ni busara kuchonga mchongo wa kumpiga,na kumchafua zaidi usoni,ili waamshe hisia za ma doctor na kuwafanya wale waliokuwa hawana nia ya kugoma agome.
ushahidi uko wapi kuwa waliomteka ni askari au usalama??!!
hamuoni kuwa yeyote anaweza kujivisha hivyo vyeo tu??!!
kwa nini huyo doctor toka mwanzo asimuulize huyo"abeid au john-ni majina tu-)kitambulisho chake!!
kama watu wangetaka kumuuua wangeshamuua kitambo tu lakini wanajali haki yako kama mtanzania!
huu mchongo umechongwa na wanasiasa kwa kushirikiana na baadhi ya ma doctor wakampigisha mwenzao kwa maslahi yao!
huku ndipo tunapoelekea
 
wananchi wote askari na wanajeshi na usalama munaowaponda ndio hao hao watakao kuwa na jukumu la kuwalinda wakati wa machafuko au wakati wa utawala wa chama chochote kile,mukiwavisha sifa wasizostahiki na mukawachafua kwa wananchi,sijui nani atalinda amani yenu kwa ujumla,sifikirii kama kaka,mama,dada,baba,watoto,waj ukuu,zetu wanamazoezi tosha ya kulinda nchi yetu!
tufungue macho na akili zetu vizuri,tamaa za pesa au madaraka na kutafuta njia za mkato ili kufikia malengo ya tamaa zako,kama taifa tamaa hizo zitatupeleka kubaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…