dhaifu kweli tetetetete.
Mhh! hapa wamefika mbali sasa... picha ukurasa wa facebook clouds FM
Pole Dr. Ulimboka. Mungu yu pamoja nawe na atakusimamia katika mabo yako.
Hope utapona.
Wenye silaha ni maaskari na usalama, Dr Ulimboka hana biashara yoyote anayofanya imfanye atekwe, hana pesa hana kitu ni maskini tuu, sasa swali kuu ni nani aliyemteka? Ni government agent na ni specific na issue ya madokta full stop.
Aand then what next.....the doktas are still ndani ya mgomo baridi
Niwe mwanaharakati au niwe chama gani ukweli unabakia pale pale kwamba keki ya taifa inatakiwa igawanywe kwa staili inayotakiwa,tunasema sekta ya afya imedharauliwa wakiwemo wataalamu wake,hata kwenye rasimu inayozunguka ya mishahara mipya Kilimo na Mifugo ndio inaongozwaNajua utaniita mpumbavu ukijifanya eti ni mwanaharakati lakini kimsingi pamoja na takwimu zako uchwara bado hufikiri kwa makini,
hivi kama mama au baba yako angekua ICU sasa,ungekua na hicho kiburi chakuwataka waendelee kugoma?
najua kinachokusumbua ni siasa za vyama au ushabiki.
Sijachungulia kwa Issa Michuzi....nae kaweka kitu au anaogopa kuichafua serikali?
pumbav huna akili kutetea ujinga.lait ungemuona alivyopigwa ungelia.ujinga mtupu
Huyo Dr Ulimboka atakuwa ni mla rushwa (CORRUPT) sana na inavyoonekana anaweza kuwauza wenzake.Nasema hivyo kwa sababu ukiiangalia hii incidence unaona kuwa huyu Dr Ulimboka ana tamaa ya pesa na anaendesha mgomo kwa kushawishi wenzake ili anufaike binafsi.Nasema hivyo kwa sababu hebu fikiria kwa akili ya kawaida tu,wewe una ishu kubwa kama hiyo ya mgomo,halagu unaitwa na mtu usiyemjua ili mkafanye reconcilliation.Bila shaka ni reconcilliation kuhusu mgomo.Hapo naona kuwa anaweza kuitwa na kupewa kitu kidogo na watu asiowajua na yeye akaenda tena peke yake???!!!!!!.Baada ya hapo anaweza kuwageuka wenzake.HAFAI KABISA ANASUMBULIWA NA TAMAA NA NJAA TU.Sina hakika na ukweli wa habari hii!
Kwa uhusiano alionao na serikali hii, saa sita ya usiku anaenda kufanya 'reconciliation' na 'mtu' wa serikali? Tena peke yake bila viongozi wenzie? Atakuwa wa ajabu basi!
Amevunjwa mikono yote miwili,shingo na sehemu za siri zimeasiwa.Hii taarifa kutoka chanzo cha uhakika kutoka muhimbili
Amevunjwa mikono yote miwili,shingo na sehemu za siri zimeasiwa.Hii taarifa kutoka chanzo cha uhakika kutoka muhimbili
Tuelimishe Dkt Ulimboka ni Kiongozi wa nani?
Na Je yeye anahusika vipi na Mgomo huu?
Je Dkt Ulimboka hana ushawishi MAT?
Kama Dkt Ulimboka hana ushawishi MAT na hana influence kwenye mgomo; kwanini TUHUMA zisizo vielelezo zinatolewa dhidi ya Serikali?
Mimi naamini kuwa Serikali yenyewe inasikitishwa na tukio hili; ila kwa kuwa watu mumeona mambo yakitokea Syria na Misri; basi mumeanza kukomaa. EVENTUALITY YA INCITEMENT SIO SUALA UTAKALOLIPENDA. Tuendelee na salama yetu na tuitake Katiba Mpya ije mapema na haraka. vurugu hazina tija. katiba Mpya Muarobaini wa mengi.
Ulimboka hasiefunzwa na mamaye hufunzwa na dunia....umepata unachostahili na umejua ni namna gani wagonjwa tuna maumivu.....bravo kwa yeyote alimshughulikia muhaini Ulimboka.
Mbona kwenye picha hapo anaonekana kashika maji ya kunywa? hivi mikono yote ikivunjika unaweza kubeba kitu?Acha masikhara.....
wewe ndio mpumbafu wa mwisho kabisa mpaka umeenda kwnye NEGATIVE MPUMBAFF.. kama huoni ttz hapo bora unyamaze kuliko kutumiwa na hao wachache ambao leo hii ukipata shida hakuna atakae kujua.. kwa mara ya kwanza
nasikitika hii forum hairuhusi matusi
unadhani kutukana ni suluhu la kujibu hoja?
Unadhani kumpiga na kutaka kumuua ni suluhu ya matatizo?
Think twice