Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Sasa kama tuache kama lilivyo kwa nini wewe unalazimisha hoja? kila mtu ana haki ya kuliangalia hili jambo kwa jinsi anayoona ila wewe unataka kulazimisha tuamini kua polisi wanahusika.! kama huna ushahidi na wewe kaa kimya angalia tu wengine wakichangia


toka mwanzo nimekwambia...na mwanzo ulikuja hapa na uongo wako wa kuseme kuwa umemwona ulimboka viunga vya muhimbili asubuhi akiwa buheri wa afya...baaya kuujua ukweli sasa hivi unadandia hoja...pole sana
 
Ndio hali halisi. Niko hapa Muhimbili na madaktari, mageti yote ya Muhimbili yamefungwa na Wamesema LIWALO NA LIWE hakuna huduma yoyote inayotolewa, hakuna wagonjwa wala wahudumu wanaowahudumia wagonjwa KAULI YA PINDA na kitendo walichomfanyia OLIMBOKA vinaliangamiza taifa kutokana na UDHAIFU wa serikali ya Kipuuziii.

Mda mfupi uliopita jamaaa mmoja ambaye ni usalama wa taifa kapigwa alipokuwa anaripoti kwa walio mtuma kuangalia madaktari wamepokeaje hari ya Olimboka

Hii haitashangaza sana kwa tukirejea kauli ya JK alipokuwa anaongea na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kuhusu mgomo ulokuwa umeitishwa na Mgaya kuwa litakalomtokea ....... Na pia leo pinda kasema Bungeni liwalo na liwe. Inaelekea serikali inataka kujilipua.
 
wakafunge na zile hospital zao za private. Na kule part time wasiende.

Pamoja na kwamba mnadai haki zenu jaribuni kuwafikiria na wengine hasa walalahoi ambao hawajui hata wafanye nini, waende wapi au wale nini leo! Mnadai haki kwa kupoteza roho zisizo na hatia???!!! Msiifanye migumu mioyo yenu, mwangalieni mungu anayetoa uhai, jua na mvua bure kwa wote.

maneno ya busara sana mkuu!
 
Ari zaidi nguvu zaidi na kasi zaid kwa kuwatelekeza na kuwaua watanzania.Kwel ccm imechoka!
 
Jamani mi ndo naingia jamii forum kwa mara ya kwanza na ninasikitika sana kwa hali hii ya mgomo wa madaktari. swali kubwa kichwani mnifungue macho, Dr. anayeanza kazi analipwa shs ngapi? naomba msaada wenu ili nami nichangie objectively.

dAH, KARIBU JF MKUU! ANAANZA NA KIASI CHA SH. 700,000 - 900,000/=
 
sasa wamemteka wanampeleka wapi ?hii nchi amani mbona tuna tesana kwa mtu kudai haki yake.
 
wewe mtoa maada,yule sio kiongozi wa mgomo.yule ni kiongozi wz umoja wao.
madaktari ndio waloamua kugoma hakuna mtu aliyewaongoza wagome.
 
Mimi ni mtanzania na sipo upande wa muuaji huyu, na ningefurahi kama angefia hapo MOI kwa kukosa huduma labda watoto wake watajua ubaya vifo baba yao alivyo sababisha.
Wew mtanzania wa wap? Labda unanufaika na mafisadi lakini kwa serikali dhaifu ya ccm inahitaji upunguani kuongea unachokisema hapo juu! All in all udhaifu wa hawa manyang'au unadhiilika siku hadi siku...
 
toka mwanzo nimekwambia...na mwanzo ulikuja hapa na uongo wako wa kuseme kuwa umemwona ulimboka viunga vya muhimbili asubuhi akiwa buheri wa afya...baaya kuujua ukweli sasa hivi unadandia hoja...pole sana
Shida yako Edson unalazimisha jambo nimekwambia onyesha post niliosema mimi nimemuona Ulimboka muhimbili umeshindwa kuleta sasa naona bado unalazimisha hoja
 
pale jamaa alipoanza kupanga safu ya uongozi wa UWT bila merits bali kupitia dini ndipo hapo "utendaji maslahi" ulipoanza kwa sasa yule mkubwa wa UWT anarudisha fadhila! Msiwe na wasiwasi mmoja baada ya mwingine katika hao viongozi wa mgomo watapotea! we call it Red terror
 
NasDaz Na sababu nyingine ni serikali kufanya hivyo ili kuwatisha madaktari wengine wasiendelee na mgomo,
Pia kufanya hivyo ili kumkomoa Dr Ulimboka mwenyewe ambaye ameonekana kuwasumbua serikali.
Unajua kuwa kila Hospitali yule DR aliyeonekana kiongozi alionywa kivyake na serikali?!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Binafsi sikutegemea jambo kama hili lifanyike kwa wakati kama huu! Siamini kama hayo ni maagizo ya serikali ya ccm inayoongozwa na Kikwete! Sasa huku ndo kutatua mgogoro na madaktari?

mimi ninakushangaa wewe kuishangaa serikali ya CCM kufanya wakati wamekuwa wakifanya haya for years.

kumbuka mauaji ya kombe kule moshi.

kumbuka kumwagiwa tindikali kwa waandishi wa magazeti akiwemo kubenea

kumbuka kitendo cha m-kiti wa CCJ kunyanganywa documents na watu wasiojulikana asubuhi na mapema.

kumbuka vinasa sauti aliyowekewa slaa kitandani kwake

matukio yote haya yamechunguzwa for years bila wausika kupatikana na hata wale waliopatikana serikali ilikuja

kuwaachia baadaye.

usalama wa taifa unatumika siyo kwa ajili ya kusimamia sheria za nchi bali ni kulinda maslahi ya viongozi wa serikali.

tumshukuru Mungu hata kwa kukutwa akiwa hai wangeweza kumaliza kabisa au labda kwa mawazo walidhani

walishammaliza lakini Mungu amemuokoa.
 
mh mi napita jama yasije yakawa yaleee ya waziri na mke wa mtu WIZI MTUPU.ptuuuu ah

Inahitaji kufikiri mara mbili ili kuweza kuamini kinachoandikwa humu, hasa kuhusu masuala very striking. Tukumbuke suala la Gen Shimbo, Mh Simbachamwene, OK ngoja tusubiri updates!!!
 
kama hii ishu ni kweli basi tungoje itakavokuwa...!!
unajua madaktari wote yani kuazia specialists,registrars,residents,AMO etc mngetoa tamko la pamoja hapo kweli.....ila kama wengine wenu wanaendelea na kazi basi wengine watatolewa kafara na wengine watapona

kwanini hamna ushirikiano basi kati yenu?
Tatizo kwenye hii fani ya medical kuna matabaka sana kuna watu wanajiona wao ndio wao angalia Bingwa anamzalau MD,MD anamzalau AMO,AMO ana mzarau CO tizama mgomo hapa unamuacha CO ambae ndio jembe mikoani,wilayani mpaka vijijini ndio maana mgomo haufanikiwi wakuu.
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Wanaruhusu akili ndogo itawale akili kubwa ...ninamashaka na kiwango cha uelewa wa master plan wao ...nikweli tunajua ni wao lakini sio wasinge paswa kutekeleza kishamba hivi...sasa jino kwa jino kama vp tuanze kukandamizana za sumu tu kudadadeek.
 
Wenye silaha ni maaskari na usalama, Dr Ulimboka hana biashara yoyote anayofanya imfanye atekwe, hana pesa hana kitu ni maskini tuu, sasa swali kuu ni nani aliyemteka? Ni government agent na ni specific na issue ya madokta full stop.

Aand then what next.....the doktas are still ndani ya mgomo baridi

kauli ya pinda ichunguzwe liwalao na liwe
 
Back
Top Bottom