Tumia akili kaka wacha kufuata mkumbo, wewe unasikiliza kelele za wapinzani hawahawa ambao walisema tutashitakiwa tukizuia usafirishaji wa makinikia, hawahawa waliosema ndege zilizonunuliwa sio mpya ni chakavu, hawahawa ambao walikua wakiishambulia serikali kwa kutokua na ndege zetu lakini tulipoanza kununua ndege zetu wakageuka na kusema nchi hii ndege sio muhimu, jiongeze kaka sio kufuata mkumbo.
Katika waangalizi wa kimataifa waliokuja kusimamia uchaguzi, kuna ambao walitaja hiyo kasoro zaidi ya hao wapinzani?