Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

Ndio kishasifia tena mbele ya umati wa republican [emoji1787]
Hawa Mataga hawaeleweki.

Wakikemewa na watu wa nje wanasema mabeberu wasiwaingilie mambo ya nchi yao.

Wakisifiwa hata na mpuuzi kama Giuliani, ambaye hawajui kwamba ni mpuuzi kwa sababu hawajui kusoma Kiingereza na kufuatilia habari za Marekani, wanarukaruka kwa furaha kama malaya mbovu ambaye kapata bwana dakika ya mwisho bila kutegemea.

Wachague moja.

Hawa Wamarekani ni mabeberu tusiwasikilize au tuwasikilize?

Giuliani is a senile fool.Right now he is the butt of many jokes here in the US.

If you go gaga over his comments about Tanzania, you are likely a laughingsto k yourself.

Hata shetani akisema ili Afrika ijitegemee na kuendelea lazima iungane na halafu haitayumbishwa na mataifa mengine. Basi nitakuwa upande wa shetani.
My criticism covered the person and the content.

Mtu anasifia uchaguzi wa Tanzania kwa sababu uliruhusu mawakala kuingia kwenye kuhakiki uhesabu kura.

Wakati kilichotokea ni kinyume chake. Mawakala walikatazwa.

Sasa hapo utashangilia nini?

Sifa za kijinga na za uongo?
 
Hapa unadhihirisha wazi kuwa hata kina Lisu, Zitto, Maria Sarungi, Fatma karume na Didie Mlawa ni vibaraka wa wazungu wanataka kula pesa zao
Trump kashindwa kama alivyoshindwa Meko...watu hawakutaki sepa
 
Masomo yenu haiwaruhusu kutambua kejeli.

Bwana Giuliani anashangaa kwanini Tanzania ambayo sio 'civilized' inaruhusu inspekta wa uchaguzi, ilhali USA haikuruhusu.
Tanzania ambayo ''sio civilized'' ??
 
Hawa Mataga hawaeleweki.

Wakikemewa na watu wa nje wanasema mabeberu wasiwaingilie mambo ya nchi yao.

Wakisifiwa hata na mpuuzi kama Giuliani, ambaye hawajui kwamba ni mpuuzi kwa sababu hawajui kusoma Kiingereza na kufuatilia habari za Marekani, wanarukaruka kwa furaha kama malaya mbovu ambaye kapata bwana dakika ya mwisho bila kutegemea.

Wachague moja.

Hawa Wamarekani ni mabeberu tusiwasikilize au tuwasikilize?

Giuliani is a senile fool.Right now he is the butt of many jokes here in the US.

If you go gaga over his comments about Tanzania, you are likely a laughingsto k yourself.

Punguza hasira na maneno makali kwa wenzio, this is information warfare, mbona Amsterdam akiongea upuuzi wake mnafurahia...
 
Just the facts please.

Mimi hata nikipiga chafya ya involutary action wewe unaweza kuona hasira.
 
Hehehehe jameni kingereza kinawatesa sana Watanzania, kuanzia ghetto hadi magogoni.
 
Hawa jamaa ni goigoi waliokata tamaa.Assume kuwa huyo jamaa ni kweli kasifia kuwa mawakala wa upinzani waliruhusiwa kuingia kwenye uchaguzi hapa Tanzania,lakini inajulikana wazi kwa kila mtu na kwa waangalizi wa uchaguzi pia kuwa hapa TZ mawakala wa upinzani walikuwa wanatolewa nje,wanapigwa na kuwekwa ndani.Sasa kama kuna mtu kasifia kuwa mawakala wa upinzani waliruhusiwa kuingia kwenye uchaguzi ilihali ni kinyume chake utafurahia au utamwona huyo mtu ni mbumbumbu?
 
My criticism covered the person and the content.

Mtu anasifia uchaguzi wa Tanzania kwa sababu uliruhusu mawakala kuingia kwenye kuhakiki uhesabu kura.

Wakati kilichotokea ni kinyume chake. Mawakala walikatazwa.

Sasa hapo utashangilia nini?

Sifa za kijinga na za uongo?
Mawakala walikatazwa wapi, mbona nilipokuwa hawakufanywa kitu, Hai, mawakala wakuhesabu walitii wenyewe kwamba mbowe wao katemwa, nyinyi msijisahihishe makosa yenu, muendelee singizia kuonewa, mfutike kabisa kwenye ramani ya siasa. Ndio kinachofuata
 
Hawa jamaa ni goigoi waliokata tamaa.Assume kuwa huyo jamaa ni kweli kasifia kuwa mawakala wa upinzani waliruhusiwa kuingia kwenye uchaguzi hapa Tanzania,lakini inajulikana wazi kwa kila mtu na kwa waangalizi wa uchaguzi pia kuwa hapa TZ mawakala wa upinzani walikuwa wanatolewa nje,wanapigwa na kuwekwa ndani.Sasa kama kuna mtu kasifia kuwa mawakala wa upinzani waliruhusiwa kuingia kwenye uchaguzi ilihali ni kinyume chake utafurahia au utamwona huyo mtu ni mbumbumbu?
Mawakala wa wapi hao walifukuzwa, wa kapigwa wakafungwa, muachage uzushi nyinyi, mmepigwa fare and square, mnaleta visingizio ilhali inafahamika fika chama chenu kilikuwa kina deteriorate hata kabla Ya uchaguzi, hivi mlidhani lisu angemmshinda magufuli
 
Haukuwa uchaguzi bali ulikuwa ni uchafuzi wa demokrasia!
709081.jpg
12460.jpg
098765.jpg
 
Naonaga ni hizi hizi same pctrs mnazisambazaga ili kuchafua uchaguzi wa Tz, unfortunately hiki sio kithibitisho kwa wenye akili zetu, sababu mlizichoma moto, na hakuna kithibitisho kingine.
Zilichomwa moto wapi?Zile ambazo zilikuwa zinaonyeshwa kwenye ile press conference ya akina Tindu Lissu,Mbowe,Mnyika,e.t.c kwenye ule mkutano wa maandamano hazikuwa ni kura fake zilizokamatwa?
 
Ina maana hujaona clip wakizichoma moto hizo zilokamatwa kawe?
Kina lisu walionyesha kwenye mkutano wa maandamano au mkutano wa kuhamisha maandamano yaliyofeli, hizo sijaziona na hata kama, mbona hawakwenda nazo mahakamani au mahakama ya bwana zenu ICC. Je kama waliziprint wenyewe kudanganya uma wafanye maandamano. Nyinyi ni wepesi sana
 
Kuprint kura fake ni kosa la jinai ambalo ni very serious crime,kama waliprint wenyewe kwa nini hawajakamatwa na kushtakiwa?

Na kuhusu kwa nini hawajakwenda nazo mahakamani;kwa nini unataka kesi ya Tumbili ipelekwe kwa Ngedere?Yaani kwa nini unataka kesi ya mwizi wa kura ipelekwe kwa msimamizi mkuu wa wizi wa kura?Unaelewa kuwa vyombo vya sheria pamoja na polisi ndiyo walikuwa wasimamizi wakuu wa wizi wa kura na waliokamatwa na kura fake walikuwa ni wasimamizi wasaidizi wa wizi wa kura?
 
Hujui kwann siasa inaitwa mchezo mchafu ww. Uwakamate wangapi, kwa kithibitisho kipi na wamezichoma, au ulitaka waje kuwakamata wakizionyesha kwenye mkutano wa kuhamasisha maandamano, ili vurugu zitokee mpate chanzo na kisingizio.
Sawa kesi ya tumbili. Basi pelekeni ICC hivyo vithibitisho.
Hakuna kitu hapo, mnachezeshwa makidamakida na watu wasiotaka kukiri kwamba jumba lao liIianza kuharibika walivyoyarudia matapishi ya lowasa.
2015 was the beginning of your demise.
 
My criticism covered the person and the content.

Mtu anasifia uchaguzi wa Tanzania kwa sababu uliruhusu mawakala kuingia kwenye kuhakiki uhesabu kura.

Wakati kilichotokea ni kinyume chake. Mawakala walikatazwa.

Sasa hapo utashangilia nini?

Sifa za kijinga na za uongo?
Tumia akili kaka wacha kufuata mkumbo, wewe unasikiliza kelele za wapinzani hawahawa ambao walisema tutashitakiwa tukizuia usafirishaji wa makinikia, hawahawa waliosema ndege zilizonunuliwa sio mpya ni chakavu, hawahawa ambao walikua wakiishambulia serikali kwa kutokua na ndege zetu lakini tulipoanza kununua ndege zetu wakageuka na kusema nchi hii ndege sio muhimu, jiongeze kaka sio kufuata mkumbo.

Katika waangalizi wa kimataifa waliokuja kusimamia uchaguzi, kuna ambao walitaja hiyo kasoro zaidi ya hao wapinzani?
 
Hujui kwann siasa inaitwa mchezo mchafu ww. Uwakamate wangapi, kwa kithibitisho kipi na wamezichoma, au ulitaka waje kuwakamata wakizionyesha kwenye mkutano wa kuhamasisha maandamano, ili vurugu zitokee mpate chanzo na kisingizio.
Sawa kesi ya tumbili. Basi pelekeni ICC hivyo vithibitisho.
Hakuna kitu hapo, mnachezeshwa makidamakida na watu wasiotaka kukiri kwamba jumba lao liIianza kuharibika walivyoyarudia matapishi ya lowasa.
2015 was the beginning of your demise.
Kwani ilikuwa ni lazima zikamatwe kwenye mkutano wa kuhamasisha maandamano?Haikuwezekana polisi kwenda kukamata kura hizo baada ya mkutano wa kuhamasisha maandamano kuisha na watu kutawanyika zao?Kwani ugumu ulikuwa wapi polisi kuwafuata akina Lissu na kuwaambia kuwa wasalimishe kura zao fake walizokuwa wanazionyesha kwenye mkutano?
 
Back
Top Bottom