Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watanzania tumelelewa kwenye misingi ya uonga,hii imesababishwa na umasikini tulionao,na ndiyo maana watawala wetu wanahakikisha tunabaki masikini ilitushindwe kufanya maamuzi.ukilinganisha hali ya 2005 mpaka sasa,utaona watu wameanza kuhoji mambo,lakuini sasa,katika mabili0ni ya watanzania,watu wa kuhoji niwachache sana,lakini watanza watake wasitake lazima wafanye maamuzi maana mabo ni mabaya kwa kila mtu.hiyo siku inakuja.just wait u wil witness the day.Kwa nini hiyo siku isiwe leo au kesho? Au watanzania tunasubiri waje wazungu kutusaidia kuondoa viongozi dhaifu serikalini. Inauma sana kuona Tanzania ikibakizwa mifupa tu wakati huo nyama yote inamalizwa. Sijui wajukuu zetu watakuja wapate hata hiyo mifupa kweli.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
kwa hiyo serikali nao hawaziamini mahakama zetu!? si tulisikia wamefungua kesi sasa wanawateka wanini?
Mbona na wewe unatutisha .... sisi tukiumwa tutakuja muhimbili...mkigoma kutuhudumia tunateka mwengine ....tuna msulubisha...halafu tunaenda kutupa Mabwepande.....Hali itaendelea hivi mpaka muishe wote...kisha tunahamia katika tiba za jadi
Mkuu si kweli MaDr ni waoga ila wanataka kujipatia FIDIA ya bure toka kwa Pinda hapo kesho atakapojaribu kuwafukuza!Ina maana wewe ungekuwa ni miongoni mwa wafanya maamuzi ungefanya maamuzi ya kijinga kama hayo?!
Kuwatisha madaktari mbona jambo dogo sana mkuu wangu!! Hivi unataka kuniambia hufahamu ni kwanini madaktari walikuwa wanaenda kusaini lakini hawafanyi kazi?!
Ina maana hapo inahitaji mtu awe na digrii kufahamu kwamba pamoja na kugoma kwao lakini wanaogopa kupoteza ajira na ndio maana walikuwa wanasaini ili waonekane wamekuja kazini?!
Kuwaatisha ni rahisi tu.....ukiwatimua wale, baada ya mda wote wangerudi kufanya kazi na wala hawakuwa na sababu ya kumteka Ulimboka na kujenga picha ya kijinga kama hiyo!



Ni heri muanze sasa kwenda katika hizo Tiba za Jadi; nyie mnaua madakitari kisgha mnataka Dakitari aje akutibie uliona wapi uendawazimu kama huo.
Si utachomwa sindano yenye HIV ++, na watu kama nyie mnaochonga wakati watu wanatetea haki mnasitahili kuwekewa damu yenye HIV ++.
Hamuna faida duniani.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Kweli inasikitisha hiki kitendo walichomfanyia.
Kwa kusema kutotumia majina ndio mtu huwezi julikana hiyo sio kweli, admin wa JF au niseme forum yoyote wana access ya juu kwa mtu anaye jiregister katika forums.
wanaweza mengi, kujua IP address uliyojiungia, wapi unalog in toka, kulink username yako na e-mail (wengi hutumia majina), ni kuwa ukijiunga u basi umewapa ruhusu ya kukujua weye. wengi ukigoogle e-mail zao utakuta majina etc, au hata kwenye facebook kama wapo public utapata kuona profile zao etc. hii kitu inatumika na wengi hata kwenye maofisi kumjua mtu etc
hata mtu uwe Musoma utume ujumbe unajifanya upo Mbeya wakitaka angalia wanajua ukweli.
Cha umuhimu ni kuamini kuwa hawa admin na owners wa forum hawata angukia kupokea pesa za kuongwa ili kutoa data za watu. wanaweza block ip address ya mtu, kwa hiyo mtu inajulikana ni hadi wapi wanaweza fika.
Ndio maana ni muhimu sana owners wa forums kutoa access kwenye sensitive data kwa watu wanaowaamini, humu kuna mods I guess sidhani kama wanawajua wote kiundani as na ma spy wanaweza kuwa wamo. kitu cha michango ya pesa nyingi isifanye wakadhani kuwa hao ndio watakatifu.
mtu anaweza kutumia pesa kupata anachotaka hata kama itawachukua miezi, miaka bali wajilinde na mambo or maisha yao.
ukitaka leta nyaraka na unajua utakuwa huru bila kufatwa au kuwa na wasi basi ni...
kutumia connection ya internet isilink na home kwako, kazini au unapokuwepo mara nyingi, zile za kununua kwa mwezi, fungua e-mail account tofauti, ingia kwenye forum ujisajili thne rusha mambo.
tabu humu wengi wana fikira ndogo wakiona mtu kajiunga siku hiyo au siku chache zimepita wanadhani mambo yanayoletwa ni mchezo hawajui ujanja wa kutumia mitandao.
haya I hope wenye mambo watarusha wakitaka kusaidia nchi yetu.
wazo lako kama lakwangu, nahisi kama idd amin amerudi tanzania kwani mauaji yanayohusiana na siasa yanaongezeka huku sirikali ikichukua hatua za taratibu na ambazo moja kwa moja zinaonyesha kuwa inahusika na mauji haya. Watu wote ambao wamekuwa msitari wa mbele kupinga namna serikali ya ccm inavyoendeshwa moja kwa moja au kuipinga ccm wamekuwa hatarini.
Bado zamu yako kwenda kutupwa MabwepandeNi heri muanze sasa kwenda katika hizo Tiba za Jadi; nyie mnaua madakitari kisgha mnataka Dakitari aje akutibie uliona wapi uendawazimu kama huo.
Si utachomwa sindano yenye HIV ++, na watu kama nyie mnaochonga wakati watu wanatetea haki mnasitahili kuwekewa damu yenye HIV ++.
Hamuna faida duniani.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Wewe unajiita Wewe BABA? Siwezi kukujibu kwa lugha ya Jazba wala hasira; assignment gani hiyo?
Mimi nimeuliza hapa; Polisi ikipata mtu kajeruhiwa au kufariki wanatakiwa wachukue hatua gani? Wanatakiwa Kupiga SIMU LHRC?
Let us be realistic.
Na pia kama huna mchango, tafadhali usiweke matapishi Jukwaani.
Assignment inafanywa JF?
You need mental treatment
Wapendwa:
Mbona yaelekea tayari Tunaitia Serekali Hatiani kwa Maafa yaliyompata huyu DAKTARI??Inawezekana pia Madaktari wakapanga huo Mchezo kutafuta Huruma za Wananchi. Hao ni wasomi na kwa bahati mbaya wamekata Tamaa ya maisha. (Aibu Madaktari wetu wako Desperate wanaweza kufanya chochote/kwa maslahi yao)
Kuwa daktari inabidi uwe kipanga vilevile .................. siyo swala la number vyuo!!! Usha on mtandaoni wanatoa degree za medicine kama BBA, MBA n.k. I am not a medical doctor but why is going on here is seriously disturbing!!
Naona kuna watu wanahusisha utekaji na utesaji aliofanyiwa DR Ulimboka na chama cha Mapinduzi, nashindwa kuelewa kinahusika vipi.hili ni swala la kisiasa kweli?