Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Huyu aliyemshughulikia huyu mbwiga na-mpa Bigup ... akipona atajifunza kuwa wale anawogomea kuwatibu husikia maumivu pia...akiamka atakuwa wa kwanza kwenda kutoa huduma pale muhimbili

Mmmmh!! haya bwana...
 
Huyu aliyemshughulikia huyu mbwiga na-mpa Bigup ... akipona atajifunza kuwa wale anawogomea kuwatibu husikia maumivu pia...akiamka atakuwa wa kwanza kwenda kutoa huduma pale muhimbili

Mtajuta kwa uwamuzi wenu this is a very fragile nation kwa sasa musitegemee pesa mulizohongwa kwenye mikataba ya gas itawawezesha mutengeneze tanzania nyingine nyie na sisi tutabanana mbavu hapa hapa
 
Najua utaniita mpumbavu ukijifanya eti ni mwanaharakati lakini kimsingi pamoja na takwimu zako uchwara bado hufikiri kwa makini,
hivi kama mama au baba yako angekua ICU sasa,ungekua na hicho kiburi chakuwataka waendelee kugoma?
najua kinachokusumbua ni siasa za vyama au ushabiki.

Pambaf wa mwisho unataka madaktari wafanye kazi bila dhana hata kama mgonjwa atakuwa ICU ndio atapona kwa Vifaa duni?
 
Hivi Imrani Kombe, aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa aliuwawa vipi na nani?
 
hivi hua unatembea mahospitalini wewe au Ulimboka ndio mgonjwa wako wakwanza mahututi kumuona?
kama huyu utalia ukifika muhimbili ukawaona watanzania waliokosa matibabu ulimboka utamuona mzima kabisa,
tuache ushabiki ulimboka hawezi kua na thamani kuliko maelfu ya wagonjwa walala hoi wanaoteseka mahospitalini.

Kaka ubarikiwe kwa kuwa mkweli
 
Mbona kwenye picha hapo anaonekana kashika maji ya kunywa? hivi mikono yote ikivunjika unaweza kubeba kitu?
Mimi mwenyewe sielewi naona watu wamnaongea tu mara kahasiwa .......na blabalaaaa nyingi...!!
 
Huyo Dr Ulimboka atakuwa ni mla rushwa (CORRUPT) sana na inavyoonekana anaweza kuwauza wenzake.Nasema hivyo kwa sababu ukiiangalia hii incidence unaona kuwa huyu Dr Ulimboka ana tamaa ya pesa na anaendesha mgomo kwa kushawishi wenzake ili anufaike binafsi.Nasema hivyo kwa sababu hebu fikiria kwa akili ya kawaida tu,wewe una ishu kubwa kama hiyo ya mgomo,halagu unaitwa na mtu usiyemjua ili mkafanye reconcilliation.Bila shaka ni reconcilliation kuhusu mgomo.Hapo naona kuwa anaweza kuitwa na kupewa kitu kidogo na watu asiowajua na yeye akaenda tena peke yake???!!!!!!.Baada ya hapo anaweza kuwageuka wenzake.HAFAI KABISA ANASUMBULIWA NA TAMAA NA NJAA TU.
Hata serikali ya Tito Poland yenye propaganda nyingi ulianguka
 
Jamani hili swala sasa linachukuwa sura nous kabisaaaaa... Hivi wana jf mnakua yale maneno aliyoongea mh J Mnyika wakamfukuza bungeni sasa naona alikuwa ameona mbali sana... Kama kweli kwa namna moja ama nyingine serekali ikiwa imejihusisha kwenye tukio hili Hapo itakuwa imeprove failure kubwa sana na niaibu isiyoweza kusahaulika hata kidogo .... Hii nchi inakwenda wapi?? Sasa hivi hata wale wahudumu wachache waliokuwa wanatoa huduma wamegadhabika na kila mtu ameacha kufanya kazi .... Is that what this gvnmnt wanted???? Shame on them...
 
Duh huu Si Ubinadam Ingawa Binafsi Siungi Mkono Mgomo Wa Madaktari But huu Ni UNYAMA kumfanyia Binaadam Jambo Kama Hili

It's Important Serekali Ifanye Uchunguzi Nimeona Picha za Huyu Brother Ameng'olewa Kucha Za Mkononi kwa Plaizi Serekali yetu inawajibu Wa Kulinda Usalama Wa RAIA uchunguzi ufanyike alotenda hili ajulikane Si sawa kabisa Na Serekali Inawajubu wakutafuta wahalifu Hawa sitaki kuamini jambo hili linamahusiano Na Mgomo Na Kama mtu huyu kaumizwa hivi kwa ajili ya Mgomo we cnt solve Matatizo ya Jamii yetu kwa njia ya Kuumiza watu walofanya hivi Si Binaadam

Na wewe upo? msalimie Rostam kaka.
 
Mtajuta kwa uwamuzi wenu this is a very fragile nation kwa sasa musitegemee pesa mulizohongwa kwenye mikataba ya gas itawawezesha mutengeneze tanzania nyingine nyie na sisi tutabanana mbavu hapa hapa

%%%##@@@ Habari Mchanganyiko au Vipi ?
 
Mimi mwenyewe sielewi naona watu wamnaongea tu mara kahasiwa .......na blabalaaaa nyingi...!!

Watu wanazusha mengi tu humu ndugu yangu yaani ukikonect dot utaona ishu nyingi zinakuzwa tu humu
 
Jamani hapa saa kuna umuhimu wa kila mtu kuwa na LPG home! CCM wakimwaga mboga na sie tunamwaga ugali
 
Lord Have Mercy! this country tutaja chinjana very soon! hii yote ni kwasababu ya DHAIFU! I HATE CCM, I HATE THIS GOVERNMENT, I HATE OUR LEADERS! PERIOD!
 
kama ni kweli serikali imehusika, basi serikali itakua imethibitisha kuwa madai ya madaktari ni ya kweli na yana msingi na ndio mana hawana hoja zaidi ya kutumia ubabe.

iwe serikali au mtu binafsi ubabe ni lazima kurudisha hali ya kawaida mahospitalini!madaktari wemesomeshwa na hela za wananchi afu wanagoma kuwatibu!madaktari wote waliogoma washughulikiwe kwa kufutwa kazi mara moja, wakajibu kesi mahakamani!wao waigomee serikali na si kugoma kutibu wagonjwa!ukishakubali kusomeshwa na ukawa 'dokita'kutibu ni lazima
mkweche ningekuwa president mkweche,kiongozi wa mgomo ningemchapa viboko mwenyewe!chezea kila kitu ila si uhai wa wananchi!wagoma wakati hata deni la kuwasomesha hawajalilipa!
Mkweche nimewachoka wagomaji!hata kama dawa hakuna mahospitali ila asikosekane mtu wa kutuelekeza tukanunue dawa madukani!nala buk!
 
Tusisahau Dr. Ulimboka ana maadui wengi. Ukiacha Serikali (well, watu wachache serikalini), kuna aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya aliyefutwa kazi hivi majuzi. That woman is capable of organizing this. Greedy.
 
Wewe ni wazi unapakuliwa na magamba ndo maana unaandika udivi kama huu !! Ungekuwa mtoto wa/au mke wa Daktari ukawa unasota wakati kuna watu wanakwiba mamimilioni kila siku au kuwaongezea posho madiwani na hao wabunge usingeandika kabisa uharo kama huu !! Siku zenu zinahesabika, zikifika basi itakuwa mara alfu ya Gadafi- tutachemsha mafuta ktk gudulia la kupikia vitumbua na kuwakandamiza mchuchumae ili minywele yote huko chini iiungue na kuyeyusha mafuta ktk masaburi huku tukiwasomea haya maandiko yenu yote.... !! Unastahili kujiita homosxl na sio homosapiens maana hao wana akili timamu !!!

Hana maana huyu hata akifa hakuna wa kumjutia,wangapi wanakufa huko hospitali tena nchi nzima kisa yeye anapingana na serikali tena kwa maslahi binafsi,anapinga mpaka amri ya mahakama hana adabu kabisa,wangemalizia kabisa tujue moja.sina roho ya huruma kwa mnyama/chizi/!!!!!?????? shenz..... kama huyu asiyethamini maisha ya wenzake bora angetangulie yeye akadai hayo maslahi huko kuzimu.
 
Back
Top Bottom