Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

Masomo yenu haiwaruhusu kutambua kejeli.

Bwana Giuliani anashangaa kwanini Tanzania ambayo sio 'civilized' inaruhusu inspekta wa uchaguzi, ilhali USA haikuruhusu.
Mbona kaongea kitu iko wazi...inamana hakutegemea sehem kam Tanzania ( Africa ) ingeruhusu observers....iko wazi wanaiona Africa kama domant continent sasa ww unasema amekejel duuuh hahaha pole
 
Hongera Tanzania kuwa mfano wa kuigwa ulimwenguni

Democracy yetu ama kwa hakika imekua ya kupigiwa mfano kila pembe ya dunia.

Hapa Keshatupigia Prome ya kufa mtu kama Kuna mtu duniani alikua hajui Tanzania ndio kashajua na tena ni Civilised Country [emoji23][emoji23][emoji23]

Hata hivyo hivi kulikua na haja ya kuitaja Tanzania kwenye Mambo yao ya ndani ya uchaguzi ? ?
 
Masomo yenu haiwaruhusu kutambua kejeli.

Bwana Giuliani anashangaa kwanini Tanzania ambayo sio 'civilized' inaruhusu inspekta wa uchaguzi, ilhali USA haikuruhusu.
Kwa mujibu wa akili zako za kikunya? Giuliani anasema many civilised countries including Tanzania...

😅😅😅 Nimeileta maksudi ili muanze kuharisha kama kawaida yenu
 
Mbona kaongea kitu iko wazi...inamana hakutegemea sehem kam Tanzania ( Africa ) ingeruhusu observers....iko wazi wanaiona Africa kama domant continent sasa ww unasema amekejel duuuh hahaha pole
Wameelewa kila kitu vizuri tu
Ila wivu umewajaa na roho chafu kwa nini Tanzania itajwe kama mfano mzuri kwenye democracy, Kunyaland iachwe 😅😅😅😅
 
Hapa Keshatupigia Prome ya kufa mtu kama Kuna mtu duniani alikua hajui Tanzania ndio kashajua na tena ni Civilised Country [emoji23][emoji23][emoji23]

Hata hivyo hivi kulikua na haja ya kuitaja Tanzania kwenye Mambo yao ya ndani ya uchaguzi ? ?
Mkuu Tanzania ni nchi ya karibu sana kwenye akili nyingi za wamarekani, nimeshawasikia wamarekani wengi waki mention Tanzania pale wanapomention African countries au foreign countries
 
Masomo yenu haiwaruhusu kutambua kejeli.

Bwana Giuliani anashangaa kwanini Tanzania ambayo sio 'civilized' inaruhusu inspekta wa uchaguzi, ilhali USA haikuruhusu.
Hahahaha, kwamba Tanzania nchi ya Africa ambako wamarekani hawategemei kuwa ni mfano katika demokrasia lakini kuna nchi ambayo imeizidi USA ambaye ni baba wa demokrasia hapa duniani katika kufanya uchaguzi bora kabisa kwa kuruhusu waangalizi
 
Mlemata maada una tatizo linaitwa foolishness, mods futeni huu uzi manyag'au yatautumia kama ushahidi wa kutubagaza kuwa sisi ni wajinga. Kuna muda wazungu akikutukana unaweza kumwambia thank you very much kama akili yako itakwama kuchanganua mambo.
 
Na wew una tatizo la inferiority complex sasa hapo tatizo nini?
 
Mbona kaongea kitu iko wazi...inamana hakutegemea sehem kam Tanzania ( Africa ) ingeruhusu observers....iko wazi wanaiona Africa kama domant continent sasa ww unasema amekejel duuuh hahaha pole
Yani hapo huoni kabisa km mmekejeliwa[emoji23][emoji23]
 
Nadhan ww kejeli zinakupiga chenga? Kama angesema mpaka Tz waliruhusu wangalizi.. na kuishia hapo pengine ingekuwa kejeli lakini aliendelea na kusema nchi zilizo civilized ndio zinaruhusu wangaliz mpka Tz ambayo hata usingetegema kuruhusu wangaliz lakin ilifanya hvyo...sasa hapo iyo ni kejeli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom