Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

hii mada ina mantiki sn. kwa nn atibiwe huu dokta kinara wa mgomo. UKWELI NI KWAMBA KAZI UDAKTARI HAIPASWI KUWA NA MGOMO. HIYO NDIYO SHERIA YA BAADHI YA NCHI.

MUNGU amemlipa hapa hapa duniani ili naye aonje adha ya kuumwa. ASANTE MUNGU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hana maana huyu hata akifa hakuna wa kumjutia,wangapi wanakufa huko hospitali tena nchi nzima kisa yeye anapingana na serikali tena kwa maslahi binafsi,anapinga mpaka amri ya mahakama hana adabu kabisa,wangemalizia kabisa tujue moja.sina roho ya huruma kwa mnyama/chizi/!!!!!?????? shenz..... kama huyu asiyethamini maisha ya wenzake bora angetangulie yeye akadai hayo maslahi huko kuzimu.

Vichaa si kwamba wote wapo Hospitalini bali wengine mpo uraiani, kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kutoa pumba kama hizi.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Dah....sasa hapa ni dillema. Hii si karne ya kusema ametekwa na wananchi tukaelewa. Subirini mengi tutasikia na hata akifa hii movement haitaisha kamwe.
 
Sasa uchokozi umefikia pabaya na hii sasa ni vita!!

Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na kumpeleka kusikojulikana! Inasemekana alipigiwa simu na jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la 'Abeid' ambaye tangu mwanzo amekuwa akiwasiliana naye na kujiita afisa wa serikali na kudai kuwa alitaka aonane naye face to face kwa ajili ya reconciliation.

Taarifa zimekwisha fikishwa polisi na sehemu zingine kwa ajili ya ufuatiliaji. (source chanzo cha kuaminika).

UPDATE:
Inaelekea waliomteka si watu wema kabisa, Dr. Ulimboka kaokotwa sehemu akiwa katika hali mbaya sana!


Tutaendelea kutoa updates kadiri muda unavyoruhusu.

attachment.php
attachment.php
attachment.php


attachment.php

PICHANI: Dkt. Ulimboka akiwa katika hali mbaya mara baada ya kuokotwa akiwa hajitambui.
Ulimboka alitekwa jana usiku mida ya saa 6 usiku baada ya kupigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Abeid na alitekwa na watu wawili waliokuwa na silaha. Kufuatia hali hii wafanyakazi wa chumba cha maiti Muhimbili nao wamegoma na mgomo huenda ukawa mkubwa zaidi!

Honestly this is not right at all.... kweli hii serikali bora mseme mnataka vita kuliko kumpiga mtu kiasi hiki kwani akigoma si ndio serikali iwasikilize matatizo yao???????? eti serikali sikivu wakati serikali kiziwi kweli i don't understand. Je walimu nao wakigona na pia hao polisi wakigoma itakuwa ndio mchezo huu wa kuumizana??????? Kina Vua Nahodha work on this serious issue ASAP...
 
pumbav huna akili kutetea ujinga.lait ungemuona alivyopigwa ungelia.ujinga mtupu
 
Kuna tetesi kuwa kiongozi wa mgomo wa Madaktari aokotwa pande akiwa mahitihuti! Kama habari hii ni ya kweli basi tunakoelekea siko! Ipo siku mafisadi wataburuzwa barbarani!

Sio tetes ni kweli hali ni mbaya hii inaashiria nini hii inaashiria kwamba tayari kumekucha watanzania tujiandae kwa lolote kwa nini wasimteke babu yangu kule masoko mwenye ekari nusu ya migomba ? kwa nini wamteke leo na sio juz serikali haiwezi kulikwepa hili tunashukuru Pinda ulisema liwalo na liwe na sasa Limekuwa
 
Wenyewe wameshapongezana kwa Mtoto wa mkulima kutimiza ahadi yake ya kumuadabisha Dr. Ulimboka, sasa hivi wao ni vicheko tu.
 
Mleta mada hakika ni mgonjwa wa akili,na kwa vyovyote hazimtoshi kama viongozi wake wa CCM na kama mlivyoshuhudia leo bungeni kiongozi mkubwa anaongea kama tuko kijiweni napo tunataniana,maana si kila nuda kijiweni mkadhani hakuna la maana.na kwa maisha ya watu hatuna utani nayo.sasa mtu taahira kama mleta mada nadhani si lazima tumuone akikimbia uchi wa mnyama hadharani hata kwa mawazo yake tu yanatosha.

Ulimboka dr wa ukweli Mungu akuponye haraka.safari ya ukombozi hatupiti kwenye njia sooth na inapiganwa kila upande na hakika hizi ndio dalili.
 
jitahidi kujenga hoja acha ushabiki,
ulimboka ni nani awe na thamani kuliko ma elfu ya watanzani wanaoteseka kwa mgomo?
madaktari walipo goma sijaona mtu hata mmoja akiwaita wanyama kwa mateso wanayopata watanzania wasio na hatia kwani wao sio serikali.
we ndio mshabiki mpumbafu kabisa huna soni,kabisa wananchi wameanza kufa leo, wanakufa kila siku kwa kukosa hata dawa ya kuzuia damu wakizaa,kukosa nyuzi za kushonwa ,unambiwa scan machine hazifanyi kazi ocean road,muhimbili kwenyewe,x-ray ni mikoa kumi tu zinafanya kazi,zahanati asilia 51 hazina watendaji,ambulance zimeletwa pikipiki ,watoto wanakufa kila siku kwa kukosa oxygen mie sio mjinga mwenzio naipenda nchi hii na sitakubali ujinga wa baba yako mtawala mbumbumbu anayepeleka nchi yetu kwenye moto wa petroli
 
Kwenye ukweli siku zote uongo hujitenga, huyu dokta atuambie ukweli kama amekamatwa ugoni au alikuwa na beef na vijana wenzake. Asitake kusema serikali imemkamata. Hii ni serikali ya JMK sio JKN.
 
Kampe pole mama yako ambaye hata kansa ya shingo inayotibika wameshindwa kuigundua mapema kwa sababu tuu Jakaya kawauzia wazungu migodi

jitahidi kujenga hoja acha ushabiki,
ulimboka ni nani awe na thamani kuliko ma elfu ya watanzani wanaoteseka kwa mgomo?
madaktari walipo goma sijaona mtu hata mmoja akiwaita wanyama kwa mateso wanayopata watanzania wasio na hatia kwani wao sio serikali.
mlichofanya nikuendelea kuchochea vurugu
 
Swali langu mi nahoji kwann madaktari wameudumie yeye wakati wamegoma? Mwacheni naye aonje machungu wanayopata wagonjwa hapo hapo Muhimbili kwa kuendeleza mgomo wao, Mkuki kwa Nguruwe sio?
"MPUMBAVU AKIKAA KIMYA HUESABIWA ANA HEKIMA...ILA AZUNGUMZAPO UPUMBAVU WAKE HUDHIHIRIKA"
siyo maneno yangu ni ya BIBLIA TAKATIFU
 
Inasikitisha kwa ili lililotokea!Sina sababu ya kua na shaka ya kua hapa mkono wa serekali umehusika kwa sababu nyingi kwanaza mpaka sasa serikali iko kimya inatayarisha uongo hata kama askari wa usalama wa raia wamefanya vitendo hivyo iko wapi kauli ya serikali angalau kusema inafanya uchunguzi,pili blogs zote ambazo ziko karibu na serikali ambapo wakati wote utoka na breaking News au nyuziii kama wanavyozihita wenye ambazo sitaki kuzitaja mpaka sasa ziko KIMYAAAA! MUNGU AMBARIKI NA KUMRUDISHIA AFYA YAKE MAPEMA DUA ZETU ZIKO NYUMA YAKO.
Sijachungulia kwa Issa Michuzi....nae kaweka kitu au anaogopa kuichafua serikali?
 
Ndo hapo sasa, madaktari ni wajinga na kisomo chao hakijawanufaisha. Hao wasiopatiwa matibabu wana tofauti gani ya utu na madakatari watakaotibiwa wakati wa mgomo? Au wao wakienda kukata gogo wanalikata huku wamesimama? Kama hawana tofauti, kuna faida gani kuruhusu watu kufa kwa kukosa matibabu ili hali kundi flani likinufaika na huduma hiyo nyeti. Ndo tuseme madai ya madaktari ya kupatiwa vitendea kazi yameshakamilishwa na ndio maana wanamtibia Dr Ulimboka? Kama bado, wamepata wapi vifaa wanavyotumia kwa sasa kumtibia huyo kiongozi wao wa mgomo?
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
pole sana dogo......... your life is a total darkness
 
Kawawa aliitwa simba wa vita kwa kuongoza movement za wafanyakazi au wakulima not sure, hakuwa na shule ila Nyerere hakuwa na jinsi ilibidi amacomodate. Old principles ambazo hufanya kazi milele. History is a good teacher
 
Back
Top Bottom