Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

Nadhan ww kejeli zinakupiga chenga? Kama angesema mpaka Tz waliruhusu wangalizi.. na kuishia hapo pengine ingekuwa kejeli lakini aliendelea na kusema nchi zilizo civilized ndio zinaruhusu wangaliz mpka Tz ambayo hata usingetegema kuruhusu wangaliz lakin ilifanya hvyo...sasa hapo iyo ni kejeli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bonge la kejeli[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo yani hamtoki hata mkitaka kutafsiri kivipi..

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Masomo yenu haiwaruhusu kutambua kejeli.

Bwana Giuliani anashangaa kwanini Tanzania ambayo sio 'civilized' inaruhusu inspekta wa uchaguzi, ilhali USA haikuruhusu.

"Kila jimbo, karibu kila nchi yenye demokrasia ikiwemo Tanzania, na maeneo ambayo hata huwezi kuyafikiria, wana sheria za uangalizi hasa kwa kura zinazopigwa kwa njia ya posta," Rudy Guliani amewaambia wanahabari Alhamisi.
 
Wanapotosha tafsiri ili kusuit their lame ego 😅😅 uchungu wa ndani kwa ndani
 
Bonge la kejeli[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo yani hamtoki hata mkitaka kutafsiri kivipi..

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Ndio hivyo tena Tanzania ni mfano wa kuigwa ulimwenguni, na ni mfano wa kuruhusu uhuru katika chaguzi zake, ninyi endeleeni kuuana sababu ndipo mnaposifika na Tribalism 😅😅😅
 
Umekua kichekesho siku hizi[emoji23]
Subiri kwenye kipengele cha violence, killings and Tribalism kwenye election, hapo lazima Kenya itatajwa tu lije jua inyeshe mvua, ila kwenye hili la uhuru wa uchaguzi na democracy iliotukuka tunaomba Tanzania tuachwe tupewe hizo sifa tu sababu ni haki yetu kabisa 😅😅😅
 
Masomo yenu haiwaruhusu kutambua kejeli.

Bwana Giuliani anashangaa kwanini Tanzania ambayo sio 'civilized' inaruhusu inspekta wa uchaguzi, ilhali USA haikuruhusu.

wewe jamaa bana,yaani imebidi ubadirishe mawazo ya huyo mmarekani kisa tu kaisifu tz[emoji16][emoji16][emoji16].
 
Subiri kwenye kipengele cha violence, killings and Tribalism kwenye election, hapo lazima Kenya itatajwa tu lije jua inyeshe mvua, ila kwenye hili la uhuru wa uchaguzi na democracy iliotukuka tunaomba Tanzania tuachwe tupewe hizo sifa tu sababu ni haki yetu kabisa [emoji28][emoji28][emoji28]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa unafikiri hizi apes zitatajwa wapi!!!

eti kejeli yanajifariji.
 
Nadhan ww kejeli zinakupiga chenga? Kama angesema mpaka Tz waliruhusu wangalizi.. na kuishia hapo pengine ingekuwa kejeli lakini aliendelea na kusema nchi zilizo civilized ndio zinaruhusu wangaliz mpka Tz ambayo hata usingetegema kuruhusu wangaliz lakin ilifanya hvyo...sasa hapo iyo ni kejeli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na pia alisema, nchi zilizo staarabika zina sheria nzuri zinazohusu uangalizi huo.
 
Subiri kwenye kipengele cha violence, killings and Tribalism kwenye election, hapo lazima Kenya itatajwa tu lije jua inyeshe mvua, ila kwenye hili la uhuru wa uchaguzi na democracy iliotukuka tunaomba Tanzania tuachwe tupewe hizo sifa tu sababu ni haki yetu kabisa 😅😅😅

Nimecheka aha haaa
😄😃😀😁
 
Mlemata maada una tatizo linaitwa foolishness, mods futeni huu uzi manyag'au yatautumia kama ushahidi wa kutubagaza kuwa sisi ni wajinga. Kuna muda wazungu akikutukana unaweza kumwambia thank you very much kama akili yako itakwama kuchanganua ma
 
Nilishafungua uzi hapa na kusema kwamba "Uchaguzi wa Tanzania ni mfano wa kuigwa", wachache wenye akili walielewa na kukubaliana na mimi, ila watu wengi ambao ni wapumbavu Walinishangaa kama kawaida yao, ukweli inajirudia kujidhihirisha.

Aisee wee jamaa naanza kukuogopa. Ulifungua uzi kuhusu korona, nilikupinga kimoyo moyo, lkn baadaye mambo yakawa kama ulivyosema. Inabidi niombe msamaha,
baadaye ukaleta issue ya uchaguzi, nayo naona inaenda vyema upande wako. Kweli wewe unatisha.
 
Back
Top Bottom