Hizi theories za uwongo na kweli zitajaza jukwaa. Kila mtu anakuja na lake
naona kama wanacdm hamna imani na jeshi la polisi lakini mbona Arumeru wahusika walikamatwa? jaribuni kuwapa muda ukweli utajulikana si polisi wote wanafanya kazi kichama zaidi, mm naamini ukweli utajulikana katika kipindi kifupi sana maana damu ya mtu nuksi bana
Achaneni nae huyu bwana mimi na mjua vizuri tunakaa naye jirani mama ake amezaa mtoto na LUKUVI hivi karibuni analinda unga wa hawala ya mama yake wala msimtukane msameheni bure.
Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.
Ikaja mgomo wa wafanyakazi, nao ukabuma. Ukaja mgomo wa madaktari kupitia interns...huu ulisumbua kiasi mpaka ukang'oa vigogo kule wizarani lakini ukapita. Sasa mgomo huu mwingine kwa kisingizio kile kile cha hali bora za madaktari. Cha kushangaza wanaoshabikia zaidi migomo yote hii ni wale walioanzisha maandamano.
Nashawishika kuamini jamaa yangu aliyenin'gata sikio kuwa mpango huu unalenga kutaka kuifanya nchi isitawalike, nimedokezwa kuwa waalimu nao wameshawishiwa kugoma.
Sasa kama nadharia hii ni kweli, basi masikini dr. Uli jamaa zako wenyewe ndio wamekutia jiti. Na jamii iaminishwe kama ni jeshi la polisi and so serilkali ili umma woote uanze kuichukia serikali na kuiangusha. Dr. Uli adui yuko chumbani kwako, usimtafute mchawi.
I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.
Kuna silku ukweli utadhihiri.
K.
Tunajua hata humu mpo lakini ni Intelijensia iliyoshindwa kazi, ya kizamani, isiyokuwa na mbinu za kisasa kugeuza hisia za watu waliokuwa na uelewa mkubwaKatika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.Ikaja mgomo wa wafanyakazi, nao ukabuma. Ukaja mgomo wa madaktari kupitia interns...huu ulisumbua kiasi mpaka ukang'oa vigogo kule wizarani lakini ukapita. Sasa mgomo huu mwingine kwa kisingizio kile kile cha hali bora za madaktari. Cha kushangaza wanaoshabikia zaidi migomo yote hii ni wale walioanzisha maandamano. Nashawishika kuamini jamaa yangu aliyenin'gata sikio kuwa mpango huu unalenga kutaka kuifanya nchi isitawalike, nimedokezwa kuwa waalimu nao wameshawishiwa kugoma. Sasa kama nadharia hii ni kweli, basi masikini dr. Uli jamaa zako wenyewe ndio wamekutia jiti. Na jamii iaminishwe kama ni jeshi la polisi and so serilkali ili umma woote uanze kuichukia serikali na kuiangusha. Dr. Uli adui yuko chumbani kwako, usimtafute mchawi.I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this. Kuna silku ukweli utadhihiri. K.
Mods kuna kitufe mbona sikioni?, yaani nashauri kama mlivyoweka kitufe cha likes,reply na reply with quotes basi muongeze kitufe kingine ama cha shenzi au pumbavu au mjinga we ili tufikishe ujumbe
Aisee hata mimi jamani natamani nimtukaneeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mpaka nichoke ila ngoja kwanza,stupid!!!Mods kale kaombi kangu ka kuruhusu lugha chafu kwa dk 5 vipi bado mnakatafakari?
Lohhh, ina maana huduma za afya kwa Tanzania ni nzuri siyo?
Kweli Madr. mna dhambi sana. Ndiyo maana hata viongozi wetu wanazikimbia Hospital za Tanzania.
Hapa chini: Binti Nyerere na Waziri Lukuvi wakipata kikombe cha Babu.
Kwa chini ni yule Mwana Sheria Mkono na Waziri Wasira na wao wakipata kikombe cha Babu.
Bado jitu halioni tatizo..... I wish ningelikuwa KAGAME wa Tanzania, niwakaange Vichwa ngumu wanaodhani ukuta wa Berlin bado umesimama (RIP KOLIMBA).
Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.
Ikaja mgomo wa wafanyakazi, nao ukabuma. Ukaja mgomo wa madaktari kupitia interns...huu ulisumbua kiasi mpaka ukang'oa vigogo kule wizarani lakini ukapita. Sasa mgomo huu mwingine kwa kisingizio kile kile cha hali bora za madaktari. Cha kushangaza wanaoshabikia zaidi migomo yote hii ni wale walioanzisha maandamano.
Nashawishika kuamini jamaa yangu aliyenin'gata sikio kuwa mpango huu unalenga kutaka kuifanya nchi isitawalike, nimedokezwa kuwa waalimu nao wameshawishiwa kugoma.
Sasa kama nadharia hii ni kweli, basi masikini dr. Uli jamaa zako wenyewe ndio wamekutia jiti. Na jamii iaminishwe kama ni jeshi la polisi and so serilkali ili umma woote uanze kuichukia serikali na kuiangusha. Dr. Uli adui yuko chumbani kwako, usimtafute mchawi.
I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.
Kuna silku ukweli utadhihiri.
K.
Masikini dokta hakujua kikulacho kinguoni mwake.
Kosa kubwa alilofanya Dr Ulimboka ni muafaka wake walipokutana Ikulu na rais. Watu walioanzisha ule mgomo walitaka uendelee tu usiishe.Sasa wamemuadhibu maana inaonesha Ulimboka alichukua mshiko kwa lengo la kufanya mgomo mrefu alipofika Ikulu kukutana na Charisma ya JK akakubali kumaliza mgomo.
Pole sana Dr Ulimboka utakuwa umejifunza kwamba hao waliokutuma hawakuwa watu wazuri.
Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.
Ikaja mgomo wa wafanyakazi, nao ukabuma. Ukaja mgomo wa madaktari kupitia interns...huu ulisumbua kiasi mpaka ukang'oa vigogo kule wizarani lakini ukapita. Sasa mgomo huu mwingine kwa kisingizio kile kile cha hali bora za madaktari. Cha kushangaza wanaoshabikia zaidi migomo yote hii ni wale walioanzisha maandamano.
Nashawishika kuamini jamaa yangu aliyenin'gata sikio kuwa mpango huu unalenga kutaka kuifanya nchi isitawalike, nimedokezwa kuwa waalimu nao wameshawishiwa kugoma.
Sasa kama nadharia hii ni kweli, basi masikini dr. Uli jamaa zako wenyewe ndio wamekutia jiti. Na jamii iaminishwe kama ni jeshi la polisi and so serilkali ili umma woote uanze kuichukia serikali na kuiangusha. Dr. Uli adui yuko chumbani kwako, usimtafute mchawi.
I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.
Kuna silku ukweli utadhihiri.
K.
Kama hapo ndio ume think very loud, basi ubongo wako umejaa makamasi.Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.