Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

hamna mgomo wenye shinikizo la watu wa kisiasa, mlisema sn kipindi kile cha migomo ya vyuoni kuwa watto wanashinikizwa mwishowe mkaumbuka kuwa management ni mbovu, ss mmehamia kwa madr, tafuteni suluhisho la matatizo kwa wafanyakazi na wanafunzi elimu ya juu.
 
[kuna tetesi zimeenea kwamba blandina nyoni amehusika na tukio hilo akiwa na dhamira yakulipiza kisasi kwa kuwa mgomo wa madaktari wa awamu ya kwanza ulisababisha kutimuliwa pale wizarani hivyo ameamua kutumia nafasi hii ili kumaliza machungu yake.
my take.
je wanajamvi hii inaweza kuwa na ukweli.]

MIMI SIJA HUSIKA NA UTEKAJI WOWO, NAWAOMBEN MNIACHE NILE KI INUA MGONGO CHANU PLEASE LEAVE ME ALONE. MMENISEMA MPAKA NIKATOLEWA OFICIN BADO TU HAMJARIDHIKA MNATAKE KUNIGOMBANISHA NA WATANZANIA, BY THE WAY KWA SASA NIMEPATA NIMEAMZISHA NGO YANGU INAHUSIANA MA UTOAJI WA ELIMU JINSI YA KUFANYA RE-ALLOCATION YA FUNDS ZA SERIKALI PLEASE KW YEYOTE ANAYE TAKA FORM ZINAPATIKAN PALE UBUNGO PLAZA KWA MLINZ, NI MUHIM KWA WAFANYAKAZ WA SERIKALI
 
Tunaomba hatua za kiutafiti zaidi zifanyeke haraka sana ili kunusuru maisha ya watu mbalimbali walio hatarini kwa kashifa.
 
Hakuna jipya zaidi ya kujikomba kwa hao wadhaifu wa magogoni.
NB: Use**e tu!
 
Hata mzazi wako akimkosoa yule mwingine mwenye ndevu kwa jambo la msingi bado tu utaita ni uhaini kwa sababu tu haruhusiwi kudai haki.

Nukta ya kuzingatia,

Taarifa tulizozipata nikuwa eti Dr. Alipigiwa simu na jamaa aliyejitambulisha kama anafanya kazi ikulu wakutane na wazungumze kuhusu issue ya mgomo wa madaktari. Sehemu yenyewe ikawa ni Leaders tena saa tano za usiku, akiwa peke yake bila hata Katibu Mkuu au kiongozi mwingine ila mshkaji wake Dr Deo!.

Jamani tuweke pose kidogo hapa, Dr issue nzito za mgomo mnakwenda kujadiliana kwenye kilabu tena peke yako usiku woote huo. Jamani I get confused hapa.

K
 
Mods kale kaombi kangu ka kuruhusu lugha chafu kwa dk 5 vipi bado mnakatafakari?

Ukweli unawauma mipango na hila zenu nyie wanaizaya kamwe havitafanikiwa kwakuwa hii serikali iliwekwa na Mungu kamwe sheitwan hawezi shindana na nguvu za Mungu mtaendelea tu kuhamasisha lakini hamtafanikiwa mmeshindwa vibaya hadi sasa migomo na maandamano mnayoyafadhili na wanasiasa mliowanunua kufanikisha hilo Mungu anawaona na hakika atawaadhibu kwa kupingana na alichokipanga Tanzania iko chini ya Mungu tangu enzi na enzi mshindwe na Baraka za Mungu zizidi kuiangukia nchi yetu iendelee kuwa na amani milele na milele.aamin
 
Dr Ulimboka amevuna alichopanda.

Polee

Alipanda nini? Na Amevuna nini? Unataka kusema kudai hali bora za afya ili mimi na wewe tukienda Mahospitalini tupate matibabu bora ni kosa? Binasfi nakushauri jaribu kuangalia mambo kwa upanda na undani ili uelewe nini cha kuchangia. Mimi napenda kuamini kuwa; kwenye hili jambo umekurupuka sana. Naomba uende kwenye nyumba yako ya ibada ukaitubu hii dhambi. Nami nitakusaidia kukuombea ili dhambi hii ifutwe kwenye kitabu cha MAKOSA na iandikwe kwenye kile kitabu cha UZIMA. Maana hii dhambi itakuandamana wewe na UZAO wako wote hadi kizazi chako cha kumi.
 
GO AND TELL THAT TO THE BIRDS HUO UBUNIFU JUU YA MKASA ULIOMKUMBA DR ULIMBOKA NA MIPANGO MINGINE MINGI AMBAZO TAYARI IKO KWENYE MKONDO WA UTEKELEZAJI

Mbona mhangaika sana tangu asubuhi kujibu maswali ambayo WaTanzania wala hatujawaulizeni.

Kwa nini mko bize kiasi hiki kumibulia Dr Ulimboka 'MAADUI' kila kona wakati mambo yote yako hadharani hivi au ungependa tumwage
SATELITE PICTURES na VOICE SIGNALS nyeti humu ndio ujue ya kwamba MAGOGONI hadi sasa ni kama wako uchi vile juu ya hili???

Sasa kwa taarifa yako watekaji ukiwaone wewe pengine utadhani unaona movie tu wewe hapo; duniani hakuna siri tena na aliyewatuma naye analifahamu hilo fika. Ngoja kidogo!!

Kama huna facts busara ni kukaa kimya wala hutoonekana mjinga kamwe hapa JF.

kuna tetesi zimeenea kwamba blandina nyoni amehusika na tukio hilo akiwa na dhamira yakulipiza kisasi kwa kuwa mgomo wa madaktari wa awamu ya kwanza ulisababisha kutimuliwa pale wizarani hivyo ameamua kutumia nafasi hii ili kumaliza machungu yake.
my take.
je wanajamvi hii inaweza kuwa na ukweli.
 
Sakata limetokea kati ya ndugu na waandishi wa habari waliotakiwa na dk ulimboka kufanya nao mkutano,kukataliwa kuingia kuingia chumba cha ICU wakihofia usalama wake..
licha ya madaktari kuwakubalia wanahabari kuingia lakini ndugu,akiwemo dadake walikataa katakata.Ndipo walipohamua wao kuchukua rekoda na kamera za wanahabari na kwenda kumpiga picha pamoja na kumrekodi..
source:mjengwa blog.
 
Jamani me naomba kuuliza huyu ulimboka amepigwa tu au kuna mengine pia amefanyiwa ? Maana watoto wa mjini hawakawii kumuangushia kichapo na KUMTAFUNA VILE VILE ! NIPE HABARI MLIO KARIBU YAKE ?



Mkuu tumuombee jamaa apone kwanza!
 
GO AND TELL THAT TO THE BIRDS HUO UBUNIFU JUU YA MKASA ULIOMKUMBA DR ULIMBOKA NA MIPANGO MINGINE MINGI AMBAZO TAYARI IKO KWENYE MKONDO WA UTEKELEZAJI

Mbona mhangaika sana tangu asubuhi kujibu maswali ambayo WaTanzania wala hatujawaulizeni.

Kwa nini mko bize kiasi hiki kumibulia Dr Ulimboka 'MAADUI' kila kona wakati mambo yote yako hadharani hivi au ungependa tumwage
SATELITE PICTURES na VOICE SIGNALS nyeti humu ndio ujue ya kwamba MAGOGONI hadi sasa ni kama wako uchi vile juu ya hili???

Sasa kwa taarifa yako watekaji ukiwaone wewe pengine utadhani unaona movie tu wewe hapo; duniani hakuna siri tena na aliyewatuma naye analifahamu hilo fika. Ngoja kidogo!!

Kama huna facts busara ni kukaa kimya wala hutoonekana mjinga kamwe hapa JF.

kuna tetesi zimeenea kwamba blandina nyoni amehusika na tukio hilo akiwa na dhamira yakulipiza kisasi kwa kuwa mgomo wa madaktari wa awamu ya kwanza ulisababisha kutimuliwa pale wizarani hivyo ameamua kutumia nafasi hii ili kumaliza machungu yake.
my take.
je wanajamvi hii inaweza kuwa na ukweli.
 
aibu yao hii! hata watumie nguvu kiasi gani halitafichika hili
 
Kuna habari nimezisikia kuhusu Dr Ulimboka kwenye sakata lake zinasikitisha.
 
Kuna habari nimezisikia kuhusu Dr Ulimboka kwenye sakata lake zinasikitisha.

mkuu Ritz ni habri gani hizo zimwage ili tu share ideas. hapa ndo jf the home of great thinkers.
 
Lolote linawezekana, although siipendi serikali ya mtembezi but nimetafakari sana kisomi some references nikapata jibu la inawezekana jamaa yuko sawa maana hata rwanda wahutu walipanga kuwaua watutsi mda mrefu wakakosa pa kuanzia na walichofanya wakamlipua raisi ambaye ni mhutu mwenzao mr habyarimana na baada ya hapo mauaji ya watutsi yakaanza kesho yake kwa kusingizia wamemuua raisi wao mhutu mwenzao kumbe walimuua wenyewe kutafuta sababu ya kuua watutsi na walifanikiwa kuhadaaa watu wengi. Sasa hata la dr ulimboka inawezekana akapigwa hata na wenzake ili kuamsha sekeseke na kulipa nguvu as dunia ya leo people are so clever ili uwachanganye lazima ufanye kitu kijanja
 
Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.
Ikaja mgomo wa wafanyakazi, nao ukabuma. Ukaja mgomo wa madaktari kupitia interns...huu ulisumbua kiasi mpaka ukang'oa vigogo kule wizarani lakini ukapita. Sasa mgomo huu mwingine kwa kisingizio kile kile cha hali bora za madaktari. Cha kushangaza wanaoshabikia zaidi migomo yote hii ni wale walioanzisha maandamano.
Nashawishika kuamini jamaa yangu aliyenin'gata sikio kuwa mpango huu unalenga kutaka kuifanya nchi isitawalike, nimedokezwa kuwa waalimu nao wameshawishiwa kugoma.
Sasa kama nadharia hii ni kweli, basi masikini dr. Uli jamaa zako wenyewe ndio wamekutia jiti. Na jamii iaminishwe kama ni jeshi la polisi and so serilkali ili umma woote uanze kuichukia serikali na kuiangusha. Dr. Uli adui yuko chumbani kwako, usimtafute mchawi.
I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.


Wewe huna unachoamini ni mfu wa imani. Kumbe hata Zombe alipofanikisha kuwatoa uhai wale wachimba madini, bado hukuamini kuwa lile ni jeshi la polisi? Hatuna cha kukusaidia ni chumvi iliyoharibika wewe.

Ikiwa tuna serikali ambayo haina ushawishi wowote kwa makundi ya kijamii nchini uwe na hakika kuwa serikali hiyo imekwisha kujiangusha yenyewe. Kutawala ni pamoja na kuwa na ushawishi kama huna ushawishi inabidi upime mwenyewe kwa busara na kuchukua uamuzi muafaka. Walimu wanashawishiwa mpaka wanakubali, serikali ipo inag'aang'aa macho, madaktari wanashawishiwa serikali inaangalia tu, watu wengine wanashawishiwa kuandamana, serikali imekinga meno inakenua tu. Hiyo ipo ama imejiangusha? Lazima ujue kuwa wote unaowasema ni watu wazima wenye utashi wao. Si watu wa kunyumbishwa kwa kushawishiwa. Maana kama kila anayefanya jambo kashawishiwa, wewe umeshawishiwa na nani kutuletea uwongo huu?

Katika hoja yako tena unajichanganya. Mara utoe mawazo yako, mara ung'atwe sikio. Wewe umeng'atwa uhai wako kimoja ndiyo maana unashindwa kuamini mambo yaliyo dhahiri. Kwa taarifa yako kama serikali ipo na mtu anaweza kutekwa laivu "leaders club" basi imeanguka tena mweleka wa mende ndani ya karai.
Serikali haiwezi kukwepa kuhusika kwake katika kumteka na kumuumiza Dr. Ulimboka. Iwe kwa kukusudia ama kwa uzembe yote yanaiangukia serikali mlangoni pake. Mikono ya serikali hii imejaa damu ya Dr. Uli ambayo inalia na kudai kisasi siku zote mbele za Mungu. Matokeo yake tutashuhudia!
 
Back
Top Bottom