Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

hakuna post wala comment yeyote yenye umaana katika historia toka uje JF, tunajua ulikuwa product ya school dropout, so si matatizo yako.. ukikua utaacha.

Mkikosa hoja mnaanza viroja.
 
Napata shida kidogo kwamba nikupe pole wewe au wale wagonjwa ambao kwa lengo lenu la kugoma na kuiwajibisha serikali wengi wanateseka,wengine wanakufa,mama zetu wanajifungua kwa uchungu bila ya kua na msaada wowote,haya ni mateso makubwa, Hemu tujiulize vipi kama ulimboka na yeye kama akitelekezwa aachwe bila ya huduma yoyote? ni vyema madaktari watafute njia tofauti yakuibana serikali kwani watanzania wasio na hatia wanakufa kwa kosa la serikali
Hujui utendalo, Ulimboka hana kosa katika sakata lote hili, anakutetea na wewe usiyejijua, usiyejua nchi inakoelekea, wewe uliye mbinafsi. Kama ungefuatilia sakata hili kwa uamakini ungejua serikali haijawajibika katika hili. Iweje kumbebesha mzigo wote Ulimboka badala ya serikali? Jifunze kufikiri.
 
Swali langu hapa; wanaharakati wa LHRC mmefikaje huko Mabwepande? imekuwaje asiokotwe na wasamaria wema na ikiwezekana madaktari wenzie ndio wawe wa kwanza kumsaidia?

attachment.php

Brutal and Cowardly attack. Hatuna serikali hapa tuna Wehu na Wendawazimu. Kaka Mungu atakuponya!!!
 
Usiwasingizie Radio Clouds!! Tangu lini wamekuwa majasiri wa kuwasaliti mabwana zao CCM?? Unless kama ndiyo mwanzo wa ku-twist things around........... Maana hiki kimya cha serikali wanajaribu kupika mambo iliwajichomoe!! Lazima nusu ya wanaosoma hii thred ni UWT!!
Mkuu hiyo habari imerushwa Clouds TV zaidi ya mara tatu...usilete Ishu za CCM na chadema katika jambo tete kama hili
 
Sasa wanaouwa madaktari au serikali? sisi tunaona wagonjwa wasiokuwa na hatia ndio wanakufa mahospitalini kwa kukosa tiba.

Kinachotakiwa ni kutafuta suluhisho la Tatizo na siyo kutumia vitisho ili wengine waogope.

Sasa subirini moto utakaowashwa na Madakitari kutokana na tukio hili, msifikiri wote ni Limbukeni au wameokotwa tu.

Vitisho vyenu havisaidii zaidi ya kuleta maafa kwa Wananchi wasio na hatia, hao Usalama wa Taifa na Viongozi wakiugua wanapelekwa India, Je, wewe si tutakutana katika Corridors za Hospitali zetu hapa tu.

Labda kama na wewe upo kwenyue system ya wanaopelekwa India.


MIZAMBWA
INANIUMA SNA!!!
 
Walimkataa katibu mkuu wizara ya afya akaondolewa, wakamkataa waziri akaondolewa sasa mambo yao yanashughulikiwa wanagoma tena dah! aisee hii nchi inabidi iongeze vyuo vya sayansi ya tiba ili nao wawe wanazunguka na CV kuomba kazi mitaani kama sisi wengine!

Kuwa daktari inabidi uwe kipanga vilevile .................. siyo swala la number vyuo!!! Usha on mtandaoni wanatoa degree za medicine kama BBA, MBA n.k. I am not a medical doctor but why is going on here is seriously disturbing!!
 
wewe zumbukuku wanaharakatio wamefika kule kwa gari.....alafu wewe bwegge tumia akili.... na usrukie rukie na kuandika kwa hisia za kibwegge bwegge....hakuokotwa na wasamaria bwegge wewe.....tumia akili sio matakle kuandika

Nimeipenda hiiiiiiiiiiii
 
This is unacceptable, we cannot wait any more. Kutofautiana ki mtizamo sioni kama ni busara kuua kisa mtu kagoma. Ajili wengine kama unao vinginevyo keti chini mshauriane.

Nani aliyeuliwa zaidi ya wagonjwa waliogomewa kutibiwa?
 
Join Date : 27th November 2007
Posts : 9,000
Rep Power : 6890
Likes Received:627
Likes Given:452
Una miaka kibao JF lakini hujachangia hata senti tano pambaf zako

Michango yangu ya maandishi ni zaidi ya hivyo vijisenti.
 
Wenye silaha ni maaskari na usalama, Dr Ulimboka hana biashara yoyote anayofanya imfanye atekwe, hana pesa hana kitu ni maskini tuu, sasa swali kuu ni nani aliyemteka? Ni government agent na ni specific na issue ya madokta full stop.

Aand then what next.....the doktas are still ndani ya mgomo baridi

Tukio hili na kilichomkuta DAKTARI huyu ni cha kusikitisha. Uchunguzi wa kina ufanyike ili Ijulikane hasa nini na vipi Ilifikia hapo. (huo ni upande A) Upande B pamoja na kudai HAKI zao pia wajue Wanacheza na MAISHA ya Watu na Watu huwa na maamuzi tofauti kuna watakaodhani na kukubali kuwa yaliyomkuta Daktari huyo ni stahili yake.
Busara ijitokeze haraka kutatua Mgogoro huu.
 
hahahahahahaha, ni kweli serikali yangu ni dhaifu.ila nadhan wewe hujafikia huko sababu umeweza gundua kuwa serikali ni dhaifu ila sijui kwanini ujilinganishe nayo.

Unataka kunipaka mtoke kwa mgongo wa chupa mkuu, ila ukweli unabaki kuwa, njihisi ni dhaifu kama serikali yetu, maana mimi ni miongoni mwa wananchi dhaifu ambao bado tunaichekea tu hii sirikali dhaifu bila kuchukua majukumu madhubuti ya kuiwajibisha, unadhani sisi wananchi tusingekuwa dhaifu, leo hii hao viongozi dhaifu wangetoa kauli kama hii LIWALO NA LIWE, hapana wasingethubutu kutoa upuuzi kama huo. Lakini sasa wanafahamu sisi wananchi ni dhaifu, basi wanaendesha nchi kama familia zao vile, hahahahahahah
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Kuwa daktari inabidi uwe kipanga vilevile .................. siyo swala la number vyuo!!! Usha on mtandaoni wanatoa degree za medicine kama BBA, MBA n.k. I am not a medical doctor but why is going on here is seriously disturbing!!

"Money never made a man happy yet, nor will it. There is nothing in its nature to produce happiness. The more a man has, the more he wants. Instead of filling a vacuum, it makes one" by --Benjamin Franklin-- scientist, inventor, statesman, printer, philosopher, musician and economist
 
Duh! Maskini ya Mungu!!! Hii Serikali ya wauaji...Inatisha sana. Halafu watu wanasema tutumie majina yetu ya kweli hapa JF!!! Mnaona jinsi Serikali hii inavyoweza kabisa kumaliza uhai wako kwa kuandika ukweli jinsi ambavyo imeshindwa kukidhi matumaini mbali mbali ya Watanzania...Sasa kila atakayeipinga ajue maisha yake yako hatarini anaweza kabisa kukolimbwa!!! Pole sana Ulimboka na madaktari wengine wote kwa tukio hili la kusikitisha na kutisha.

Kweli inasikitisha hiki kitendo walichomfanyia.

Kwa kusema kutotumia majina ndio mtu huwezi julikana hiyo sio kweli, admin wa JF au niseme forum yoyote wana access ya juu kwa mtu anaye jiregister katika forums.

wanaweza mengi, kujua IP address uliyojiungia, wapi unalog in toka, kulink username yako na e-mail (wengi hutumia majina), ni kuwa ukijiunga u basi umewapa ruhusu ya kukujua weye. wengi ukigoogle e-mail zao utakuta majina etc, au hata kwenye facebook kama wapo public utapata kuona profile zao etc. hii kitu inatumika na wengi hata kwenye maofisi kumjua mtu etc

hata mtu uwe Musoma utume ujumbe unajifanya upo Mbeya wakitaka angalia wanajua ukweli.

Cha umuhimu ni kuamini kuwa hawa admin na owners wa forum hawata angukia kupokea pesa za kuongwa ili kutoa data za watu. wanaweza block ip address ya mtu, kwa hiyo mtu inajulikana ni hadi wapi wanaweza fika.

Ndio maana ni muhimu sana owners wa forums kutoa access kwenye sensitive data kwa watu wanaowaamini, humu kuna mods I guess sidhani kama wanawajua wote kiundani as na ma spy wanaweza kuwa wamo. kitu cha michango ya pesa nyingi isifanye wakadhani kuwa hao ndio watakatifu.

mtu anaweza kutumia pesa kupata anachotaka hata kama itawachukua miezi, miaka bali wajilinde na mambo or maisha yao.

ukitaka leta nyaraka na unajua utakuwa huru bila kufatwa au kuwa na wasi basi ni...
kutumia connection ya internet isilink na home kwako, kazini au unapokuwepo mara nyingi, zile za kununua kwa mwezi, fungua e-mail account tofauti, ingia kwenye forum ujisajili thne rusha mambo.

tabu humu wengi wana fikira ndogo wakiona mtu kajiunga siku hiyo au siku chache zimepita wanadhani mambo yanayoletwa ni mchezo hawajui ujanja wa kutumia mitandao.

haya I hope wenye mambo watarusha wakitaka kusaidia nchi yetu.
 
Hii inadhihirisha wana usalama wetu wasivyojua wajibu wao. Wametumia mbinu kama waingereza walivyofanya kwa yule boss wa BBC na issue ya vita ya iraq.
 
Aisee hapa serikali inabidi tu ifanye juu chini watoe maelekezo ya kujitosheleza laa sivyo wananchi watafikiria vingine.
 
Back
Top Bottom