Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Wewe akili zako fupi kama yule mbunge wa VITU MAALUMU wa Lindi Riziki Lulida aliyeilamu CDM kwa ubadhilifu unaofanya na wakurugenzi huku akijua mamlaka ya kuwateua wa kuwahamisha wakurugenzi ni ya serikali ya CCM.

Huyo Abeid aliyemuitia watekaji Dr. Ulimboka ni mfanyakazi wa IKULU ya Magogoni. Au Siku hizi Ikulu inakaliwa na CDM? Jaribu kuficha ujinga wako. Kama nyinyi ndio usalama wa Taifa, basi kazi ipo!
 
Lohhh, ina maana huduma za afya kwa Tanzania ni nzuri siyo?

Kweli Madr. mna dhambi sana. Ndiyo maana hata viongozi wetu wanazikimbia Hospital za Tanzania.

Hapa chini: Binti Nyerere na Waziri Lukuvi wakipata kikombe cha Babu.

Lukuvi%2B%2526%2BRosemary%2Bin%2BLoliondo_.jpg

Kwa chini ni yule Mwana Sheria Mkono na Waziri Wasira na wao wakipata kikombe cha Babu.
asiramkono.jpg

Bado jitu halioni tatizo..... I wish ningelikuwa KAGAME wa Tanzania, niwakaange Vichwa ngumu wanaodhani ukuta wa Berlin bado umesimama (RIP KOLIMBA).
 
nahisi huyu nin mbunge aliyesema bungeni kuwa madaktari wanafadhiriwa na watu wa nje. mtu mzima ovyoooooooooooooooo yaani mtu wa ikulu tena anajulikana na amekuwa anahudhuria vikao vyote vya madaktari na serikali halafu wewe unaleta utumbo wa kuku hapa hebu nenda kaoge usafishe nyota yako naona imeanza kufifia
 
naona kama wanacdm hamna imani na jeshi la polisi lakini mbona Arumeru wahusika walikamatwa? jaribuni kuwapa muda ukweli utajulikana si polisi wote wanafanya kazi kichama zaidi, mm naamini ukweli utajulikana katika kipindi kifupi sana maana damu ya mtu nuksi bana

unadhani bila lile biti na Nassari kuwa JK asikanyage arusha wale jamaa wangekamatwa?
 
Achaneni nae huyu bwana mimi na mjua vizuri tunakaa naye jirani mama ake amezaa mtoto na LUKUVI hivi karibuni analinda unga wa hawala ya mama yake wala msimtukane msameheni bure.

You mean Dr. Uli..!? Sikuijua hii kabla.
 
Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.

Ikaja mgomo wa wafanyakazi, nao ukabuma. Ukaja mgomo wa madaktari kupitia interns...huu ulisumbua kiasi mpaka ukang'oa vigogo kule wizarani lakini ukapita. Sasa mgomo huu mwingine kwa kisingizio kile kile cha hali bora za madaktari. Cha kushangaza wanaoshabikia zaidi migomo yote hii ni wale walioanzisha maandamano.

Nashawishika kuamini jamaa yangu aliyenin'gata sikio kuwa mpango huu unalenga kutaka kuifanya nchi isitawalike, nimedokezwa kuwa waalimu nao wameshawishiwa kugoma.

Sasa kama nadharia hii ni kweli, basi masikini dr. Uli jamaa zako wenyewe ndio wamekutia jiti. Na jamii iaminishwe kama ni jeshi la polisi and so serilkali ili umma woote uanze kuichukia serikali na kuiangusha. Dr. Uli adui yuko chumbani kwako, usimtafute mchawi.

I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.

Kuna silku ukweli utadhihiri.

K.

Upuuzi mtupu..mwana-magamba mkubwa ww
 
Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.Ikaja mgomo wa wafanyakazi, nao ukabuma. Ukaja mgomo wa madaktari kupitia interns...huu ulisumbua kiasi mpaka ukang'oa vigogo kule wizarani lakini ukapita. Sasa mgomo huu mwingine kwa kisingizio kile kile cha hali bora za madaktari. Cha kushangaza wanaoshabikia zaidi migomo yote hii ni wale walioanzisha maandamano. Nashawishika kuamini jamaa yangu aliyenin'gata sikio kuwa mpango huu unalenga kutaka kuifanya nchi isitawalike, nimedokezwa kuwa waalimu nao wameshawishiwa kugoma. Sasa kama nadharia hii ni kweli, basi masikini dr. Uli jamaa zako wenyewe ndio wamekutia jiti. Na jamii iaminishwe kama ni jeshi la polisi and so serilkali ili umma woote uanze kuichukia serikali na kuiangusha. Dr. Uli adui yuko chumbani kwako, usimtafute mchawi.I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this. Kuna silku ukweli utadhihiri. K.
Tunajua hata humu mpo lakini ni Intelijensia iliyoshindwa kazi, ya kizamani, isiyokuwa na mbinu za kisasa kugeuza hisia za watu waliokuwa na uelewa mkubwa
 
Hapa kila mtu atakuja na sababu zake kuhusiana na mkasa huu, tunasubiri tu muda ukweli wote utajulikana.
 
Mods kuna kitufe mbona sikioni?, yaani nashauri kama mlivyoweka kitufe cha likes,reply na reply with quotes basi muongeze kitufe kingine ama cha shenzi au pumbavu au mjinga we ili tufikishe ujumbe

Kwa hali ilivyo in vigumu kuamini hayo anayosema mwanzishi wa thread.

Lakini ukitafakari, ni jambo linalowezekana.

But no matter what, hilo haliwezi kutua katika vichwa vya watu tena.

Ukweli uliobaki ni ule unaoamini wewe mwenyewe kwani ukweli aidha hautajulikana au hautakubalika
 
Hawa jamaaa wa intelijensia walikuwa wapi kugundua mpango huuuu.....
 
Kuna hoja za kipuuzi hapa jamvini zinazodhalilisha umma wa Tanzania. Inakuwaje karne hii tuna watu wana fikra ndogo kama hizo alizoandika mleta hii thread?

Migomo iko kila mahali duniani na hapa Tanzania migomo haijaanza leo. Hata ndani ya bunge na baraza la mawaziri la sasa wapo watu waliohusika na migomo tena mikubwa miaka ya huko nyuma. Na hata sheria za nchi zinatambua uwepo wa migomo ndio maana kuna hatua zimeelekezwa kabla mgomo haujaitishwa sehemu ya kazi. Sasa mleta mada anataka kutuambia haelewi historia ya nchi hii?

Labda niseme hivi, Serikali ifanye yale wanayotaka madaktari na kama bado wataendelea basi tutajua kweli wamedhamiria kuiangusha serikali.
 
Lohhh, ina maana huduma za afya kwa Tanzania ni nzuri siyo?

Kweli Madr. mna dhambi sana. Ndiyo maana hata viongozi wetu wanazikimbia Hospital za Tanzania.

Hapa chini: Binti Nyerere na Waziri Lukuvi wakipata kikombe cha Babu.

Lukuvi%2B%2526%2BRosemary%2Bin%2BLoliondo_.jpg

Kwa chini ni yule Mwana Sheria Mkono na Waziri Wasira na wao wakipata kikombe cha Babu.
asiramkono.jpg

Bado jitu halioni tatizo..... I wish ningelikuwa KAGAME wa Tanzania, niwakaange Vichwa ngumu wanaodhani ukuta wa Berlin bado umesimama (RIP KOLIMBA).

Ha ha ha haaah sijaona kitufe cha LIKE, hii nimeipenda.....:dance:
 
Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.

Ikaja mgomo wa wafanyakazi, nao ukabuma. Ukaja mgomo wa madaktari kupitia interns...huu ulisumbua kiasi mpaka ukang'oa vigogo kule wizarani lakini ukapita. Sasa mgomo huu mwingine kwa kisingizio kile kile cha hali bora za madaktari. Cha kushangaza wanaoshabikia zaidi migomo yote hii ni wale walioanzisha maandamano.

Nashawishika kuamini jamaa yangu aliyenin'gata sikio kuwa mpango huu unalenga kutaka kuifanya nchi isitawalike, nimedokezwa kuwa waalimu nao wameshawishiwa kugoma.

Sasa kama nadharia hii ni kweli, basi masikini dr. Uli jamaa zako wenyewe ndio wamekutia jiti. Na jamii iaminishwe kama ni jeshi la polisi and so serilkali ili umma woote uanze kuichukia serikali na kuiangusha. Dr. Uli adui yuko chumbani kwako, usimtafute mchawi.

I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.

Kuna silku ukweli utadhihiri.

K.

Yote yawezekana lakini kumbuka vita nyingi zimekuwa zikiisha mara tu kiongozi wake anapouawa, unakumbuka Impact ya Kifo cha Savimbi? Mimi naamini kwa Think Tanks za Serikali hii wanaweza kabisa kuichukulia kama kumuua Dr Ulimboka kama ndiyo Solution. Usisahau kwamba Serikali mpaka sasa imekwisha tekeleza mambo mengi ambayo inashauriwa vibaya. Hivi unaweza ukaamini kwamba Kitendo cha Rais kuwasamehe watu walioiba Pesa za EPA alishauriwa na Think Tanks hizi hizi?
 
Masikini dokta hakujua kikulacho kinguoni mwake.

Kosa kubwa alilofanya Dr Ulimboka ni muafaka wake walipokutana Ikulu na rais. Watu walioanzisha ule mgomo walitaka uendelee tu usiishe.Sasa wamemuadhibu maana inaonesha Ulimboka alichukua mshiko kwa lengo la kufanya mgomo mrefu alipofika Ikulu kukutana na Charisma ya JK akakubali kumaliza mgomo.

Pole sana Dr Ulimboka utakuwa umejifunza kwamba hao waliokutuma hawakuwa watu wazuri.

Only retards will think like u!
 
Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.

Ikaja mgomo wa wafanyakazi, nao ukabuma. Ukaja mgomo wa madaktari kupitia interns...huu ulisumbua kiasi mpaka ukang'oa vigogo kule wizarani lakini ukapita. Sasa mgomo huu mwingine kwa kisingizio kile kile cha hali bora za madaktari. Cha kushangaza wanaoshabikia zaidi migomo yote hii ni wale walioanzisha maandamano.

Nashawishika kuamini jamaa yangu aliyenin'gata sikio kuwa mpango huu unalenga kutaka kuifanya nchi isitawalike, nimedokezwa kuwa waalimu nao wameshawishiwa kugoma.

Sasa kama nadharia hii ni kweli, basi masikini dr. Uli jamaa zako wenyewe ndio wamekutia jiti. Na jamii iaminishwe kama ni jeshi la polisi and so serilkali ili umma woote uanze kuichukia serikali na kuiangusha. Dr. Uli adui yuko chumbani kwako, usimtafute mchawi.

I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.

Kuna silku ukweli utadhihiri.

K.

Manifestations of Myopic syndrome!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kama hapo ndio ume think very loud, basi ubongo wako umejaa makamasi.
 
Back
Top Bottom