zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
hakuna post wala comment yeyote yenye umaana katika historia toka uje JF, tunajua ulikuwa product ya school dropout, so si matatizo yako.. ukikua utaacha.
Mkikosa hoja mnaanza viroja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna post wala comment yeyote yenye umaana katika historia toka uje JF, tunajua ulikuwa product ya school dropout, so si matatizo yako.. ukikua utaacha.
Hujui utendalo, Ulimboka hana kosa katika sakata lote hili, anakutetea na wewe usiyejijua, usiyejua nchi inakoelekea, wewe uliye mbinafsi. Kama ungefuatilia sakata hili kwa uamakini ungejua serikali haijawajibika katika hili. Iweje kumbebesha mzigo wote Ulimboka badala ya serikali? Jifunze kufikiri.Napata shida kidogo kwamba nikupe pole wewe au wale wagonjwa ambao kwa lengo lenu la kugoma na kuiwajibisha serikali wengi wanateseka,wengine wanakufa,mama zetu wanajifungua kwa uchungu bila ya kua na msaada wowote,haya ni mateso makubwa, Hemu tujiulize vipi kama ulimboka na yeye kama akitelekezwa aachwe bila ya huduma yoyote? ni vyema madaktari watafute njia tofauti yakuibana serikali kwani watanzania wasio na hatia wanakufa kwa kosa la serikali
Swali langu hapa; wanaharakati wa LHRC mmefikaje huko Mabwepande? imekuwaje asiokotwe na wasamaria wema na ikiwezekana madaktari wenzie ndio wawe wa kwanza kumsaidia?
![]()
Mkuu hiyo habari imerushwa Clouds TV zaidi ya mara tatu...usilete Ishu za CCM na chadema katika jambo tete kama hiliUsiwasingizie Radio Clouds!! Tangu lini wamekuwa majasiri wa kuwasaliti mabwana zao CCM?? Unless kama ndiyo mwanzo wa ku-twist things around........... Maana hiki kimya cha serikali wanajaribu kupika mambo iliwajichomoe!! Lazima nusu ya wanaosoma hii thred ni UWT!!
Sasa wanaouwa madaktari au serikali? sisi tunaona wagonjwa wasiokuwa na hatia ndio wanakufa mahospitalini kwa kukosa tiba.
Walimkataa katibu mkuu wizara ya afya akaondolewa, wakamkataa waziri akaondolewa sasa mambo yao yanashughulikiwa wanagoma tena dah! aisee hii nchi inabidi iongeze vyuo vya sayansi ya tiba ili nao wawe wanazunguka na CV kuomba kazi mitaani kama sisi wengine!
Dr. Ulimboka na yule MCanada aliyeuwawa kule Serengeti yupi bora, iko wapi serikali? Liko wapi jeshi la polisi?
wewe zumbukuku wanaharakatio wamefika kule kwa gari.....alafu wewe bwegge tumia akili.... na usrukie rukie na kuandika kwa hisia za kibwegge bwegge....hakuokotwa na wasamaria bwegge wewe.....tumia akili sio matakle kuandika
Mkikosa hoja mnaanza viroja.
This is unacceptable, we cannot wait any more. Kutofautiana ki mtizamo sioni kama ni busara kuua kisa mtu kagoma. Ajili wengine kama unao vinginevyo keti chini mshauriane.
Join Date : 27th November 2007
Posts : 9,000
Rep Power : 6890
Likes Received:627
Likes Given:452
Una miaka kibao JF lakini hujachangia hata senti tano pambaf zako
Wenye silaha ni maaskari na usalama, Dr Ulimboka hana biashara yoyote anayofanya imfanye atekwe, hana pesa hana kitu ni maskini tuu, sasa swali kuu ni nani aliyemteka? Ni government agent na ni specific na issue ya madokta full stop.
Aand then what next.....the doktas are still ndani ya mgomo baridi
hahahahahahaha, ni kweli serikali yangu ni dhaifu.ila nadhan wewe hujafikia huko sababu umeweza gundua kuwa serikali ni dhaifu ila sijui kwanini ujilinganishe nayo.
Kuwa daktari inabidi uwe kipanga vilevile .................. siyo swala la number vyuo!!! Usha on mtandaoni wanatoa degree za medicine kama BBA, MBA n.k. I am not a medical doctor but why is going on here is seriously disturbing!!
Duh! Maskini ya Mungu!!! Hii Serikali ya wauaji...Inatisha sana. Halafu watu wanasema tutumie majina yetu ya kweli hapa JF!!! Mnaona jinsi Serikali hii inavyoweza kabisa kumaliza uhai wako kwa kuandika ukweli jinsi ambavyo imeshindwa kukidhi matumaini mbali mbali ya Watanzania...Sasa kila atakayeipinga ajue maisha yake yako hatarini anaweza kabisa kukolimbwa!!! Pole sana Ulimboka na madaktari wengine wote kwa tukio hili la kusikitisha na kutisha.
Michango yangu ya maandishi ni zaidi ya hivyo vijisenti.