Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

Huyo ni private lawyer wa Trump, sasa unashangaa nini wakati boss wake amekataa hata kuyatambua matokeo ya uchaguzi halali ya nchi yake.
 
Ni wazi Tanzania ndo nchi ya kuigwa duniani. UK wenyewe tu hawana Rais wala makam
 
Masomo yenu haiwaruhusu kutambua kejeli.

Bwana Giuliani anashangaa kwanini Tanzania ambayo sio 'civilized' inaruhusu inspekta wa uchaguzi, ilhali USA haikuruhusu.
Nimecheka sana ila umemjibu kiurahiiiiiis sana asipokuelewa anaumwa kichaa
 
Picha za eneo moja!

Hamna ushahidi zaidi ya huo.

Like US
Unaelewa ushahidi ni nini?Unaweza kukamatwa na robo kilo ya nyama ya Twiga halafu ujitetee mahakamani kwamba hii ni robo tu,ni nyama ndogo sana kwa hiyo hakuna kosa hapa?
 
Unaelewa ushahidi ni nini?Unaweza kukamatwa na robo kilo ya nyama ya Twiga halafu ujitetee mahakamani kwamba hii ni robo tu,ni nyama ndogo sana kwa hiyo hakuna kosa hapa?
Mbona kwa Trump,

Anatoa ushahidi wanakiri ni kweli ila wanasema hauutoshi kubadili matokeo.

Ni nini maoni yako!?
 
Hujajibu hoja, unaleta viroja.

Small minds discuss people, average minds discuss events, great minds discuss ideas.

I am discussing ideas.Freedom of speech, democracy, the open society, transparency.

You are discussing Magufuli.

You have a small mind.
Hahaaa...
 
Mbona kwa Trump,

Anatoa ushahidi wanakiri ni kweli ila wanasema hauutoshi kubadili matokeo.

Ni nini maoni yako!?
Kama Tanzania hadi waangalizi wa uchaguzi wanasema kuwa uchaguzi haukuwa wa huru na haki, unahitajika ushahidi gani tena kuthibitisha kuwa haukuwa uchaguzi bali ulikuwa ni uchafuzi?

3209801.jpg
2678901.jpg
 
Masomo yenu haiwaruhusu kutambua kejeli.

Bwana Giuliani anashangaa kwanini Tanzania ambayo sio 'civilized' inaruhusu inspekta wa uchaguzi, ilhali USA haikuruhusu.
Naona kusoma sana kumekuchanganya akili.....huyo mtu asiyesoma ametumia tu reversal psychology kuchangamsha jamvi, wewe msomi umejichanganya for a simple psychology? Come on now, kumbe hizi elimu zenu za kukariri tu mambo haiwasadii ati.
 
Niletee waangalizi wengine!

Tofauti na hao!
Unaelewa kuwa serekali ilizuia waangalizi wengi sana wasije kuutazama uchaguzi huu?Unaelewa kuwa kama serekali ilizuia waangalizi mbalimbali kuja kuutazama uchaguzi huu, unaponiambia kuwa nilete waangalizi wengine hakina maana?
 
Acha kuzaga kuna wengine wengi wameongelea positive.

Ndio maana hutaki kuwaleta!
 
Acha kuzaga kuna wengine wengi wameongelea positive.

Ndio maana hutaki kuwaleta!
Hawapo wengine,kama wapo leta ushahidi wa hao wengine wengi walioongelea postive kama mimi nilivyoweka ushahidi wangu hapo.
 
Hawapo wengine,kama wapo leta ushahidi wa hao wengine wengi walioongelea postive kama mimi nilivyoweka ushahidi wangu hapo.
Sawa

Even Lissu alikubaliana na mchakato ulivyokwenda!
 
Sawa

Una akili timamu?!Unaelewa maana ya waangalizi wa uchaguzi?Ngedere anaweza kufanya uchaguzi halafu akamwite tumbili kuja kuwa mwangalizi wake?Unategemea hapo tumbili atatoa ripoti ya aina gani?Unafanya mzaha na mimi?

Unaelewa kuwa serekali ya Magufuli ilikataa waangalizi kutoka ulaya na marekani na kukaribisha waangalizi ambao ni majirani,marafiki na wenye sera sawa za udikteta ili watoe ripoti safi hata kama uchaguzi haukuwa wa huru na haki?Yaani bila aibu unaniletea ripoti ya Tumbili ya uangalizi wa uchaguzi ambao amefanya Ngedere?Nikikuita kuwa wewe ni punguani nitakuwa nimekuonea?!
 
Una akili timamu?!Unaelewa maana ya waangalizi?Ngedere anaweza kufanya uchaguzi halafu akamwite tumbili kuja kuwa mwangalizi wake?Unategemea hapo tumbili atatoa ripoti ya aina gani?Unafanya mzaha na mimi?

Unaelewa kuwa serekali ya Magufuli ilikataa wangaalizi kutoka ulaya na marekali na kukaribisha waangalizi ambao ni majirani,marafiki na wenye sera sawa za udikteta ili watoe ripoti safi hata kama uchaguzi haukuwa wa huru na haki?Yaani bila aibu unaniletea ripoti ya Tumbili ya uangalizi wa uchaguzi ambao amefanya Ngedere?Nikikuita kuwa wewe ni punguani nitakuwa nimekuonea?!
Ni sawa vile unaamini.

Hawa TEL, mimi ninawaaminije?

Kama wazungu walikataliwa hao ni kina nani?
 
Back
Top Bottom