Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zomba sijui upoje ndugu yangu sasa umezidi
Kwa hiyo ndiop kufikia hatua ya kuua, ina maana ni ruksa kuchukua sheria mkononi.
Usalama wa Taifa ambao tunawategemea wakifanya hivi je, wananchi nao wanaruhusiwa kufanya hivi.
Hii Serikali ya kigaidi mtu akitetea haki basi vitisho vyao ni kumuua.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Walimuua Kolimba, Malima, n.k sasa walitaka kumuua Ulimboka, inaikitishaaa sanaa! tuichukie serikali hii! Pinda kwa kauli yake aliahidi na vijana wake wametekelza unyama huu!
Sasa kwa nini ulimboka akaenda hospital na anajua madaktari wamegoma.....si angeenda home mpaka mgomo uishe ndio akatibiwe.
Swali langu hapa; wanaharakati wa LHRC mmefikaje huko Mabwepande? imekuwaje asiokotwe na wasamaria wema na ikiwezekana madaktari wenzie ndio wawe wa kwanza kumsaidia?
![]()
The man who smiles when things go wrong has thought on some one to blame on it
hii ni habari ya kweli na imetoka kutangazwa sasa hivi na radio Clouds Fm.... Serikali dhaifu, madakitari kuweni kitu kimoja mgomo kama kawa hadi kieleweke.
Ukishindwa kuelewa kauli rahisi na ya wazi km hiyo uanweza kuelewa kauli tata? Alichomaanisha ni kuwa Wamejitahidi .
wewe zumbukuku wanaharakatio wamefika kule kwa gari.....alafu wewe bwegge tumia akili.... na usrukie rukie na kuandika kwa hisia za kibwegge bwegge....hakuokotwa na wasamaria bwegge wewe.....tumia akili sio matakle kuandika