Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kampeni pole mwenzenu aliyekutwa chooni anawapa taarifa kwamba Ulimboka hajafa!!!:mod:
 
Mhh! hapa wamefika mbali sasa... picha ukurasa wa facebook clouds FM


480093_416306165079474_1787286762_n.jpg

Pole Dr. Ulimboka. Mungu yu pamoja nawe na atakusimamia katika mabo yako.
Hope utapona.
 
Jamaa walidhamiria kumuua kabisa bahati nzuri Mungu yupo upande wake.
 
Wenye silaha ni maaskari na usalama, Dr Ulimboka hana biashara yoyote anayofanya imfanye atekwe, hana pesa hana kitu ni maskini tuu, sasa swali kuu ni nani aliyemteka? Ni government agent na ni specific na issue ya madokta full stop.

Aand then what next.....the doktas are still ndani ya mgomo baridi

vijana wa pinda wanahusika , hata yeye mtoto wa mkulima anhusika , si msafi tupige kura ya kutokuwa na imani naye .lsikumtgemea mtu anapendenda kusali kanisa letu la RC hannasifueo kasema naliwe na iwe maanake nini?
 
Kwa hili serikali haiwezi kukwepa, kwani tangu jana naibu wa mwanasheria mkuu wa serikali alitoa tamko na kusema tusiporudi kazini leo tutaona na leo waziri mkuu bungen ametoa kauli na kusema liwalo na liwe na tumeon kamanda wetu alitekwa na kutendwa kama ilivyooneshwa kwenye picha ,aluta continua
 
Najua utaniita mpumbavu ukijifanya eti ni mwanaharakati lakini kimsingi pamoja na takwimu zako uchwara bado hufikiri kwa makini,
hivi kama mama au baba yako angekua ICU sasa,ungekua na hicho kiburi chakuwataka waendelee kugoma?
najua kinachokusumbua ni siasa za vyama au ushabiki.
Niwe mwanaharakati au niwe chama gani ukweli unabakia pale pale kwamba keki ya taifa inatakiwa igawanywe kwa staili inayotakiwa,tunasema sekta ya afya imedharauliwa wakiwemo wataalamu wake,hata kwenye rasimu inayozunguka ya mishahara mipya Kilimo na Mifugo ndio inaongozwa
wewe ungekuwa na kaka yako mama yako baba yako daktari anafanya kazi kwenye mazingira hatarishi kama anayofanya daktari wa Tanzania ungesemaje
leo hii madaktari wameonyesha ushirikiano serikali inawadharau kwa sababu inadharayu wananchi hospitali hizi za serikali bado ni kimbilio kuu la wananchi haitoshi kusema uwajali wagonjwa wakati siku nenda rudi unashuhudia vifo mbele ya uso wako bila uwezo wowote wa kusaidia kwa sababu serikali ya majambazi wanaiba fedha na kuzificha nje ya nchi ,nauunga mkono mgomo wa madaktari mwanzo mwisho na nalaani serikali ya Jakaya Kikwete kutaka kunyamazisha sauti za madaktari kwa kuuwaua
 
pumbav huna akili kutetea ujinga.lait ungemuona alivyopigwa ungelia.ujinga mtupu

hivi hua unatembea mahospitalini wewe au Ulimboka ndio mgonjwa wako wakwanza mahututi kumuona?
kama huyu utalia ukifika muhimbili ukawaona watanzania waliokosa matibabu ulimboka utamuona mzima kabisa,
tuache ushabiki ulimboka hawezi kua na thamani kuliko maelfu ya wagonjwa walala hoi wanaoteseka mahospitalini.
 
Sina hakika na ukweli wa habari hii!
Kwa uhusiano alionao na serikali hii, saa sita ya usiku anaenda kufanya 'reconciliation' na 'mtu' wa serikali? Tena peke yake bila viongozi wenzie? Atakuwa wa ajabu basi!
Huyo Dr Ulimboka atakuwa ni mla rushwa (CORRUPT) sana na inavyoonekana anaweza kuwauza wenzake.Nasema hivyo kwa sababu ukiiangalia hii incidence unaona kuwa huyu Dr Ulimboka ana tamaa ya pesa na anaendesha mgomo kwa kushawishi wenzake ili anufaike binafsi.Nasema hivyo kwa sababu hebu fikiria kwa akili ya kawaida tu,wewe una ishu kubwa kama hiyo ya mgomo,halagu unaitwa na mtu usiyemjua ili mkafanye reconcilliation.Bila shaka ni reconcilliation kuhusu mgomo.Hapo naona kuwa anaweza kuitwa na kupewa kitu kidogo na watu asiowajua na yeye akaenda tena peke yake???!!!!!!.Baada ya hapo anaweza kuwageuka wenzake.HAFAI KABISA ANASUMBULIWA NA TAMAA NA NJAA TU.
 
wewe mpumbavu kama una huruma na walio ICU, mbona unaunga mkono vp kwa serikali kutotekeleza matakwa waliyokubaliana kama wao ndio wanaidhinisha vibali(referals) za kwenda kutibiwa nje na Invoices zinazokuja wanaziona serikali wanalipa
 
Not fair at all, why they want to kill this person? wezi wa hela zetu za umma na wala rushwa wakubwa waliorudisha maendeleo ya nchi mbona hawaguswi au sababu wengi wao ni viongozi???????????????//
 
Hii hari ndugu zangu tusiiache ipite hivi hivi, lazima tufe na mtu. Ulimboka ni kiongozi tu wa kuwakilisha mawazo ya wengi, Kwa stauli tutegemee vifoo vingi kwa wagonjwa hata kama madakari watarudi, hawatakuwa na moyo wa huruma tena kwa wagonjwa.

Na chama hiki dhaifu ndio kitasababisha machafuko katika nchi hii. huu si wakati wa lelemama tena kila mtu ajiandae
 
Amevunjwa mikono yote miwili,shingo na sehemu za siri zimeasiwa.Hii taarifa kutoka chanzo cha uhakika kutoka muhimbili

Mkuu, sitaki kabisa kuamini kama haya maneno ni ya kweli...inasikitisha sana...
 
Huyu aliyemshughulikia huyu mbwiga na-mpa Bigup ... akipona atajifunza kuwa wale anawogomea kuwatibu husikia maumivu pia...akiamka atakuwa wa kwanza kwenda kutoa huduma pale muhimbili
 
Tuelimishe Dkt Ulimboka ni Kiongozi wa nani?

Na Je yeye anahusika vipi na Mgomo huu?

Je Dkt Ulimboka hana ushawishi MAT?

Kama Dkt Ulimboka hana ushawishi MAT na hana influence kwenye mgomo; kwanini TUHUMA zisizo vielelezo zinatolewa dhidi ya Serikali?

Mimi naamini kuwa Serikali yenyewe inasikitishwa na tukio hili; ila kwa kuwa watu mumeona mambo yakitokea Syria na Misri; basi mumeanza kukomaa. EVENTUALITY YA INCITEMENT SIO SUALA UTAKALOLIPENDA. Tuendelee na salama yetu na tuitake Katiba Mpya ije mapema na haraka. vurugu hazina tija. katiba Mpya Muarobaini wa mengi.

Katiba mpya wakati munauwa watanzania wenzenu tuu kwa sababu munataka kulinda mali mulizotuibia a very wrong calculation
 
wewe ndio mpumbafu wa mwisho kabisa mpaka umeenda kwnye NEGATIVE MPUMBAFF.. kama huoni ttz hapo bora unyamaze kuliko kutumiwa na hao wachache ambao leo hii ukipata shida hakuna atakae kujua.. kwa mara ya kwanza
nasikitika hii forum hairuhusi matusi

unadhani kutukana ni suluhu la kujibu hoja?

Unadhani kumpiga na kutaka kumuua ni suluhu ya matatizo?

Think twice
 
Back
Top Bottom