Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Hapa ni kizaizai kwa kweli maana sijui nisemeje lakini alitakiwa aseme in advance kwamba kuna watu anaenda kukutana nao usiku ule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naomba tufanye maandamano kuuong'oa utawala wa JK
samrich1:
soma tena kwa makini hiyo:
mgomo wa mara hii ulikuwa unaelekea kupotea(kutokuwepo) wakaona ni busara kuchonga mchongo wa kumpiga,na kumchafua zaidi usoni,ili waamshe hisia za ma doctor na kuwafanya wale waliokuwa hawana nia ya kugoma agome.
ushahidi uko wapi kuwa waliomteka ni askari au usalama??!!
hamuoni kuwa yeyote anaweza kujivisha hivyo vyeo tu??!!
kwa nini huyo doctor toka mwanzo asimuulize huyo"abeid au john-ni majina tu-)kitambulisho chake!!
kama watu wangetaka kumuuua wangeshamuua kitambo tu lakini wanajali haki yako kama mtanzania!
huu mchongo umechongwa na wanasiasa kwa kushirikiana na baadhi ya ma doctor wakampigisha mwenzao kwa maslahi yao!
huku ndipo tunapoelekea
Ukijaribu ku connect ... , hilo eneo inaonekana ni special kwa kusulubu watu kwa njia hii maana hata kwenye kesi ya kamanda Zombe jina la hiyo sehemu ilijitokeza sana . Sehemu inaonekana iko karibu sana na shughuli special za ki state ..., '.. Freedom is coming tomorrow 'Nadhani hawa watu waliomfanyia hivi walifikiri ameshakufa ndio maana wakamwacha. Wakijua kwamba bado yuko hai kuna uwezekano mkubwa watarudi ili kumalizia asije akawataja atakapopona. Kuna uhitaji mkubwa sana wa kuhakikisha anapatiwa ulinzi wa uhakika. Haya ndio yaliyosabisha kiongozi wa serikali ya wanafunzi miaka ya hapo nyuma, Harun Kimaro, atoroke nchi na kukimbilia Zimbabwe baada ya kupata taarifa uhai wake ulikuwa hatarini toka watu wa vyombo vya "usalama" vya serikali.
unapindisha ukweli kwenye issue sensitive ambayo ipo wazi haiitaji uchunguzi wowote kuitambua hata mtoto wa darasa la pili atatambua na hayo ndio malipo yako ukome na vipropaganda vyako ulivyo tumwa.
Inasikitisha sana, hope watu waliofanya huo unyama watakamatwa
Mnaomsikitikia huyo fedhuli mmoja, mnajuwa ni wagonjwa wangapi wanaoathirika na upumbavu wake? au wale sio binaadam? binaadam ni huyo kibaraka pekee?
Nasema astahili yake, mtoto akichezea wembe mwachie, na bado.
Mkuu una akili vizuri?????
Kama huna cha kuongea si ukae kimya??
Selikari yako ingetambua hilo ingemaliza matatizo ya ma doctor kistaarabu kabisa!
Hii topic hakuna anaetumia ubongo, kila mtu anatumia ubongo wa chama chake. Kwani huyu ndio wa kwanza kuvamiwa? Hivi wewe ukivamiwa hapo kesho unafikiri members wote wa jamii forum watakuja kulaumu serikali?
hi hali inatisha tz sasa hapakaliki inavyoonekana vita vinapikwa tayari kwa kupakuliwa.mhhh sijui bwana acha tusikilzie huku tukizidisha dua na sala kwa mola wetu.
Kuna maswali mengi sana kiongoziNani aliyegundua uwepo wa Dr. Ulimboka huko walikomtoa...
Hana maana huyu hata akifa hakuna wa kumjutia,wangapi wanakufa huko hospitali tena nchi nzima kisa yeye anapingana na serikali tena kwa maslahi binafsi,anapinga mpaka amri ya mahakama hana adabu kabisa,wangemalizia kabisa tujue moja.sina roho ya huruma kwa mnyama/chizi/!!!!!?????? shenz..... kama huyu asiyethamini maisha ya wenzake bora angetangulie yeye akadai hayo maslahi huko kuzimu.
Fanya ww na familia yako, sie wengine hatuhusiki . Familia yangu nikifa utaihudumia ww ?
Mie watu wenye mawazo kama haya huwa nawaita akili za nyanya chungu !
​dhaiifuuFanya ww na familia yako, sie wengine hatuhusiki . Familia yangu nikifa utaihudumia ww ?