Huyu aliyemshughulikia huyu mbwiga na-mpa Bigup ... akipona atajifunza kuwa wale anawogomea kuwatibu husikia maumivu pia...akiamka atakuwa wa kwanza kwenda kutoa huduma pale muhimbili
Huyu aliyemshughulikia huyu mbwiga na-mpa Bigup ... akipona atajifunza kuwa wale anawogomea kuwatibu husikia maumivu pia...akiamka atakuwa wa kwanza kwenda kutoa huduma pale muhimbili
Najua utaniita mpumbavu ukijifanya eti ni mwanaharakati lakini kimsingi pamoja na takwimu zako uchwara bado hufikiri kwa makini,
hivi kama mama au baba yako angekua ICU sasa,ungekua na hicho kiburi chakuwataka waendelee kugoma?
najua kinachokusumbua ni siasa za vyama au ushabiki.
hivi hua unatembea mahospitalini wewe au Ulimboka ndio mgonjwa wako wakwanza mahututi kumuona?
kama huyu utalia ukifika muhimbili ukawaona watanzania waliokosa matibabu ulimboka utamuona mzima kabisa,
tuache ushabiki ulimboka hawezi kua na thamani kuliko maelfu ya wagonjwa walala hoi wanaoteseka mahospitalini.
Mimi mwenyewe sielewi naona watu wamnaongea tu mara kahasiwa .......na blabalaaaa nyingi...!!Mbona kwenye picha hapo anaonekana kashika maji ya kunywa? hivi mikono yote ikivunjika unaweza kubeba kitu?
Hata serikali ya Tito Poland yenye propaganda nyingi uliangukaHuyo Dr Ulimboka atakuwa ni mla rushwa (CORRUPT) sana na inavyoonekana anaweza kuwauza wenzake.Nasema hivyo kwa sababu ukiiangalia hii incidence unaona kuwa huyu Dr Ulimboka ana tamaa ya pesa na anaendesha mgomo kwa kushawishi wenzake ili anufaike binafsi.Nasema hivyo kwa sababu hebu fikiria kwa akili ya kawaida tu,wewe una ishu kubwa kama hiyo ya mgomo,halagu unaitwa na mtu usiyemjua ili mkafanye reconcilliation.Bila shaka ni reconcilliation kuhusu mgomo.Hapo naona kuwa anaweza kuitwa na kupewa kitu kidogo na watu asiowajua na yeye akaenda tena peke yake???!!!!!!.Baada ya hapo anaweza kuwageuka wenzake.HAFAI KABISA ANASUMBULIWA NA TAMAA NA NJAA TU.
hahahahahahaha, ni kweli serikali yangu ni dhaifu.ila nadhan wewe hujafikia huko sababu umeweza gundua kuwa serikali ni dhaifu ila sijui kwanini ujilinganishe nayo.Kama serekali yako.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
Duh huu Si Ubinadam Ingawa Binafsi Siungi Mkono Mgomo Wa Madaktari But huu Ni UNYAMA kumfanyia Binaadam Jambo Kama Hili
It's Important Serekali Ifanye Uchunguzi Nimeona Picha za Huyu Brother Ameng'olewa Kucha Za Mkononi kwa Plaizi Serekali yetu inawajibu Wa Kulinda Usalama Wa RAIA uchunguzi ufanyike alotenda hili ajulikane Si sawa kabisa Na Serekali Inawajubu wakutafuta wahalifu Hawa sitaki kuamini jambo hili linamahusiano Na Mgomo Na Kama mtu huyu kaumizwa hivi kwa ajili ya Mgomo we cnt solve Matatizo ya Jamii yetu kwa njia ya Kuumiza watu walofanya hivi Si Binaadam
Mtajuta kwa uwamuzi wenu this is a very fragile nation kwa sasa musitegemee pesa mulizohongwa kwenye mikataba ya gas itawawezesha mutengeneze tanzania nyingine nyie na sisi tutabanana mbavu hapa hapa
Mimi mwenyewe sielewi naona watu wamnaongea tu mara kahasiwa .......na blabalaaaa nyingi...!!
kama ni kweli serikali imehusika, basi serikali itakua imethibitisha kuwa madai ya madaktari ni ya kweli na yana msingi na ndio mana hawana hoja zaidi ya kutumia ubabe.
Aliuwawa kama jambazi na "MAJAMBAZI" kwa risasi.Hivi Imrani Kombe, aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa aliuwawa vipi na nani?
Hana maana huyu hata akifa hakuna wa kumjutia,wangapi wanakufa huko hospitali tena nchi nzima kisa yeye anapingana na serikali tena kwa maslahi binafsi,anapinga mpaka amri ya mahakama hana adabu kabisa,wangemalizia kabisa tujue moja.sina roho ya huruma kwa mnyama/chizi/!!!!!?????? shenz..... kama huyu asiyethamini maisha ya wenzake bora angetangulie yeye akadai hayo maslahi huko kuzimu.