Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kama kuna watu wana njaa ni waandishi wa habari cheap cheap cheap so cheeeeeeeaaaaapppp!!wanahongwa wanaandika ipo siku yenu mtapata hukumu
 
...sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this. K.
Kikwebo mimi naomba twende taratibu tu tuelimishane bila jazba wala matusi. Ninayo maswali mawili tu kwako;

  1. Ulijisikiaje siku ile serikali kupitia Waziri Mkuu na kiongozi wa shughuli za serikali bungeni dared to admit this... mafisadi wakikamatwa nchi itatikisika!
  2. Ulijisikiaje siku ile Raisi wa Tanzania, Mwenyekiti wa Chama Tawala, Kiongozi Mkuu wa serikali, Mlinzi Mkuu wa katiba na Jemadari Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama dared kuwasamehe wezi (mafisadi wa EPA) mradi tu warudishe hela walizokwiba!
 
Last edited by a moderator:
Na wewe nae usitake kujifanya james bond bana, huna lolote. Eti satelite picture. Wabongo bana
 
kuna haja ya kuanzishwa jukwaa la kutukanana ili thread kama hizi ziwe zinapelekwa huko...
Mbona akiingia Mh Livingstone Lusinde mnaingia kona na kulialia mm naomba Mods waondoe BAN kwenye huu mgomo wa Kisiasa wa maDr wametumwa hawa jamani mm jioni hii nimetokea Hospital ya Mkoa wa Doboma General Hospital kubba huduma km kawaida kuanzia. OPD hadi Grade
 

Attachments

  • Hosp%20Dom.jpg
    85.7 KB · Views: 68
Dah, yaani nimeshindwa hata kuandika nilichotaka kuandika kwa hasira ya huu ***** nikajikuta nimeishia kutukana kwa sauti kubwa !!

Serikali ya dhaifu ipinduliwe kwa migomo ya waalimu ? Na hao wabunge wenu wanaopinga usanii sasa bungeni ? Na leo wamekumbushia zile fiksi za kununua meli kama za kruzi kila ziwa, sijui kutengeneza singapore mpya ect ambazo jamaa alizitoa 2010 na sasa wabunge wamebanwa gololi na wanachi.... !!

At times I wish wanachama wa JF tungekuwa tunakutana ktk conference kama ya bunge. Walah tungeruhusu magamba mje na hao FFU wenu then tungewaonyesha kuwa bicepts na tricepts zikiandaliw hao fanta wanakwenda chini kirahisi !!

 
Kwa hili la Dr Ulimboka sisiem itazikwa ikiwa hai, kwani damu ya Ulimboka ni laana kwa hako kachama
 
Mhhhhh 50/50.....
 
Mimi kwa mara ya kwanzan nipo tayari kula ban kwa nkukuliza hivi wewe, Martha Mlata, John Komba na Livingstone Lusinde nani alikuwa anashika nafasi ya kwanza kutoka mwishoni darasani kwenu?
 
Dr Ulimboka amevuna alichopanda.

Polee

nawasikitikia watoto wake,NANI ATAWASOMESHA,WATABAKI KUWA MACHOKORAA NAO WATAZAA MACHOKORAA AJILI LA KOSA LA BABA YAO ALIYEKUBALI KUTUMIKA KISIASA.
Na wale waliomtuma kuivuruga nchi baada ya nchi kuchafuka watatimkia UJEREMAN waliko jiandalie makao na kuwaacha raia wakichinjana.
Makes me mad.
 
Dr Ulimboka amevuna alichopanda.

Polee

nawasikitikia watoto wake,NANI ATAWASOMESHA,WATABAKI KUWA MACHOKORAA NAO WATAZAA MACHOKORAA AJILI LA KOSA LA BABA YAO ALIYEKUBALI KUTUMIKA KISIASA.
Na wale waliomtuma kuivuruga nchi baada ya nchi kuchafuka watatimkia UJEREMAN waliko jiandalie makao na kuwaacha raia wakichinjana.
Makes me mad.
 

Ukipanda bangi, utavuna bangi. Tusishangae yaliyompata, alijitakia.
 
Kama katekwa na amebahatika kupona hajafa!!!!!!!! basi hakuna haja ya kuunda chombo cha uchunguzi kwani huyo aliyekuwa amemuita anamkumbuka ni kumtaja tu na akamatwe naye atataja wenzake na waliomtuma.
 
maana ipi tena unayoitaka? "liwalo na liwe"
umafioso nchi hii haukuanza leo. Killing attempt haikufanikiwa tu. Wako wapi na nani aliwaua steven kibona
gilman rutihinda, gibonns mwaikambo, generali kombe, amina chifupa, horace kolimba, zakayo chacha wangwe........................?????????????????
Haki inakanywagwa namna hii. Kauli ya mkulu < 24 hours . Dr ulimboka anafanyiwa umafia.
lengo kuu: madaktari wauvyate mkia watu wachanginyikiwe sasa wanaanza kutaka kuwashughulikia madr. Wamepotea serkali ndiye mpishi wa yote haya.
watz amkeni mnaponzwa na uelewa finyu wa mambo.wanasiasa wanawatumia vibaya kunyonya nchi hii sisi wafanyakazi hali mbaya siyo mdr. Tu . Ukifika ofisini zinaendeshwa kiubabaishaji . Hakuna stationeries wakati mwingine computer zimekolapsi tutaendeshaji nchi hii kwa ubabaishaji namna hii halafu tutegemee maendeleo? Serkali isibaki kulipa mishahara itoe nyenzo za kufanyia kazi iache ubabaishaji wakakukumbatia wabunge tu wanaochumia tumbo .
 
:sleepy:Mhmmmmm! Siku nikisimama hakuna ataekaa kwa amani nyie endeleeni ku:boink: tu bado kidogo coz imeanza
ku:croc::target:............
 
Hii imekaa a kabisa ukiingia katika akili yangu. Naona ulichoandika hapa ni zaidi ya upuuzi.
 
Mkweche, hilo ni sahihi, kwani sekta moja ikijiona yenyewe ni muhimu kuliko zingine ni tatizo, kwa sababu fikiria kuna watu wanafanya kazi masaa 24 lkn wana uzalendo, keep it up. though kuumiza ni vibaya, lkn kugoma ni mbaya zaid.
 
Mgomo ulikwaza wengi, kuna ndugu walifiwa na ndugu zao kwa ajili ya siasa za wachache hivyo perpetrators wanaweza kuwa wengi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…