Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Bora mazungumzo (software approach) kuliko kutunishiana misuli. Life is a one time special gift from God. Once lost it can not be replenished. Save it!
 
Wew mtanzania wa wap? Labda unanufaika na mafisadi lakini kwa serikali dhaifu ya ccm inahitaji upunguani kuongea unachokisema hapo juu! All in all udhaifu wa hawa manyang'au unadhiilika siku hadi siku...

Na uhakika watoto na mama zenu wanatibiwa kwenye hospitali binafsi na hao hao mnaowashabikia waache kuwatiku masikini.
 
Na sababu nyingine ni serikali kufanya hivyo ili kuwatisha madaktari wengine wasiendelee na mgomo,
Pia kufanya hivyo ili kumkomoa Dr Ulimboka mwenyewe ambaye ameonekana kuwasumbua serikali.
Unajua kuwa kila Hospitali yule DR aliyeonekana kiongozi alionywa kivyake na serikali?!!!!!!!!!!!!


Rejea hotuba ya kikwete alipokuwa anaongea na wazee wa Dar kuhusu mgomo ulokuwa umeitishwa na TUCTA. Alisema nini kuhusu Mgaya?
 
ccm na govt yake wauaji,wameua wana cdm,waethiopia huko kongwa,watalii serengeti na dr ulimboka wanataka kumuua
 
Mimi ni mtanzania na sipo upande wa muuaji huyu, na ningefurahi kama angefia hapo MOI kwa kukosa huduma labda watoto wake watajua ubaya vifo baba yao alivyo sababisha.

Muuaji,amemuua nani?...kaiambie serikali yako inayowatesa wananchi!alaaa!
 
Mhh! Kuna watu hawana woga. Wanafikiria wao wamejificha mbinguni
 
Sasa ma Dr. Mgome kiukweli kabisaaa manake huu ni ujinga sasa na hawa ni magamba tu ila kwa jina la Mungu Ulimboka atapona na tutajua ukweli wote.
 
kuna askari maepokea kipigo cha mbwa mwizi baada ya kuonekana anaripoti kwa wakubwa zake kinachoendelea muhimbili..
 
inawezekana walitaka kumjeruhi ili akimbizwe muhimbili akose huduma maana wenzie wamegoma aonje joto ya jiwe ajue wasio na hatia wanavoteseka ndo na yeye awaambie wenzake waache mgomo
 
Kama huna mgonjwa pale muhimbili unaweza kuunga mkono mgomo wa madaktari

Mkuki kwa nguruwe... kwa binadamu mchungu...!

Nampa pole Dr.Ulimboka na Mungu amsaidie apone haraka ila aachane na mgomo atumie njia nyingine hata maandamano ni sawa ila ukigoma kutibu ndugu zetu ujue hatuna pa kukimbilia ila tutakusemelea kwa Baba wa mbinguni na cha moto utakiona...!
 
Ni bora nae aachwe kama wanavyotelekezwa ndg zetu wanafia kwenye mabenchi
 
Huyo hajatekwa bali kakamatwa kwa mahojiano zaidi. Hata hivyo, reconciliation ndio aende pekee yake ? Naye alikosea kama kweli alienda pekee yake; maana hata watu wenye nia mbaya na Serikali wanaweza kuchukua hatua kama hiyo ili kuleta taharuki zaidi !!!!

enhee! Maneno yako yanaingia akilini, sidhani kama serikali wanaweza kufanya kosa la kipuuzi kama hilo.
 
Katika hali kama hii, halafu unakuta kuna lijitu linasimama na kuisifia CCM bila hata aibu. Hii nchi ina wajingaa wengi sana

Hao hao walijazwa hapo ndio mashabiki Wakuu kwa kuvaa kanga, kofia na fulani!!! Ni vizuri ukanyimwa chakula, lakini uakapewa akili ya kutafakari mambo.
 
Hii habari inatia kinyaa! There is a way to get the pay back for people who silence others the way the do...I just want to know one thing...How did it happen?
 
Kama ni kweli hii habari basi lazima nitamke wazi kwamba serikali haiwezi kufanya jambo la kipuuzi kama hilo wakati madhara ya upuuzi kama huo yapo wazi. Kwa vyovyote vile, hiyo inaweza kuwa ni ama hujuma dhidi ya serikali, au hujuma dhidi ya kiongozi wa nchi au mchezo wa kitoto uliofanywa na madaktari wenyewe, au wabaya wa Ulimboka mwenyewe...

MAADUI BINAFSI WA Dr. ULIMBOKA MWENYEWE: Hawa wanaweza kutumia opportunity ya Dr. Ulimboka kuwa ndani ya mgogoro ili ionekane kwamba waliomdhuru ni watu wa serikalini.

MOJA kati ya hizo inaweza kuwa ndio sababu sahihi lakini there's no way kwamba serikali inaweza kufanya utoto kama huo. Ki

Ni Uchambuzi mzuri lakini naomba nipingane na wewe kwenye umalizio wako au niseme ungeongeza point ya Serikali yenyewe kuhusika moja kwa moja kuyafanya hayo.

Huwezi kuitoa serikali kwa kigezo eti ni utoto kufanya hivyo. Tumeshuhudia serikali ikifanya mambo mengi sana ya kitoto kabisa au mengine hata mtoto hawezi kuyafanya, sihitaji kuyasema kwani yanafahamika sana.

Kwa hiyo hatuwezi kuitoa kuhusika, ni moja kati ya makundi ya watuhumiwa uliowataja katika kisa hiki
 
Sina hakika na ukweli wa habari hii!
Kwa uhusiano alionao na serikali hii, saa sita ya usiku anaenda kufanya 'reconciliation' na 'mtu' wa serikali? Tena peke yake bila viongozi wenzie? Atakuwa wa ajabu basi!
Atakuwa Dhaifu na mpumbavu kukubali wito huo kwa wakati huo, tena akiwa peke yake..au alidanganywa kuwa atapewa Kitu kidogo ili awashawishi madaktari walioajiriwa na serikali walegeze kamba!!! maana yeye si mwajiriwa wa serikali so he has nothing to loose. Lets wait as the drama is about to unveil
 
Back
Top Bottom