Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Hapa ni kizaizai kwa kweli maana sijui nisemeje lakini alitakiwa aseme in advance kwamba kuna watu anaenda kukutana nao usiku ule
 

Hayo ni maoni yako....maoni yangu ni kwamba wewe ni mmoja wa hao wapumbavu dhaifu mnaoitwa usalama wa taifa na mnatumika na viongozi dhaifu kufanya unyama......
 
Ukijaribu ku connect ... , hilo eneo inaonekana ni special kwa kusulubu watu kwa njia hii maana hata kwenye kesi ya kamanda Zombe jina la hiyo sehemu ilijitokeza sana . Sehemu inaonekana iko karibu sana na shughuli special za ki state ..., '.. Freedom is coming tomorrow '
 
unapindisha ukweli kwenye issue sensitive ambayo ipo wazi haiitaji uchunguzi wowote kuitambua hata mtoto wa darasa la pili atatambua na hayo ndio malipo yako ukome na vipropaganda vyako ulivyo tumwa.

so whats ur point madam?
 
Inasikitisha sana, hope watu waliofanya huo unyama watakamatwa

Mwenyezi Mungu pekee ndiye anaewajua hawa waliofanya kitendo hiki cha kishetani.Malipo yake kwa hakika ni mabaya sana kwa walioshiriki kwenye hili na kizazi chao mpka kizazi cha 4 walimchukiza Mungu kwa hilo kama hawatatubu
 
Mnaomsikitikia huyo fedhuli mmoja, mnajuwa ni wagonjwa wangapi wanaoathirika na upumbavu wake? au wale sio binaadam? binaadam ni huyo kibaraka pekee?

Nasema astahili yake, mtoto akichezea wembe mwachie, na bado.


Huna siku nyingi, Ngoja Alshabab tuanze kazi yetu, tutakufuata tu hapo ulipo
 
Mkuu una akili vizuri?????
Kama huna cha kuongea si ukae kimya??
Selikari yako ingetambua hilo ingemaliza matatizo ya ma doctor kistaarabu kabisa!

Serikali imetumia kila ustaarabu, mpaka kukubali kuwawachiswa waziri, naibu, katibu mkuu. Kukutana nao, kuongea nao, kuwakubalia kuongeza mishahara, kuwakubalia kuongeza allowances, mpaka kuwaambia sasa tukayamalize kisheria mahakamani lakini msigome, hawasikii.

Hivi wewe, unajuwa watu wangapi wanateseka kwa migomo ya kijinga hii. Nini wanachokitaka zaidi? kama wanavyowatesa wenzao basi na wao watateseka hivyo hivyo, tena sio huyo tu, ni wote na wanaowatumia.
 
Hii topic hakuna anaetumia ubongo, kila mtu anatumia ubongo wa chama chake. Kwani huyu ndio wa kwanza kuvamiwa? Hivi wewe ukivamiwa hapo kesho unafikiri members wote wa jamii forum watakuja kulaumu serikali?

mkuu unamaanisha nini unaposema kila mtu hapa anatumia ubongo wa chama chake.? Mimi na wewe tukivamiwa members wa jf hawewazi kulalamika sababu sio maarufu. Lakini jamii inayotuzunguka lazima ihoji kwa kulazimisha serikali itafute wavamizi!
 
Tanzania ndio nchi pekee duniani ambayo inatumia parrafin kuzima moto
Is there any govt official say from mjengoni or elsewhere regarding this??
 

Wewe umethamini maisha yake kwa kuhakikisha analipwa vizuri !? Mbona walipotaka kupata pesa za kupitisha bajeti walimtumia jairo ? K'bbbbbbabbaaako aiseeh !
 
Acha kutumika kisiasa wewe'ww unasema hawana vifaa mbona huyo ulimboka wampeleka Moi under emergency case na vifaa hivyo hivyo ndio wanamtibia navyo? kama hakuna vifaa kwa nn wasinge mpeleka nje au hospitali binafsi ? fumbuka bongo , hapa yaonyesha haya madai yao ya vifaa ni janja yao tu, wako kimaslahi zaidi . Mie nasema ni bora tuwafukuze wote tujue hatuna madaktari kama walivyo fanya kenya , kuliko kuwa na madaktari kanjanja
 
Vitisho, mauaji na ubabe havijawai maliza tatizo, Dawa ni kuzungumza na Madaktari kuliko hivi ilivotokea kwa Dr Ulimboka, Huku ni kuchochea Mgomo na Matokeo yake ni wananchi wa kawaida ndo wahanga wa huu ubabe wa kijinga wa serikali ya ccm
 
please kwa wale mlio karibu mtafutieni hifadhi ubalozi wa equador haraka iwezekanavyo.
 
Hivi nyie mnaodai serikali yenu haiwezi kufanya jambo la kipuuzi hivi, mnataka kumdanganya nani??? Mnadhani tumesahau serikali hiihii ilivyofanya mauaji Tarime, na haikuridhika ikavamia mortuary na kuiba maiti ikaenda kuzituba vijijini!! Upumbavu ule una tofauti gani na huu wa leo??? Hebu msijikoshe hapa, nendeni mkawadanganye wanaowategemea majumbani kwenu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…