Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
me nilijua watagoma kumtibu na mshkaji.....GET WELL SOON tuendeleze mapambano
Kama huna mgonjwa pale muhimbili unaweza kuunga mkono mgomo wa madaktari
Mkuki kwa nguruwe... kwa binadamu mchungu...!
Nampa pole Dr.Ulimboka na Mungu amsaidie apone haraka ila aachane na mgomo atumie njia nyingine hata maandamano ni sawa ila ukigoma kutibu ndugu zetu ujue hatuna pa kukimbilia ila tutakusemelea kwa Baba wa mbinguni na cha moto utakiona...!
Na sababu nyingine ni serikali kufanya hivyo ili kuwatisha madaktari wengine wasiendelee na mgomo,
Pia kufanya hivyo ili kumkomoa Dr Ulimboka mwenyewe ambaye ameonekana kuwasumbua serikali.
Unajua kuwa kila Hospitali yule DR aliyeonekana kiongozi alionywa kivyake na serikali?!!!!!!!!!!!!
Dr Ulimboka atawataja wahusika tumwoombee aponeMkuu kama wanajulikana wabandike humu Jamvini tuwafahamu.
umeulalia wewe.Kama huna mgonjwa pale muhimbili unaweza kuunga mkono mgomo wa madaktari
Mkuki kwa nguruwe... kwa binadamu mchungu...!
Nampa pole Dr.Ulimboka na Mungu amsaidie apone haraka ila aachane na mgomo atumie njia nyingine hata maandamano ni sawa ila ukigoma kutibu ndugu zetu ujue hatuna pa kukimbilia ila tutakusemelea kwa Baba wa mbinguni na cha moto utakiona...!
Nauliza hivyo kwa sababu nasikia analipwa 2m je ni kweli?
Rejea hotuba ya kikwete alipokuwa anaongea na wazee wa Dar kuhusu mgomo ulokuwa umeitishwa na TUCTA. Alisema nini kuhusu Mgaya?
Kama ni kweli hii habari basi lazima nitamke wazi kwamba serikali haiwezi kufanya jambo la kipuuzi kama hilo wakati madhara ya upuuzi kama huo yapo wazi. Kwa vyovyote vile, hiyo inaweza kuwa ni ama hujuma dhidi ya serikali, au hujuma dhidi ya kiongozi wa nchi au mchezo wa kitoto uliofanywa na madaktari wenyewe, au wabaya wa Ulimboka mwenyewe.
MCHEZO WA KITOTO WA MADAKTARI:
Kikundi kidogo cha madaktari wenyewe wanaweza ku-engineer mpango wa kipuuzi kama huo ili kutafuta huruma ya wananchi. Michezo ya kitoto kama hii inafanywa sana na huwa inaaminiwa na wale wasio na uwezo wa kuchanganua mambo...
Unjustifiable.
Huwezi kudai haki yako kwa kunyang'anya haki ya mtu mwingine kuishi.