Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Haya mambo ya kutekana na kupigwa na kutelekezwa uwa yanatokea Colombia, Mexico, Cambodia, sasa yamefika mpaka Tanzania ni hatari sana tunapoelekea...Umafia umefika Tanzania.

CCM hiyo....
 
Haya mambo ya kutekana na kupigwa na kutelekezwa uwa yanatokea Colombia, Mexico, Cambodia, sasa yamefika mpaka Tanzania ni hatari sana tunapoelekea...Umafia umefika Tanzania.
Mi siamini kama ni serikali/polisi wamefanya hivyo....
 
Haya mambo ya kutekana na kupigwa na kutelekezwa uwa yanatokea Colombia, Mexico, Cambodia, sasa yamefika mpaka Tanzania ni hatari sana tunapoelekea...Umafia umefika Tanzania.

sasa we ritz una maana gani
 
Haya mambo ya kutekana na kupigwa na kutelekezwa uwa yanatokea Colombia, Mexico, Cambodia, sasa yamefika mpaka Tanzania ni hatari sana tunapoelekea...Umafia umefika Tanzania.
Ritz nakupa tano mkuu kilasiku huwa tunalumbana naishia kupata ban nyingine za mwaka
 
JK ulidhani kuwa rais ni kama kula visheti .jasho litakutoka mwaka huu
 
Haya mambo ya kutekana na kupigwa na kutelekezwa uwa yanatokea Colombia, Mexico, Cambodia, sasa yamefika mpaka Tanzania ni hatari sana tunapoelekea...Umafia umefika Tanzania.
serikali yako ya ccm unayoitetea hapa jamvini kila siku ndio inayofanya umafia huu kwa watu wema, wezi waliochota 303bil wameficha uswiss wanawaficha. shame
 
Busara itumike na Mungu azipe pande zote busara ili nyasi zisiumie

Sheria itumike. Serikali imefata sheria, kwenye mgogoro inatakiwa uende kwenye vyombo vya sheria, vyombo vya sheria vimesitisha mgomo na vimetowa amri, bado unaleta ukaidi?

Sasa ataijuwa Serikali ni nini, ingawa yeye kwa gonjwa linalomsumbuwa anaona kuwa hana cha kupoteza, lakini hii itakuwa ni fundisho kwa wengine wajuwe kutumia sheria na kuheshimu mahakama.
 
Habari kama hizi na zingine zilizokwisha kutangulia ni za kawaida sana ndani ya Serikali hii hii inayotokana na chama hichi hichi cha ccm,polisi haitakuwa na kauli nyingine zaidi ya kusema"tunawasaka watuhumiwa na uchunguzi unaendelea".

Sitarajii jipya ndani ya utawala huu wa kibabe.Ukiwaumbua kwa mabaya Yao watakufanyia hila za kila namna.Ni nani utamwambia kuwa hakuna mkono wa Serikali ktk tukio hili akakuelewa japo kidogo?
 
Sheria itumike. Serikali imefata sheria, kwenye mgogoro inatakiwa uende kwenye vyombo vya sheria, vyombo vya sheria vimesitisha mgomo na vimetowa amri, bado unaleta ukaidi? sasa ataijuwa Serikali ni nini, ingawa yeye kwa gonjwa linalomsumbuwa anaona kuwa hana cha kupoteza, lakini hii itakuwa ni fundisho kwa wengine wajuwe kutumia sheria na kuheshimu mahakama.

Kwa hiyo Madaktari watasitisha mgomo........
 
CCM hiyo....

Na sisi wananchi tulioiamini tukaipa kura, sasa tunaamini kuwa imesimama thabiti kulinda maisha yetu. Tupo pamoja na serikali yetu kuwadhibiti wanaotishia maisha yetu LIWALO NA LIWE.
 
Back
Top Bottom