Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikwebo mimi naomba twende taratibu tu tuelimishane bila jazba wala matusi. Ninayo maswali mawili tu kwako;...sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this. K.
Na wewe nae usitake kujifanya james bond bana, huna lolote. Eti satelite picture. Wabongo banaAna habari gani huyo?
Habari awe nayo Ritz; ni kitu gani kama si UBUNIFU wa tangu leo asubuhi kumtafutia Dr Ulimboka 'Mbaya Mpya Mwenye Uwezo wa Kuteka Kijeshi' ili mhusika halisi aliyefanya mambo bila kutafakari apate kubaki salama.
Too late na narudia kwamba ni TOO LATE for any cover-up in this instance. DNA info zote zilishachukuliwa saa nyiiiiingi ajabu.
Na satelite pictures and voice signals za ndani y wiki mbili hadi leo are SO DAMNING if not overwelming!!! Ehe, hebu endelea kutuletea theories nyinginezo za kule CCM Barabara ya Lumumnba hapa tukasome.
Mbona akiingia Mh Livingstone Lusinde mnaingia kona na kulialia mm naomba Mods waondoe BAN kwenye huu mgomo wa Kisiasa wa maDr wametumwa hawa jamani mm jioni hii nimetokea Hospital ya Mkoa wa Doboma General Hospital kubba huduma km kawaida kuanzia. OPD hadi Gradekuna haja ya kuanzishwa jukwaa la kutukanana ili thread kama hizi ziwe zinapelekwa huko...
Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.
Ikaja mgomo wa wafanyakazi, nao ukabuma. Ukaja mgomo wa madaktari kupitia interns...huu ulisumbua kiasi mpaka ukang'oa vigogo kule wizarani lakini ukapita. Sasa mgomo huu mwingine kwa kisingizio kile kile cha hali bora za madaktari. Cha kushangaza wanaoshabikia zaidi migomo yote hii ni wale walioanzisha maandamano.
Nashawishika kuamini jamaa yangu aliyenin'gata sikio kuwa mpango huu unalenga kutaka kuifanya nchi isitawalike, nimedokezwa kuwa waalimu nao wameshawishiwa kugoma.
Sasa kama nadharia hii ni kweli, basi masikini dr. Uli jamaa zako wenyewe ndio wamekutia jiti. Na jamii iaminishwe kama ni jeshi la polisi and so serilkali ili umma woote uanze kuichukia serikali na kuiangusha. Dr. Uli adui yuko chumbani kwako, usimtafute mchawi.
I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.
Kuna silku ukweli utadhihiri.
K.
Mhhhhh 50/50.....Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.
Ikaja mgomo wa wafanyakazi, nao ukabuma. Ukaja mgomo wa madaktari kupitia interns...huu ulisumbua kiasi mpaka ukang'oa vigogo kule wizarani lakini ukapita. Sasa mgomo huu mwingine kwa kisingizio kile kile cha hali bora za madaktari. Cha kushangaza wanaoshabikia zaidi migomo yote hii ni wale walioanzisha maandamano.
Nashawishika kuamini jamaa yangu aliyenin'gata sikio kuwa mpango huu unalenga kutaka kuifanya nchi isitawalike, nimedokezwa kuwa waalimu nao wameshawishiwa kugoma.
Sasa kama nadharia hii ni kweli, basi masikini dr. Uli jamaa zako wenyewe ndio wamekutia jiti. Na jamii iaminishwe kama ni jeshi la polisi and so serilkali ili umma woote uanze kuichukia serikali na kuiangusha. Dr. Uli adui yuko chumbani kwako, usimtafute mchawi.
I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.
Kuna silku ukweli utadhihiri.
K.
Mimi kwa mara ya kwanzan nipo tayari kula ban kwa nkukuliza hivi wewe, Martha Mlata, John Komba na Livingstone Lusinde nani alikuwa anashika nafasi ya kwanza kutoka mwishoni darasani kwenu?Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.
Ikaja mgomo wa wafanyakazi, nao ukabuma. Ukaja mgomo wa madaktari kupitia interns...huu ulisumbua kiasi mpaka ukang'oa vigogo kule wizarani lakini ukapita. Sasa mgomo huu mwingine kwa kisingizio kile kile cha hali bora za madaktari. Cha kushangaza wanaoshabikia zaidi migomo yote hii ni wale walioanzisha maandamano.
Nashawishika kuamini jamaa yangu aliyenin'gata sikio kuwa mpango huu unalenga kutaka kuifanya nchi isitawalike, nimedokezwa kuwa waalimu nao wameshawishiwa kugoma.
Sasa kama nadharia hii ni kweli, basi masikini dr. Uli jamaa zako wenyewe ndio wamekutia jiti. Na jamii iaminishwe kama ni jeshi la polisi and so serilkali ili umma woote uanze kuichukia serikali na kuiangusha. Dr. Uli adui yuko chumbani kwako, usimtafute mchawi.
I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.
Kuna silku ukweli utadhihiri.
K.
Dr Ulimboka amevuna alichopanda.
Polee
Dr Ulimboka amevuna alichopanda.
Polee
Na wewe nae usitake kujifanya james bond bana, huna lolote. Eti satelite picture. Wabongo bana
nawasikitikia watoto wake,NANI ATAWASOMESHA,WATABAKI KUWA MACHOKORAA NAO WATAZAA MACHOKORAA AJILI LA KOSA LA BABA YAO ALIYEKUBALI KUTUMIKA KISIASA.
Na wale waliomtuma kuivuruga nchi baada ya nchi kuchafuka watatimkia UJEREMAN waliko jiandalie makao na kuwaacha raia wakichinjana.
Makes me mad.
umafioso nchi hii haukuanza leo. Killing attempt haikufanikiwa tu. Wako wapi na nani aliwaua steven kibonamaana ipi tena unayoitaka? "liwalo na liwe"
Hii imekaa a kabisa ukiingia katika akili yangu. Naona ulichoandika hapa ni zaidi ya upuuzi.Kama ni kweli hii habari basi lazima nitamke wazi kwamba serikali haiwezi kufanya jambo la kipuuzi kama hilo wakati madhara ya upuuzi kama huo yapo wazi. Kwa vyovyote vile, hiyo inaweza kuwa ni ama hujuma dhidi ya serikali, au hujuma dhidi ya kiongozi wa nchi au mchezo wa kitoto uliofanywa na madaktari wenyewe, au wabaya wa Ulimboka mwenyewe.
MCHEZO WA KITOTO WA MADAKTARI:
Kikundi kidogo cha madaktari wenyewe wanaweza ku-engineer mpango wa kipuuzi kama huo ili kutafuta huruma ya wananchi. Michezo ya kitoto kama hii inafanywa sana na huwa inaaminiwa na wale wasio na uwezo wa kuchanganua mambo.
HUJUMA DHIDI YA SERIKALI:
Watu wenye maslahi tofauti dhidi ya serikali wanaweza kufanya upuuzi kama huo ili kujenga picha kwamba serikali iliyopo ni ya kidhalimu inayoweza kufanya lolote dhidi ya raia wake wanaotetea maslahi yao. Watu wanaoweza kufanya haya ni wale wenye maslahi ya kisiasa...ni Political Sabotage.
HUJUMA DHIDI YA RAIS:
Ulingo wa siasa ni ulingo uliojaa uadui baina ya mtu na mtu. Katika hilo, mtu au kikundi cha watu wanaweza kufanya upuuzi kama huo ili kumuumbua kiongozi mkuu wa nchi.
MAADUI BINAFSI WA Dr. ULIMBOKA MWENYEWE: Hawa wanaweza kutumia opportunity ya Dr. Ulimboka kuwa ndani ya mgogoro ili ionekane kwamba waliomdhuru ni watu wa serikalini.
MOJA kati ya hizo inaweza kuwa ndio sababu sahihi lakini there's no way kwamba serikali inaweza kufanya utoto kama huo. Ki
Mkweche, hilo ni sahihi, kwani sekta moja ikijiona yenyewe ni muhimu kuliko zingine ni tatizo, kwa sababu fikiria kuna watu wanafanya kazi masaa 24 lkn wana uzalendo, keep it up. though kuumiza ni vibaya, lkn kugoma ni mbaya zaid.iwe serikali au mtu binafsi ubabe ni lazima kurudisha hali ya kawaida mahospitalini!madaktari wemesomeshwa na hela za wananchi afu wanagoma kuwatibu!madaktari wote waliogoma washughulikiwe kwa kufutwa kazi mara moja, wakajibu kesi mahakamani!wao waigomee serikali na si kugoma kutibu wagonjwa!ukishakubali kusomeshwa na ukawa 'dokita'kutibu ni lazima
mkweche ningekuwa president mkweche,kiongozi wa mgomo ningemchapa viboko mwenyewe!chezea kila kitu ila si uhai wa wananchi!wagoma wakati hata deni la kuwasomesha hawajalilipa!
Mkweche nimewachoka wagomaji!hata kama dawa hakuna mahospitali ila asikosekane mtu wa kutuelekeza tukanunue dawa madukani!nala buk!