Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

kweli inawezekana kabisaaa
kwasababu yule mama ni tatizo sana na bado ana hasira kweli..... nilishamsikiaga mme wake akisema kusikitishwa na Dr ulimboka kusimamia kumtoa mkewake yupo pale banks union pemben na BOT......

Blandina Nyoni aliachana na mumewe miaka mingi iliyopita. Unamuongelea mumewe yupi?
 
Masikini dokta hakujua kikulacho kinguoni mwake.

Kosa kubwa alilofanya Dr Ulimboka ni muafaka wake walipokutana Ikulu na rais. Watu walioanzisha ule mgomo walitaka uendelee tu usiishe.Sasa wamemuadhibu maana inaonesha Ulimboka alichukua mshiko kwa lengo la kufanya mgomo mrefu alipofika Ikulu kukutana na Charisma ya JK akakubali kumaliza mgomo.

Pole sana Dr Ulimboka utakuwa umejifunza kwamba hao waliokutuma hawakuwa watu wazuri.
 
Mods kuna kitufe mbona sikioni?, yaani nashauri kama mlivyoweka kitufe cha likes,reply na reply with quotes basi muongeze kitufe kingine ama cha shenzi au pumbavu au mjinga we ili tufikishe ujumbe
 
Hili jambo kama lingefanywa/limefanywa na mtu mwingine au kikundi kingine chochote tofauti na serikali basi tutapata taarifa ya uchunguzi haraka na watu watataka ku-capitalise ili kuweka ukweli sawa sawa otherwise tutaletewa hadithi za kusadikika tu ili kufunika kombe!

Hili jambo halina mkono wa CDM hata kidogo najua propaganda kama hizo zitakuwepo ili kulipotezea. Jambo hili ni nyeti na tunahitaji chombo huru cha uchunguzi kuleta taarifa!

Siamini kama polisi ya Tanzania au serikali hii for that matter itakuja na taarifa yoyote credible juu ya tukio hili.
 
Ndivyo mnavyojidanganya huko na kujifariji sio!!!!!!!!!!!!

Umma wa Tanzania ndio hivo tuko njiani kwa mara ya kwanza katika histori ya nchi hii tunakuja kusema SASA BASI hatutaki tena madhila zaidi!!!!!!!!!!!!!!
 

nyani wa meru
 
 
​ni kweli na mipango imepangwa na mama yako kitandani kwangu una akili kama ya kondoo
 
Asamehewe tu maana anatumia masaburi kufikiri, akili yake ilshatekwa na hana kwa sasa.
 
Achaneni nae huyu bwana mimi na mjua vizuri tunakaa naye jirani mama ake amezaa mtoto na LUKUVI hivi karibuni analinda unga wa hawala ya mama yake wala msimtukane msameheni bure.
 
Dr Ulimboka lazima ajue watu anaoshirikiana nao ni wauaji na wapo tayari kumtoa yeye ili watimize azma yao ya kuleta vurugu nchini.
 
naona kama wanacdm hamna imani na jeshi la polisi lakini mbona Arumeru wahusika walikamatwa? jaribuni kuwapa muda ukweli utajulikana si polisi wote wanafanya kazi kichama zaidi, mm naamini ukweli utajulikana katika kipindi kifupi sana maana damu ya mtu nuksi bana
 

Mbona mnatapatapa sana? tulizeni boli......Mwenye macho haambiwi tazama.watanzania wa jana sio wa leo..hiki ni kizazi cha dotcom...kinaelewa ukweli na uongo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…