Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

Naona kuna wajinga wenzio wamekupa like hapa. Alichosema ni kuwa hata Tanzania, nchi ambayo hakuna demokrasia kabisa, wasingeweza kulifanya hilo ambalo anasema limefanyika kwenye uchaguzi wa Marekani. Jielimishe Kiingereza kidogo.

Halafu Rudi siyo kiongozi wa marekani. Ni mwanasheria wa Trump.
Hongera Tanzania kuwa mfano wa kuigwa ulimwenguni

Demokrasia yetu ama kwa hakika imekuwa ya kupigiwa mfano kila pembe ya dunia.

View attachment 1631243
 
Mjinga mwenzake no 1 ni huyu kilatha 😂😂😂😂😂 anatoa kabisa uchambuzi wa kumuelezea Gulliani na kurefer hayo maneno positively 😂😂😂😂😂😂
 
Hii ni post ya kijinga. Kushangilia jambo linalosemwa na Rudi wakati sisi Watanzania tumejionea uchaguzi/uchafuzi ulivyokuwa ni ujinga wa hali ya juu. Kiingereza hauwezi, hata picha kuona hauwezi? Au ni mwendelezo wa uwakala wa shetani?
1605950753401.png

1605950777370.png

Usiwe mjinga kanakwamba watu hatujasikia!
20201121_114854.jpg
 
Hii ni post ya kijinga. Kushangilia jambo linalosemwa na Rudi wakati sisi Watanzania tumejionea uchaguzi/uchafuzi ulivyokuwa ni ujinga wa hali ya juu. Kiingereza hauwezi, hata picha kuona hauwezi? Au ni mwendelezo wa uwakala wa shetani?
View attachment 1631341
View attachment 1631342
Sasa kama miaka yote mitano mlikuwa mnajadili tu kingereza cha Magu badala ya kujadili juu ya tume huru kwanini msipigwe ili mabichwa hayo yakae vizuri?
 
Mada yetu haikuwa ni kwa nini akina Lissu hawakwenda kuripoti ICC.Mada yetu ilikuwa ni kwa nini akina Lissu hawakwenda kuripoti kwenye vyombo vyetu vya sheria.Tujikite kwenye mada yetu.
Si mnadharau vyombo vyetu mnasema vinapendelea upande wenu ukishindwa, ila mkishindaga hamuonagi huo upendeleo
 
Mjinga mwenzake no 1 ni huyu kilatha 😂😂😂😂😂 anatoa kabisa uchambuzi wa kumuelezea Gulliani na kurefer hayo maneno positively 😂😂😂😂😂😂
Maneno yake yana impact kubwa as an expert opinion kuhusu sheria yetu. Na anapotokea mwanasheria with Giuliani credential who thinks our election law is more credible than what was practiced in many states and keeps referring to it as an example that’s a big deal.
 
Si mnadharau vyombo vyetu mnasema vinapendelea upande wenu ukishindwa, ila mkishindaga hamuonagi huo upendeleo
Hatuvidharau tu kwa hisia ila kuna ushahidi unaoonyesha kuwa vyombo vyetu wa ulinzi na usalama pamoja na vyombo vyetu vya sheria vilitumika kuvuruga uchaguzi kwa hiyo havina uhalali wa kusimamia haki katika kesi zetu za uchafuzi wa uchaguzi.
 
Nawasiwasi na akili yako???

Alichomaanisha sio icho unachokisema humu.

Kwa taarifa yako hapo ni kama tumedharauliwa sana kwamba hata kwetu ambalo sio civilized inaruhusu wasimamizi wa uchaguzi?????

Yaani maana yake ni kwamba tuhuma mbaya za kuharibu uchaguzi wetu zimeshafika huko na wanajua kila kitu.

Tofautisha kuhusu kujua Kiingereza na kujua Matumizi ya maneno ya kiingereza !!!

Kweli Lumumba mmejaa vilaza 😂😂😀😀😀
Macho huona kile kilicho kwenye mawazo ya mtazamaji, upo sahihi kwasababu ya kile kilichomo kwenye mawazo yako.

French philosopher Henri Bergson has a famous quote: "The eye sees only what the mind is prepared to comprehend."
 
Muulize mtaalamu wenu anaejua kiingereza Nyani Ngabu awatafsilie. Maana mnatia aibu na kinyaaa
 
Naona kuna wajinga wenzio wamekupa like hapa. Alichosema ni kuwa hata Tanzania, nchi ambayo hakuna demokrasia kabisa, wasingeweza kulifanya hilo ambalo anasema limefanyika kwenye uchaguzi wa Marekani. Jielimishe Kiingereza kidogo.

Halafu Rudi siyo kiongozi wa marekani. Ni mwanasheria wa Trump.
Mkuu mwanasheria wa rais anaeongoza taifa kubwa duniani hivi unamchukuliaje chukuliaje!
 
Hongera Tanzania kuwa mfano wa kuigwa ulimwenguni

Demokrasia yetu ama kwa hakika imekuwa ya kupigiwa mfano kila pembe ya dunia.

View attachment 1631243
Yaani kwa kutokujua vzr Kiingereza, hata mkitajwa kwa ujinga mnadhani mmesifiwa!

Rudy Giuliani hapo katolea mfano kwa kumaanisha: hata nchi inayoendesha uchaguzi wa kijinga kama Tanzania, wanasheria ya kuweka wasimamizi wa kura zinazotumwa kwa njia ya Posta.....sasa jiulize, kwani Tanzania tuna kura gani zinazopigwa na kutumwa kwa Posta?
 
Kuna askari polisi mmoja mjinga kama wewe huwa anatumia mistari ya Biblia kuomba rushwa barabara. Anatembea na Biblia kabisa.

Leo mabeberu wamekuwa wema na marafiki wa CCM. Kabla siku haijaisha watakuwa mashoga na maadui. CCM imejaza wajinga huko halafu mnafiki nchi hii yote ni wajinga!
Usiwe mjinga kanakwamba watu hatujasikia! View attachment 1631343
 
Yaani kwa kutokujua vzr Kiingereza, hata mkitajwa kwa ujinga mnadhani mmesifiwa!

Rudy Giuliani hapo katolea mfano kwa kumaanisha: hata nchi inayoendesha uchaguzi wa kijinga kama Tanzania, wanasheria ya kuweka wasimamizi wa kura zinazotumwa kwa njia ya Posta.....sasa jiulize, kwani Tanzania tuna kura gani zinazopigwa na kutumwa kwa Posta?
tunaomba link nzima ya video
 
Sawa mkuu. Daktari wa Magufuli ni kiongozi wa Tanzania. CCM imebakia propaganda tu. Kucheza na maneno. Mna kazi sana.
Tabibu wa rais wa nchi si mtu mdogo bro,hapo uelewe atokua na elimu ya kuunga unga hadi alipofikia,binafsi hata mpishi tu wa rais siwezi kumdharau kama wewe ulivyomchukulia poa mwanasheria wa trump
 
Back
Top Bottom