Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

kweli inawezekana kabisaaa
kwasababu yule mama ni tatizo sana na bado ana hasira kweli..... nilishamsikiaga mme wake akisema kusikitishwa na Dr ulimboka kusimamia kumtoa mkewake yupo pale banks union pemben na BOT......

Blandina Nyoni aliachana na mumewe miaka mingi iliyopita. Unamuongelea mumewe yupi?
 
Masikini dokta hakujua kikulacho kinguoni mwake.

Kosa kubwa alilofanya Dr Ulimboka ni muafaka wake walipokutana Ikulu na rais. Watu walioanzisha ule mgomo walitaka uendelee tu usiishe.Sasa wamemuadhibu maana inaonesha Ulimboka alichukua mshiko kwa lengo la kufanya mgomo mrefu alipofika Ikulu kukutana na Charisma ya JK akakubali kumaliza mgomo.

Pole sana Dr Ulimboka utakuwa umejifunza kwamba hao waliokutuma hawakuwa watu wazuri.
 
Hili jambo kama lingefanywa/limefanywa na mtu mwingine au kikundi kingine chochote tofauti na serikali basi tutapata taarifa ya uchunguzi haraka na watu watataka ku-capitalise ili kuweka ukweli sawa sawa otherwise tutaletewa hadithi za kusadikika tu ili kufunika kombe!

Hili jambo halina mkono wa CDM hata kidogo najua propaganda kama hizo zitakuwepo ili kulipotezea. Jambo hili ni nyeti na tunahitaji chombo huru cha uchunguzi kuleta taarifa!

Siamini kama polisi ya Tanzania au serikali hii for that matter itakuja na taarifa yoyote credible juu ya tukio hili.
 
Ndivyo mnavyojidanganya huko na kujifariji sio!!!!!!!!!!!!

Umma wa Tanzania ndio hivo tuko njiani kwa mara ya kwanza katika histori ya nchi hii tunakuja kusema SASA BASI hatutaki tena madhila zaidi!!!!!!!!!!!!!!
 
Masikini dokta hakujua kikulacho kinguoni mwake.

Kosa kubwa alilofanya Dr Ulimboka ni muafaka wake walipokutana Ikulu na rais. Watu walioanzisha ule mgomo walitaka uendelee tu usiishe.Sasa wamemuadhibu maana inaonesha Ulimboka alichukua mshiko kwa lengo la kufanya mgomo mrefu alipofika Ikulu kukutana na Charisma ya JK akakubali kumaliza mgomo.

Pole sana Dr Ulimboka utakuwa umejifunza kwamba hao waliokutuma hawakuwa watu wazuri.

nyani wa meru
 
Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.

madokta si watoto wadogo wakutumiwa wanajua wanachofanya, na hata kama wanatumiwa kitu muhimu ni kuangalia kama wanachodai kina msingi. na kuhusu watu kuichoka hiyo serikali waliisha ichoka mapema sana kabla ya kutumiwa na watu wowote sema tu hawajui wafanyaje, tuliichoka aserikali hii toka tuliposikia mkuu wa kaya katumia pea za EPA kutawala nchi hii, sikuzote ukweli husimama wenyewe, na usipende kumtaja Mungu kwenye mawazo yako ya kishenzi kama hayo hiyo ni laana
...Mungu bariki maana yake nini, sema shetani bado ana mda kidogo wa kuwasaidia kisha mwisho ndiyo mtajua kama ni spirit ya madokta au wanatumiwa
 
​ni kweli na mipango imepangwa na mama yako kitandani kwangu una akili kama ya kondoo
 
Asamehewe tu maana anatumia masaburi kufikiri, akili yake ilshatekwa na hana kwa sasa.
 
Achaneni nae huyu bwana mimi na mjua vizuri tunakaa naye jirani mama ake amezaa mtoto na LUKUVI hivi karibuni analinda unga wa hawala ya mama yake wala msimtukane msameheni bure.
 
Dr Ulimboka lazima ajue watu anaoshirikiana nao ni wauaji na wapo tayari kumtoa yeye ili watimize azma yao ya kuleta vurugu nchini.
 
naona kama wanacdm hamna imani na jeshi la polisi lakini mbona Arumeru wahusika walikamatwa? jaribuni kuwapa muda ukweli utajulikana si polisi wote wanafanya kazi kichama zaidi, mm naamini ukweli utajulikana katika kipindi kifupi sana maana damu ya mtu nuksi bana
 
Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.

Ikaja mgomo wa wafanyakazi, nao ukabuma. Ukaja mgomo wa madaktari kupitia interns...huu ulisumbua kiasi mpaka ukang'oa vigogo kule wizarani lakini ukapita. Sasa mgomo huu mwingine kwa kisingizio kile kile cha hali bora za madaktari. Cha kushangaza wanaoshabikia zaidi migomo yote hii ni wale walioanzisha maandamano.

Nashawishika kuamini jamaa yangu aliyenin'gata sikio kuwa mpango huu unalenga kutaka kuifanya nchi isitawalike, nimedokezwa kuwa waalimu nao wameshawishiwa kugoma.

Sasa kama nadharia hii ni kweli, basi masikini dr. Uli jamaa zako wenyewe ndio wamekutia jiti. Na jamii iaminishwe kama ni jeshi la polisi and so serilkali ili umma woote uanze kuichukia serikali na kuiangusha. Dr. Uli adui yuko chumbani kwako, usimtafute mchawi.

I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.

Kuna silku ukweli utadhihiri.

K.

Mbona mnatapatapa sana? tulizeni boli......Mwenye macho haambiwi tazama.watanzania wa jana sio wa leo..hiki ni kizazi cha dotcom...kinaelewa ukweli na uongo...
 
Back
Top Bottom