Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha za eneo moja!Haukuwa uchaguzi bali ulikuwa ni uchafuzi wa demokrasia!View attachment 1631173View attachment 1631174View attachment 1631175
Nimecheka sana ila umemjibu kiurahiiiiiis sana asipokuelewa anaumwa kichaaMasomo yenu haiwaruhusu kutambua kejeli.
Bwana Giuliani anashangaa kwanini Tanzania ambayo sio 'civilized' inaruhusu inspekta wa uchaguzi, ilhali USA haikuruhusu.
Hongera Tanzania kuwa mfano wa kuigwa ulimwenguni
Demokrasia yetu ama kwa hakika imekuwa ya kupigiwa mfano kila pembe ya dunia.
View attachment 1631243
Unaelewa ushahidi ni nini?Unaweza kukamatwa na robo kilo ya nyama ya Twiga halafu ujitetee mahakamani kwamba hii ni robo tu,ni nyama ndogo sana kwa hiyo hakuna kosa hapa?Picha za eneo moja!
Hamna ushahidi zaidi ya huo.
Like US
Mbona kwa Trump,Unaelewa ushahidi ni nini?Unaweza kukamatwa na robo kilo ya nyama ya Twiga halafu ujitetee mahakamani kwamba hii ni robo tu,ni nyama ndogo sana kwa hiyo hakuna kosa hapa?
Hahaaa...Hujajibu hoja, unaleta viroja.
Small minds discuss people, average minds discuss events, great minds discuss ideas.
I am discussing ideas.Freedom of speech, democracy, the open society, transparency.
You are discussing Magufuli.
You have a small mind.
Kama Tanzania hadi waangalizi wa uchaguzi wanasema kuwa uchaguzi haukuwa wa huru na haki, unahitajika ushahidi gani tena kuthibitisha kuwa haukuwa uchaguzi bali ulikuwa ni uchafuzi?Mbona kwa Trump,
Anatoa ushahidi wanakiri ni kweli ila wanasema hauutoshi kubadili matokeo.
Ni nini maoni yako!?
Naona kusoma sana kumekuchanganya akili.....huyo mtu asiyesoma ametumia tu reversal psychology kuchangamsha jamvi, wewe msomi umejichanganya for a simple psychology? Come on now, kumbe hizi elimu zenu za kukariri tu mambo haiwasadii ati.Masomo yenu haiwaruhusu kutambua kejeli.
Bwana Giuliani anashangaa kwanini Tanzania ambayo sio 'civilized' inaruhusu inspekta wa uchaguzi, ilhali USA haikuruhusu.
Niletee waangalizi wengine!Kama Tanzania hadi waangalizi wa uchaguzi wanasema kuwa uchaguzi haukuwa wa huru na haki, unahitajika ushahidi gani tena kuthibitisha kuwa haukuwa uchaguzi bali ulikuwa ni uchafuzi?
Tanzania Elections Watch – 2020 General Elections Observation and Monitoring
tanzaniaelectionswatch.org
View attachment 1632101View attachment 1632103
Unaelewa kuwa serekali ilizuia waangalizi wengi sana wasije kuutazama uchaguzi huu?Unaelewa kuwa kama serekali ilizuia waangalizi mbalimbali kuja kuutazama uchaguzi huu, unaponiambia kuwa nilete waangalizi wengine hakina maana?Niletee waangalizi wengine!
Tofauti na hao!
Acha kuzaga kuna wengine wengi wameongelea positive.Unaelewa kuwa serekali ilizuia waangalizi wengi sana wasije kuutazama uchaguzi huu?Unaelewa kuwa kama serekali ilizuia waangalizi mbalimbali kuja kuutazama uchaguzi huu, unaponiambia kuwa nilete waangalizi wengine hakina maana?
Hawapo wengine,kama wapo leta ushahidi wa hao wengine wengi walioongelea postive kama mimi nilivyoweka ushahidi wangu hapo.Acha kuzaga kuna wengine wengi wameongelea positive.
Ndio maana hutaki kuwaleta!
SawaHawapo wengine,kama wapo leta ushahidi wa hao wengine wengi walioongelea postive kama mimi nilivyoweka ushahidi wangu hapo.
Una akili timamu?!Unaelewa maana ya waangalizi wa uchaguzi?Ngedere anaweza kufanya uchaguzi halafu akamwite tumbili kuja kuwa mwangalizi wake?Unategemea hapo tumbili atatoa ripoti ya aina gani?Unafanya mzaha na mimi?Sawa
PRELIMINARY STATEMENT BY THE HEAD OF THE EAC ELECTION OBSERVER MISSION TO THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA GENERAL ELECTIONS, 2020
The East African Community (EAC) is a regional intergovernmental organisation of eight (8) Partner States, comprising the Republic of Burundi, Democratic Republic of Congo, Republic of Kenya, Republic of Rwanda, Federal Republic of Somalia, Republic of South Sudan, Republic of Uganda and United...www.eac.int
Ni sawa vile unaamini.Una akili timamu?!Unaelewa maana ya waangalizi?Ngedere anaweza kufanya uchaguzi halafu akamwite tumbili kuja kuwa mwangalizi wake?Unategemea hapo tumbili atatoa ripoti ya aina gani?Unafanya mzaha na mimi?
Unaelewa kuwa serekali ya Magufuli ilikataa wangaalizi kutoka ulaya na marekali na kukaribisha waangalizi ambao ni majirani,marafiki na wenye sera sawa za udikteta ili watoe ripoti safi hata kama uchaguzi haukuwa wa huru na haki?Yaani bila aibu unaniletea ripoti ya Tumbili ya uangalizi wa uchaguzi ambao amefanya Ngedere?Nikikuita kuwa wewe ni punguani nitakuwa nimekuonea?!