Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 875
- 633
Majeshi ya Israel yanaendelea kuwasaka magaidi wa Hamas popote walipo siku ya leo kiongozi wa magaidi hao huko JENIN aliweza kuuwawa na sasa.
.Jenin imekuwa ngome kubwa ya Magaidi ambao mara kwa mara walikuwa wakipigana na wenzao wanaoongozwa na Serikali ya Mahmoud Abas. Israel imekuwa ikiingia huko toka Oct 07,2023 baada ya kuonekana kuna mambo ya kigaidi yanafanyika kutokea huko West Bank. Kwa sasa Magaidi hawana pa kupumlia Majeshi ya Israel yanawapiga kila kona.