Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Dr. Ulimboka na yule MCanada aliyeuwawa kule Serengeti yupi bora, iko wapi serikali? Liko wapi jeshi la polisi?
 

Sasa wanaouwa madaktari au serikali? sisi tunaona wagonjwa wasiokuwa na hatia ndio wanakufa mahospitalini kwa kukosa tiba.
 
Walimuua Kolimba, Malima, n.k sasa walitaka kumuua Ulimboka, inaikitishaaa sanaa! tuichukie serikali hii! Pinda kwa kauli yake aliahidi na vijana wake wametekelza unyama huu!
 
This is unacceptable, we cannot wait any more. Kutofautiana ki mtizamo sioni kama ni busara kuua kisa mtu kagoma. Ajili wengine kama unao vinginevyo keti chini mshauriane.
 
siku zote njia ya kupigania haki haiko tambarare... ina vikwazo vingi sana....... hata dr ulimboka akiondoka mawazo na hisia za kamwe hazitokufa.... zitabaki kizazi baada ya kizazi...
 
Sasa kwa nini ulimboka akaenda hospital na anajua madaktari wamegoma.....si angeenda home mpaka mgomo uishe ndio akatibiwe.
 
Swali langu hapa; wanaharakati wa LHRC mmefikaje huko Mabwepande? imekuwaje asiokotwe na wasamaria wema na ikiwezekana madaktari wenzie ndio wawe wa kwanza kumsaidia?


wewe zumbukuku wanaharakatio wamefika kule kwa gari.....alafu wewe bwegge tumia akili.... na usrukie rukie na kuandika kwa hisia za kibwegge bwegge....hakuokotwa na wasamaria bwegge wewe.....tumia akili sio matakle kuandika
 
aiseee hapana this is too much...anyways me nasubiri tamko la serikali kesho na hatma yake
 
Walimkataa katibu mkuu wizara ya afya akaondolewa, wakamkataa waziri akaondolewa sasa mambo yao yanashughulikiwa wanagoma tena dah! aisee hii nchi inabidi iongeze vyuo vya sayansi ya tiba ili nao wawe wanazunguka na CV kuomba kazi mitaani kama sisi wengine!
 
hii ni habari ya kweli na imetoka kutangazwa sasa hivi na radio Clouds Fm.... Serikali dhaifu, madakitari kuweni kitu kimoja mgomo kama kawa hadi kieleweke.

Usiwasingizie Radio Clouds!! Tangu lini wamekuwa majasiri wa kuwasaliti mabwana zao CCM?? Unless kama ndiyo mwanzo wa ku-twist things around........... Maana hiki kimya cha serikali wanajaribu kupika mambo iliwajichomoe!! Lazima nusu ya wanaosoma hii thred ni UWT!!
 
Sasa kwa nini alienda hospital badala ya kungoja mgomo uishe kwanza yani simwelewi Uli kabisa
 
Aliyesema LIWALO NA LIWE,alikuwa anaamanisha mambo hayo yanayotokea
 
Ukishindwa kuelewa kauli rahisi na ya wazi km hiyo uanweza kuelewa kauli tata? Alichomaanisha ni kuwa Wamejitahidi .

halafu usidandie treni kwa mbele alooo....hauko ndani ya kichwa changu alaaa
 
wewe zumbukuku wanaharakatio wamefika kule kwa gari.....alafu wewe bwegge tumia akili.... na usrukie rukie na kuandika kwa hisia za kibwegge bwegge....hakuokotwa na wasamaria bwegge wewe.....tumia akili sio matakle kuandika

Polisi ndio waliwapigia wanaharakati? au wananchi?

Wanaharakati walisema huyo jamaa asipelekwe hospitali hadi wao wafike? wananchi hawakuweza hata kumpatia lifti ya Bajaj? hebu naomba mniweke sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…