Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

Tumia akili kaka wacha kufuata mkumbo, wewe unasikiliza kelele za wapinzani hawahawa ambao walisema tutashitakiwa tukizuia usafirishaji wa makinikia, hawahawa waliosema ndege zilizonunuliwa sio mpya ni chakavu, hawahawa ambao walikua wakiishambulia serikali kwa kutokua na ndege zetu lakini tulipoanza kununua ndege zetu wakageuka na kusema nchi hii ndege sio muhimu, jiongeze kaka sio kufuata mkumbo.

Katika waangalizi wa kimataifa waliokuja kusimamia uchaguzi, kuna ambao walitaja hiyo kasoro zaidi ya hao wapinzani?
Miongoni mwa wasimamizi waliokuja kuangalia uchaguzi wa Tanzania ni hawa hapa na ripoti yao hiyo hapo chini,miongoni mwa kasoro walizoziona ni hiyo ya mawakala wa upinzani kunyimwa kuingia ndani ya vituo vya kupigia kura,kupigwa na kuwekwa ndani.Soma kasoro namba tatu.Haukuwa ni uchaguzi bali ulikuwa ni uchafuzi wa demokrasia.





3209801.jpg
2678901.jpg
 
Miongoni mwa wasimamizi waliokuja kuangalia uchaguzi Tanzania ni hawa hapa na ripoti yao hiyo hapo chini,miongoni mwa kasoro walizoziona ni hiyo ya mawakala wa upinzani kunyimwa kuingia ndani ya vituo vya kupigia kura.Soma kasoro namba tatu.

View attachment 1631199View attachment 1631200

Nikushukuru kuongea kisayansi.
Lkn ngoja niendelee kuifanyia kazi hiyo taarifa.
 
Kama walikamata hizi kura fake kwanini wazichane,yan wanaharibu ushahidi utakaokuja kuwasaidia wenyewe!
Zilizochanwa hazizidi asilimia moja kwa hiyo wala haiwezi kuathiri ushahidi wowote ule.Kura nyingi fake zilizokamatwa zilihifadhiwa salama na ndiyo maana hata ile siku ya press conference ya chadema ya kuhamasisha maandamano walikuwa wana kura fake ambazo walizionyesha pale kama ushahidi pia.
 
Hahahaha mtu kapitwa kwa kura zaidi ya laki 1, mnakamata kura 70? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sandarusi pamoja na hayo mabegi ya kura lukuki hapo juu ni kura 70 tu?Hata hivyo unaelewa maana ya ushahidi na jinsi ushahidi huwa unatumiwa kumtia mtu hatiani?Unaweza kushikwa na nyama ya twiga robo kilo halafu useme mahakamani kuwa hii ni robo kilo tu kwa hiyo hakuna shida hapa?
 
Sandarusi pamoja na hayo mabegi ya kura lukuki hapo juu ni kura 70 tu?Hata hivyo unaelewa maana ya ushahidi na jinsi ushahidi huwa unatumiwa kumtia mtu hatiani?Unaweza kushikwa na nyama ya twiga robo kilo halafu useme mahakamani kuwa hii ni robo kilo tu kwa hiyo hakuna shida hapa?
Kwa hivyo ndio lilikua lengo lenu, kutengeneza kura chache za ushahidi? Watanzania wa leo wanajielewa sana
 
Zilizochanwa hazizidi asilimia moja kwa hiyo wala haiwezi kuathiri ushahidi wowote ule.Kura nyingi fake zilizokamatwa zilihifadhiwa salama na ndiyo maana hata ile siku ya press conference ya chadema ya kuhamasisha maandamano walikuwa wana kura fake ambazo walizionyesha pale kama ushahidi pia.
Waliokamatwa nazo mngejitahidi tupate hata picha zao ili mtakapoenda mahakamani basi washtakiwa wenu wapate kujulikana ni kina nani
 
Kwa hivyo ndio lilikua lengo lenu, kutengeneza kura chache za ushahidi? Watanzania wa leo wanajielewa sana
Kuchapisha kura fake na kutamba nazo mitaani tena kwenye vituo vya kupigia kura tena kwenye siku ya kupiga kura ni very serious crime,ni kosa la jinai ambalo ni serious sana!Sasa kama ni chadema walichapisha kura fake kwa nini hawajakamatwa na polisi na kushtakiwa kwa kutenda kosa hilo ambalo ni very serious crime?
 
Nikushukuru kuongea kisayansi.
Lkn ngoja niendelee kuifanyia kazi hiyo taarifa.
Kuifanyia kazi gani tena?Ripoti iko very short and clear!Imeweka wazi kabisa kuwa mawakala wa upinzani walinyimwa kuingia ndani ya vituo vya kupigia kura,walipigwa na kuwekwa ndani.Haukuwa uchaguzi bali ulikuwa ni uchafuzi wa demokrasia na ndiyo maana Sir Kiranga anasema kuwa huyo jamaa wa marekani ni punguani/goigoi/mbumbumbu(clown)
 
Siasa imekutawala we mzee,giulian angeongea shit kuhusu uchaguzi wa Tanzania ungemsifia ila kwa vile kaongea kwa kusifia unamponda

I
Giuliani is a laughingstock.

Do you even know what a laughingtock is?

Umeona movie mpya ya Borat walivyomfanya Giuliani?

Umeona anavyotetea kesi za Trump zisizo na kichwa wala mguu?

Umeona alivyochuruzika kanta kama kinyago cha bei rahisi?

Marekani sasa hivi ukisifiwa na Giuliani unajificha watu wasikuone.

You become the butt of jokes from late night TV shows to op-eds.

But I don't expect you to know that.

You probably have an inferiority complex or some cognitive dissonance that short circuits your brain and renders you incapable of examining matters by logic.

All you see is a white master praising Tanzania and your mental pussy gets wet with emotions.

Fvck outta here.
 
Hii ni moja ya ripoti ya waangalizi wa uchaguzi waliokuja kuangalia uchaguzi Tanzania.Ina ushahidi unaoonyesha kuwa Polisi walitumika kuvuruga uchaguzi Tanzania kwa hiyo hawawezi kuwa na haki wala wajibu wa kusimamia upatikanaji wa haki katika kesi za uchafuzi wa uchaguzi Tanzania.


View attachment 1631203View attachment 1631204


Please if I may know the organisation which publish this report.
 
Giuliani is a laughingstock.

Do you know what a laughingtock is?

Huko ndiyo tunaita kusambaza na kuaminishana hisia. Sisi hatutaki kujua personality, hoja iliyoko mbele ni mailing ballots were used as a gap to election rigging in US. Pamoja na yote mnayomkejeli nayo, lkn bado ana hoja huyu mwanasheria nguli.
 
Please if I may know the organisation which publish this report.
Nimekuwekea link ya website yao hapo pamoja na account yao ya twitter.Ingia kwenye website yao wanajieleza kwa mapana wao ni nani,wamesimamia uchaguzi wapi na wapi na pia ripoti zote za chaguzi walizosimamia utazikuta humo.
 
Hongera Tanzania kuwa mfano wa kuigwa ulimwenguni

Demokrasia yetu ama kwa hakika imekuwa ya kupigiwa mfano kila pembe ya dunia.

View attachment 1631243
Huyu tapeli mpiga debe wa Trump ndio unamwita kiongozi wa Marekani? Tuambie ana madaraka gani katika serikali ya Marekani.

Kwa jinsi huyu jamaa anavyodharauliwa Marekani, kumtumia kwamba amesifia Tanzania ni sawa na kuwa na akili mbaya kuliko hata mwendawazimu
 
Hongera Tanzania kuwa mfano wa kuigwa ulimwenguni

Demokrasia yetu ama kwa hakika imekuwa ya kupigiwa mfano kila pembe ya dunia.

View attachment 1631243
Nawasiwasi na akili yako???

Alichomaanisha sio icho unachokisema humu.

Kwa taarifa yako hapo ni kama tumedharauliwa sana kwamba hata kwetu ambalo sio civilized inaruhusu wasimamizi wa uchaguzi?????

Yaani maana yake ni kwamba tuhuma mbaya za kuharibu uchaguzi wetu zimeshafika huko na wanajua kila kitu.

Tofautisha kuhusu kujua Kiingereza na kujua Matumizi ya maneno ya kiingereza !!!

Kweli Lumumba mmejaa vilaza 😂😂😀😀😀
 
Back
Top Bottom