Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

We ni Doctor ? unatuambia nini kuhusu watu waliokufa mapokezi kwa kukosa huduma katika mgomo uliopita? angekufa mama yako ungeelewa nnachoongea....Madaktari wengine hawana ubinadamu kabisa...mizimu ya wale watu itawafata hadi makuburini....vilaza wakubwa


hujitambui
 
Jamani mi ndo naingia jamii forum kwa mara ya kwanza na ninasikitika sana kwa hali hii ya mgomo wa madaktari. swali kubwa kichwani mnifungue macho, Dr. anayeanza kazi analipwa shs ngapi? naomba msaada wenu ili nami nichangie objectively.
 
ulimboka.JPG


Sasa uchokozi umefikia pabaya na hii sasa ni vita!!

Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na kumpeleka kusikojulikana! Inasemekana alipigiwa simu na jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la 'Abeid' ambaye tangu mwanzo amekuwa akiwasiliana naye na kujiita afisa wa serikali na kudai kuwa alitaka aonane naye face to face kwa ajili ya reconciliation.

Taarifa zimekwisha fikishwa polisi na sehemu zingine kwa ajili ya ufuatiliaji. (source chanzo cha kuaminika).

UPDATE:
Inaelekea waliomteka si watu wema kabisa, Dr. Ulimboka kaokotwa sehemu akiwa katika hali mbaya sana!


Tutaendelea kutoa updates kadiri muda unavyoruhusu.

...ni kweli jamani,shemeji yangu yupo hapa muhimbili,ulimboka ameshambuliwa vibaya
 
Kwa nini tusiamin kwamba serikali ya ccm inahusika moja kwa moja na move hii ya kutekwa kwa dr Ulimboka
Njia hii ya kutatua migogoro ni ya kifedhuli na haikubaliki sasa nawashauri madaktari kama dr Ulimboka atakufa wao wasiendelee na mgomo bali waache kazi kabisa kwa hata wao hawatakuwa katika mikono salama kwani washajenga uadui na serikali
 
Zanta hili swala liache kama lilivyo.....nimeshwambia ndugu yangu we soma na kufatilia mjadala usijifanye unajua kila kitu....
Sasa kama tuache kama lilivyo kwa nini wewe unalazimisha hoja? kila mtu ana haki ya kuliangalia hili jambo kwa jinsi anayoona ila wewe unataka kulazimisha tuamini kua polisi wanahusika.! kama huna ushahidi na wewe kaa kimya angalia tu wengine wakichangia
 
Kwa mtindo huu nadhani ni wasaa wa kujiandaa kisaikolojia,kimwili na kwa sala maana lolote linaweza kutokea katika nchi hii.inasikitisha kuona matendo haya against mtetea haki na mpigania haki.
Mungu haja lala
 
ss dr ulimboka atatibiwa vp wkt wapo ktk mgomo?au wao kwa wao haina shida. . . .

atatibiwa vizuri sana,tena ikiwezekana madaktari wote wakafanyie mgomo MOI,dr uli anahitajika akiwa hai aseme kilichotokea
 
Ndio hali halisi. Niko hapa Muhimbili na madaktari, mageti yote ya Muhimbili yamefungwa na Wamesema LIWALO NA LIWE hakuna huduma yoyote inayotolewa, hakuna wagonjwa wala wahudumu wanaowahudumia wagonjwa KAULI YA PINDA na kitendo walichomfanyia OLIMBOKA vinaliangamiza taifa kutokana na UDHAIFU wa serikali ya Kipuuziii.madaktari wa hospitali zingine wengi wako hapa ili kujua hali ya dr ulimboka inaendeleaje..
Mkuu mbona unakuja mjini bila kupiga hodi?
 
Wakati suala hili linahusu maisha ya watu wapumbavu wengine waroho madaraka wanawaza jinsi watakavyo yapata. Mpo tayari kutumia maiti kufika ikulu, ila kumbukeni hakuna aliyepata madaraka kwa damu ya watu aliyeondoka salama.

CCM inalinda madaraka yake kwa kumwaga damu ya Dr. Ulimoka halafu wewe unakurupuka kufikiri kinyumenyume! Unatakiwa usome thread kwanza kabla ya kuchangia, usilete tabia za magamba! Hu uwanja wa GREAT THINKERS!
 
Serikali ya pinda toeni pesa kwa madaktari wanusuru maisha ya watz.Vasco da gama hana habari na mgomo huu na wala huwa hamshtui coz yeye n kula bata tu safarini.Rais gan huyu?.Eti serikal sikivu!! Kwa lipi?.
 
Haya mambo ya kutekana na kupigwa na kutelekezwa uwa yanatokea Colombia, Mexico, Cambodia, sasa yamefika mpaka Tanzania ni hatari sana tunapoelekea...Umafia umefika Tanzania.

Sasa Tafakari kwa makini na uchukue hatua.
 
Jamani tusihamasishe chuki na uvunjifu wa amani bali:
  1. upole
  2. upendo
  3. kusameana
  4. kuvumiliana

ni muhimu kutoa solution ya amani kuliko uvunjifu wa amani

tuache kuchukiana. Tupendane jamani tunaenda wapi?

Acheni maneno ya uchochezi, watakao umia ni wengi zaidi
 
Hapo tulipofika ni penalty shoot fanya mchezo na gvt
 
Kama ni kweli hii habari basi lazima nitamke wazi kwamba serikali haiwezi kufanya jambo la kipuuzi kama hilo wakati madhara ya upuuzi kama huo yapo wazi. Kwa vyovyote vile, hiyo inaweza kuwa ni ama hujuma dhidi ya serikali, au hujuma dhidi ya kiongozi wa nchi au mchezo wa kitoto uliofanywa na madaktari wenyewe, au wabaya wa Ulimboka mwenyewe.

MCHEZO WA KITOTO WA MADAKTARI:
Kikundi kidogo cha madaktari wenyewe wanaweza ku-engineer mpango wa kipuuzi kama huo ili kutafuta huruma ya wananchi.
Michezo ya kitoto kama hii inafanywa sana na huwa inaaminiwa na wale wasio na uwezo wa kuchanganua mambo...
Ndio hapo nawashangaa watu wanleta hisia kwenye ishu sensitive namana hii
 
Back
Top Bottom