VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Naelekea huko muda huu.Tanasubiriwa ili maelezo yake ya awali yachukuliwe.Kama yalichukuliwa bila uwepo wetu,ni batili.Hatuwezi kukubali...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
porojo kutoka udaku street utafikiri ulikuwa na ulimboka wakati anatekwa
aachiwe huru,yeye siyo tatizo,tatizo ni matatizo ya mdaktari kutokufanyiwa kazi,huku mabilioni ya pesa yakipelekwa uswis
Du imbombo ngafu ni simple kuwatrack hao waliomkamata kupitia call records zao tu mpaka watajulikana.
Ni kweli katemwana askari mbaya zaidi kapigwa vibaya na kapewa vitiaho
Serikali ya CCM sasa imefikia mwisho wa kufikiri, naona hata 2012 imekuwa mbali
Tuweke shinikizo aachiliwe mara moja na bila madhara yoyote; utawala wetu umewekwa kwenye kona na sasa unatafuta namna ya kutokea...
waambie wajaribu waone.Safi sana serikali ya chama cha mapinduzi!!!!
kamata na wana harakati wa cdm wanao sababisha mshindwe kutawala!
Kamata na wamiliki wa JF;Funga midomo waandishi wa habari makini!!!!
hapo ndipo mwisho wenu utakuja na kuwaweka kwenye kumbukumbu za kihistoria!!!
poor you!!!
kweli wewe mama porojo.
Naelekea huko muda huu.Tanasubiriwa ili maelezo yake ya awali yachukuliwe.Kama yalichukuliwa bila uwepo wetu,ni batili.Hatuwezi kukubali...